MBAPPE
JF-Expert Member
- Mar 7, 2018
- 306
- 347
Teh, assume yeye aliolewa 18-20yrs hapo, akiwa 40yrs first born wake ana 18-20yrs hivi(hopefully awe mdada), nae aolewe na kujaliwa watoto. Faiza akiwa 60 hakika mjukuu wa kwanza ataolewa...Tuashum mtoto wake aliingia ndoani na miaka 20 na mjukuu nae kaingia ndoani na miaka 20, huyo ni mmoja na yeye anasema wajukuu. Mbombo ngafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!!Muulize mzee mwenzangu@Eli79 ye kanielewa, wazee huwa tunaelewana mnatusumbua nyie vijana hamtulizi vichwa sijui mnakimbilia wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha... Subiri wahuni (Dogo janja type) wakuvunjie ndoa .Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Haha umeshinda. Na hawa wajukuu ndio tunapigana vikumbo Jf mbaya zaidi wengine tunagombea hadi mabwana... Jf simama nishukie MwembechaiTeh, assume yeye aliolewa 18-20yrs hapo, akiwa 40yrs first born wake ana 18-20yrs hivi(hopefully awe mdada), nae aolewe na kujaliwa watoto. Faiza akiwa 60 hakika mjukuu wa kwanza ataolewa...
Kumbuka kuna jamii at 18yrs mtoto anaolewa, nina binti wazazi walitaka arudi home coz ametafutiwa mchumba, at the age of 17, unaweza kuona...
uhakika wa papuchi upo kwanzaUnaweza kutuma ngapi kwa simu sasa hivi?
Wewe hutongozwi na vidume vya jf??Biashara naona imekolea Watumwa wanakugombania si kitoto, somethings never change, utumwa bado unaendelea hapa JF peke yake umeshajaza Meli tayari.
akutongoze nani ajuza wewe umepitwa na wakati.Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Wapo baby ila huwa nawaambia nipo ruvuma ndani huko wanakata miguu hawanitafuti tena ....wanaogopa kutuma nauli 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Hahahaaa mtani watu wanalaana ya kutongoza maajuza humu jfMtalaka hatongozwi
Jr[emoji769]
Siku nyingine wambiee mume wangu mangi...Wapo baby ila huwa nawaambia nipo ruvuma ndani huko wanakata miguu hawanitafuti tena ....wanaogopa kutuma nauli 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana mvua hazinyeshi na zikinyesha mazao yanakosa soko. Kumbe ni tuvijana tumetafuta laana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama wanakukerawanakukera unadhani hapa wataweza kuwa huru?Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Naanza kuamini wewe ni kijana mwenzetu huna ubibi wowoteJuzi tumeuza mahindi intenashino.