Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Kwako dada FaizaFoxy najua wanakuchafua na kukukosea adabu na heshima huko PM kwako na nyuzi za wanajamii forum wengine lakini mi nahisi ni bora ungeficha upuuzi/upumbavu wao wanaokufanyia kuliko kuweka nyuzi kama hii dada[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Sattelite c1175b
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu wanapandisha nyege kwa avatar tu na id.

Sasa wanakera hao, wananijazia pm bila mpango.

Mwengine eti mie mbunge ntafanya maisha yako yawe mazuri.

Mwengine mie mfanya biashara naenda china, utapata chochote ukitakacho.

Mwengine yeye eti anaweza kutia goli tisa bila kuchoka.

Yaani wazimu mtupu.

Sasa uwanja huu. Wote wanasepa.

Na nnawaambia mkome kunifata majukwaa mengine na pm mwanamme kweli aje hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwako dada FaizaFoxy najua wanakuchafua na kukukosea adabu na heshima huko PM kwako na nyuzi za wanajamii forum wengine lakini mi nahisi ni bora ungeficha upuuzi/upumbavu wao wanaokufanyia kuliko kuweka nyuzi kama hii dada[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Sattelite c1175b
Hapa ndiyo wataelewa wengine si wakutongozwa.
 
Enzi zetu tulikuwa tunasema"ntakula au fitna?
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Kwa hiyo unataka kutongozwa humu? Una pumzi za kuhimili mchaka mchaka lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom