Miss Chit Chat 2012

Miss Chit Chat 2012

Hivi hakutaja kushukuru hata kidogo?

Yaani hakuutambua mchango wa Ruhazwe?

Nimeshangazwa.

Kweli tometofautiana duniani.
Remmy acha kuingilia maneno bila kuwa na uhakika. Ulichokidakia hakina ukweli wowote na nakushangaa na wewe unakuja na maneno yako bila mpangilio.
Hebu logout uje baadae achana na hawa watu wa ID tano tano watakugombanisha na sisi ndugu zako ujute nafsi.
 
Last edited by a moderator:
Una busara kama za mfalme Sulemani... Pamoja sana kaka watu8.
Ila wewe nadhani hauna na kama unayo basi kwa hii ID yako hauko sawa!
Umeniboa coz umekuja na maneno ya ajabu ajabuuuuuu utadhani sio GT.
Iga mfano wa watu8 mkuu
 
Last edited by a moderator:
Remmy acha kuingilia maneno bila kuwa na uhakika. Ulichokidakia hakina ukweli wowote na nakushangaa na wewe unakuja na maneno yako bila mpangilio.
Hebu logout uje baadae achana na hawa watu wa ID tano tano watakugombanisha na sisi ndugu zako ujute nafsi.

Duuu..

Haya baadae my love!
 
Last edited by a moderator:
Ila wewe nadhani hauna na kama unayo basi kwa hii ID yako hauko sawa!
Umeniboa coz umekuja na maneno ya ajabu ajabuuuuuu utadhani sio GT.
Iga mfano wa watu8 mkuu

Ni nani huyo? Mbona intelijensia yangu haidaki?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hakuna mahali nilipoonesha kufurahia...

hilo halina ubishi mkuu,....lakini nadhani kuna haja ya mwenye tatizo na mimi aniface direct aniambie ni vip nimemkaa kooni,kama ikibidi nimwombe samahani,akishindwa anakua ananiogopa na anakua ni mzalishaji mzuri wa majungu,...nafahamu mambo mengine yanatokea kwa sababu maalumu.kwakua nimejaliwa pumzi mpaka leo ni vema mtu anivagae mwenyewe
 
charminglady,nasikitika kusema wewe na baadhi ya members wa Chit Chat hamjaonesha ukomavu wa utu katika shindano hili,hivyo kuwa Wanafiki wakubwa!
Ruhazwe JR alipata matatizo makubwa,na ninyi hamkutaka hata kumuelewa,na kuendelea kumshushia lawama,utafikiri ninyi si binadamu,na mmeweka mkataba na Mungu matatizo yasiwapate!
Huo si utu hata kidogo,na sidhani kama hizo zawadi ndizo ziliwafanya mkose utu kwa kiasi kile!
Mmekera sana aisee,na mumuombe radhi Ruhazwe JR kwa heshima mliyo mvunjia.
Shame on you!

Una shida wewe, shame on you..., kwani nani hakuelewa pale awali tulipoambiwa Ruhazwe JR anaumwa!?? na nini kilifuata baada ya hapo, unaleta tu malumbano hapa, hata hivyo hii habari Ruhazwe JR alisha i clear na sidhani kama kuna mwana chit chat mwenye kinyongo chochote, yalishajiri tukayaongea na yamepita, alichofanya charminglady ni kushukuru tu, usilazimishe afanye kwa mujibu wa hisia zako, narudia tena hili limeshapita, msiturudishe nyuma..
 
Last edited by a moderator:
Dah naogopa kusema hadharani!
Potezea Nicas Mtei hawa ni jamaa zetu sema ndio hivyo akija na ID nyingine analeta ujuaji akidhani hatumjui.

Sina haja ya kujificha mkuu Erickb52,niliweka wazi kabisa katika thread yangu ya "Naliaaa...naliaaaaa" kuwa common Id yangu ipo BANNED.
 
Last edited by a moderator:
Naamini maneno haya wengi watayasoma na kukuelewa kaka...
We endelea kupiga mzigo...kazi uliyoianza umeimaliza, mamiss walipatikana, zawadi wamepata na kwa maneno yao wametoa shukrani zao.

hilo halina ubishi mkuu,....lakini nadhani kuna haja ya mwenye tatizo na mimi aniface direct aniambie ni vip nimemkaa kooni,kama ikibidi nimwombe samahani,akishindwa anakua ananiogopa na anakua ni mzalishaji mzuri wa majungu,...nafahamu mambo mengine yanatokea kwa sababu maalumu.kwakua nimejaliwa pumzi mpaka leo ni vema mtu anivagae mwenyewe
 
Nawewe umemuona eeeh?
Nimemind kinyama aisee

Hahaha...nimeshindwa kumwelewa jirani yangu huyu kama anaChitChatika au yupo serious, maana hapo juu mhusika ambaye ndiye mleta mada kwa uwazi kabisa kaweka shukrani kwa kila mhusika aliyefanikisha kile kindumbwendumbwe chote....pengine hakusoma maneno yote!!!
 
Ali edit baada ya kumkosoa!
Mwanzoni hakumtaja Ruhazwe JR wala wadhamini wa shindano hilo.
 
Last edited by a moderator:
Hivi hakutaja kushukuru hata kidogo?

Yaani hakuutambua mchango wa Ruhazwe?

Nimeshangazwa.

Kweli tometofautiana duniani.

Ali edit baada ya kumkosoa!
Mwanzoni hakumtaja Ruhazwe JR wala wadhamini wa shindano hilo.
 
Last edited by a moderator:
Ali edit baada ya kumkosoa!
Mwanzoni hakumtaja Ruhazwe JR wala wadhamini wa shindano hilo.

Editing inakubalika katika platform ya JF kaka...hivyo huwezi msema mtu kisa kahariri taarifa.Pia you could have PM'ed her if you thought she forgot to appretiate baadhi ya waheshimiwa rather than spoiling her name in front of everybody...that aint acceptable bro!!! halafu ni kama ulikua waibua mapya tu, maana watu walishayamaliza kwenye threads za awali.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom