Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Bibie faiza Mimi nakutaka tukiwa wote watu wa makamo nadhani tutaendana.. Please singatia ombi langu sweetie
sasa si utakuwa na kisukari au presha maana ukisha kuwa wa makamo ni hatari
 
Kuna watu wanapandisha nyege kwa avatar tu na id.

Sasa wanakera hao, wananijazia pm bila mpango.

Mwengine eti mie mbunge ntafanya maisha yako yawe mazuri.

Mwengine mie mfanya biashara naenda china, utapata chochote ukitakacho.

Mwengine yeye eti anaweza kutia goli tisa bila kuchoka.

Yaani wazimu mtupu.

Sasa uwanja huu. Wote wanasepa.

Na nnawaambia mkome kunifata majukwaa mengine na pm mwanamme kweli aje hapa.
Haya mama, wewe wanyoooshe tu. Mie nakuheshimu sana. Wewe ni dada yangu. Mmoja ya watu wa kwanza kunifanya niipende jf...
Midomo zenge kazi kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
hahaha

Watongozaji mkuje huku.mana hamuishiwi kuwaita watu Mungu aliwapendekea katika uumbaji Mara muwaite Kina Cleopatra..soma hiyoooooooooooo
 
Naomba nikuulize , kiswahili fasaha ni kusema "wacheni" au "acheni". Ni hilo tu bibi

Sent using Jamii Forums mobile app
vyote ni viswahili fasaha, ila acheni ni kiswahili sanifu (standard/lugha rasmi ya kamusi kama ilivyoamuliwa na wataalamu wa kiswahili) ila wacheni pia ni fasaha japo sio 'sanifu/standard' ila ukienda kiswahili kilipozaliwa utakuta wenye kiswahili wanakwambia 'wacheni' ila sisi tuliosoma kiswahili cha shule tunasema 'acheni'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom