Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Watu mbona mnakuwa wagumu sana kuelewa hebu soma tena nilichoandika na yule niliyemquote kaandika nini. Root kasema Faiza ana miaka 40 ndoani kwa hiyo ni bibi yake...kwa maana mtoto wa kwanza wa Faiza tunamkadiria ana miaka 40 au chini ya hapo, ina maana huyu mtoto wa Faiza anatosha kuwa mzazi wa huyu mwanaJf mwenzetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa uko sahihi
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
wanakutania sidhani kama yupo!
 
Mkuu katika siku umeanzisha nyuzi ya kitoto ni leo?

Hii nyuzi imekaa kikahaba sana, hua nimekueka group la wanawake wenye ubongo mkubwa sana humu Jf ...but not anymore

Naanza kuamini wengi wa wasichana jf hawana utofauti na wale wa badoo,sema ndo vile baadhi wanajitahidi sana kujificha hadharani ila ukimuotea angle yake utakuta ni walewale...leo mkuu umeteleza sana,au ulikua unapost ktk ID ya matukio bahati mbaya umepost kwa ID yako ya heshima?

Narudia tena...Huu uzi ni wa kitoto mno...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwache bibi afurahi na wajukuu zake.... kila siku mada ngumu kwanini huoni tunacheka hapa.
 
Watu wanajitakia laana za bure mchana kweupe sasa hii tabia ya kutongoza maajuza imeanza lini au ndo kuzidiwa kwa usongo,nyegezi au ugonjwa wa akili?
.
.
Kuweni na huruma na bibi za watu jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana mvua hazinyeshi na zikinyesha mazao yanakosa soko. Kumbe ni tuvijana tumetafuta laana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi zama hizi za "free market" kuna watu wanatongoza bado???
 
Back
Top Bottom