Tumemtimua Dr. Kombo UDOM, umepata habari?. Tunakutana wapi leo tena nikupige mbupu....(anza pu...umalizie mbu...).Bi Nuru, umeamka nao? Bado unajihisi kama mwanamme?
Nakugongaga vizuri?Nuru we Nuru, mbona unajishaua mbele za watu shoga?
Teh teh teh kwani huyu demBi Nuru, umeamka nao? Bado unajihisi kama mwanamme?
Asalam ee Malikia wa Maarifa salamu nakusalimu.
Pole na Majukumu ya kufuta pumbazo katika akili za binadamu , na kuwapa ujuzi watu waishi vyema katika Dunia hii yenye mengi na machache tusiyofahamu.
mimi ni moja kati ya wajoli waandamizi wasio changamani na kila kitu ila kitu chenye kuntu za nasaba za waungwana.
sina asili ya kusema la hata lepe la uongo, habadani asilani.
Ukweli nasema moyo umeuteka nje na pembeni sitizami. kwako nababaika kama njugu mawe kondeni . nipe Jibu nikalie kiti Sultani nimefika.
Faiza Foxy Malkia wa NGUVU#2019_20
Haa ha ha, we mama ni noumer!Vina vimenikosha, sina hata pakushika
Nijuze ewe mkosha, hazina zako si taka
Ni vyema kujisafisha, kuzifanyia sadaka
Wacha kubahatisha, cha muhimu sadaka
Una hela wewe?Binafsi kama nitakua nimekuelewa vizuri ni hivi, FF hujatongozwa muda mrefu na una hamu na hi kitu na in fact ( kwa mtazamo wangu ) yaelekea pia hujasuguliwa muda mrefu na una hamu hiyo so kwa kua wewe ni mwanamke na huwezi kumfata mwanaume then umeamua kutumia njia hi kufikisha UJUMBE, sema tu vijana na wenyewe wa sasa hivi wazembe wazembe tu, hawajui ku decode hivi code za kina mama/wanawake
Mmh hamna mama, yule jamaa mliyekua mnaongea nae kanitisha, HELA nimezirudisha POCHINI! We ni noumer, mabinti wajifunze tu kwako baaaasi, that is what I can say. Sikuwahi kudhani kama bimkubwa ni mtata hivyo, hongera sana. Nimekupenda ki vingine kabisa leoUna hela wewe?
😁😁😁😁😁😘😘😘 Hapo ndipo ninapokupenda FaizaFoxy. Wewe siyo mtu wa sport sportKuna mwanamme anaejiita Love Nuru?
Ku dadeki FaizaFoxy😘😘😘😘😘Vina vimenikosha, sina hata pakushika
Nijuze ewe mkosha, hazina zako si taka
Ni vyema kujisafisha, kuzifanyia sadaka
Wacha kubahatisha, cha muhimu sadaka
Ulidhani bimkubwa wa spoti spoti sio? Mtoto wa mjini huyo, kwa ufupi ananuka harufu ya town kabisaKu dadeki FaizaFoxy😘😘😘😘😘
Mpaka sasa wote "wameingia mitini"![emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]nipo kuangalia atakayeibuka kidedea.
Sent using Jamii Forums mobile app