Miss Chit Chat 2012

Miss Chit Chat 2012

Habari wakubwa kwa wadogo!

Kwa niaba ya charminglady JF Miss Chit-chat 2012, napenda kuchukua fursa hii kuelekeza shukrani zangu za dhati kwa Mungu kwa kutuvusha mwaka 2012 na kuuona mwaka 2013 zaidi sana kwa kumuwezesha charminglady kuchukua taji la JF Miss Chit-chat 2012.
Zaidi napenda kuelekeza shukrani kwa mkuu Ruhazwe JR, kaka Mungu aendelee kukupa uzima na siha njema. Shukrani pia ziwaendee wale wote walitumia muda wao kupiga kura iwe kwa kutumia kompyuta au simu zao, napenda kuwa taarifu kuwa kura zenu hazikupotea bure.
Kiukweli ni ngumu kumshukuru mtu mmoja mmoja maana waliotoa "support" ni wengi mno, ila wengi wao walitokea Jukwaa la MMU, Siasa, Photo, Hoja Mchanganyiko na Chitchat.

Pili shukrani za pekee ziende kwa familia yangu ya Mr.watu8 na Mrs. measkron,watoto WiseLady, charminglady, sweetlady, beibe nasty na Davie S.M. Pia sina budi kumshukuru mkwe wangu C6 na marafikize Nicas Mtei na Erickb52.

Tatu kwa wadau ambao waliweza kufanikisha suala zima la udhamini na ufadhili ambao kwa asilimia kubwa umemwangukia mshindi wa taji hili, ambao nilikutana nao katika harakati za kampeni na ndugu hao kwa moyo mkunjufu wakaweza kutunisha kapu la zawadi, nao ni kaka yangu masopakyindi na mkuu Samaritan

watu8
Charminglady's Campaign Manager

Received with thanks
 
Habari zenu wapendwa wanaChitChat??

Awali ya yote napenda kutoa shukrani zangu za kwa Uongozi wa Jamii Forums kwani bila wao kutoa ushirikiano shindano hili lisingefanikiwa.

Kama muonavyo hiyo BADGE (gold membership) hapo pembeni yangu ndio zawadi mliyonitunuku pamoja na airtime.

Pili napenda kuishukuru familia yangu ya Chitchat ikiongozwa na my lovely daddy watu8 ambaye pia alikuwa kampeni manager wangu kwa ushirikiano wa hali na mali. Mama yangu mpendwa measkron na dada zangu wapendwa sweetlady, WiseLady, kaka yetu wa hiyari Davie S.M, cousins ladyfurahia pamoja na FirstLady.

Vile vile natoa shukrani za dhati kabisaaaa kwa my x-husband C6 kwa mchango wake mkuuuubwa (anaujua mwenyewe) Ubarikiwe saaana.....

Pia napenda kumshukuru muandaaji wa shindano hili Ruhazwe JR a.k.a Mr. Lundenga pamoja na wadhamini woote akiwemo masopakyindi, Ruhazwe JR mwenyewe, Samaritan, kitalolo, Mu-sir, Chimbuvu, Slave na wengineo.... Shukrani saaaana!!"!""!!

Sijawasahau Chitchat friends ikiongozwa na Erickb52, shostito wa ukwenhe Elizabeth Dominick, Evelyn Salt wote hao niliowataja na ambao sijawataja ila walinipigia kura asanteni saaaana. Sina cha kuwalipa ila mbarikiwe saaana.

Sitakuwa na busara kuwasahau members wooote wa JF walio nje ya Chitchat kwani nina imani kubwa wao ndio waliofanikisha ushindi wangu.....

Nimesubiri sana nitangazwe rasmi ila naona bado nimeamua kujitangaza rasmi kuwa mie ndie natetea taji la MISS CHITCHAT kwa mwaka wa 2012....

Ng'wabeja gheteghete bhakima na bhagosha! Mulungu amsungulile lubango!

daaaaaaaaaaaaaah bado nakumbukwaa hehehehehhehe
 
Asante kwa ujumbe mzuri mpendwa wangu...daddy loves you much!!!

Asante sana daddy.... May God bless you abundantly...

Pokea nawe zawadi hiii....

To_Dad_With_Love_Poems.jpg
 
charminglady,nasikitika kusema wewe na baadhi ya members wa Chit Chat hamjaonesha ukomavu wa utu katika shindano hili,hivyo kuwa Wanafiki wakubwa!
Ruhazwe JR alipata matatizo makubwa,na ninyi hamkutaka hata kumuelewa,na kuendelea kumshushia lawama,utafikiri ninyi si binadamu,na mmeweka mkataba na Mungu matatizo yasiwapate!
Huo si utu hata kidogo,na sidhani kama hizo zawadi ndizo ziliwafanya mkose utu kwa kiasi kile!
Mmekera sana aisee,na mumuombe radhi Ruhazwe JR kwa heshima mliyo mvunjia.
Shame on you!

We una matatizo.
Hebu tutolee stress zako hapa. charminglady achana na watu wa dizain hii. Ruhazwe JR ndio alipaswa kuwa wa kwanza kutoa samahani sio hadi aitwe.
We vip acha kukurupuka.
 
Last edited by a moderator:
charminglady,nasikitika kusema wewe na baadhi ya members wa Chit Chat hamjaonesha ukomavu wa utu katika shindano hili,hivyo kuwa Wanafiki wakubwa!
Ruhazwe JR alipata matatizo makubwa,na ninyi hamkutaka hata kumuelewa,na kuendelea kumshushia lawama,utafikiri ninyi si binadamu,na mmeweka mkataba na Mungu matatizo yasiwapate!
Huo si utu hata kidogo,na sidhani kama hizo zawadi ndizo ziliwafanya mkose utu kwa kiasi kile!
Mmekera sana aisee,na mumuombe radhi Ruhazwe JR kwa heshima mliyo mvunjia.
Shame on you!
:iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid:
 
Wapendwa katika bwana,msigombane kwaajili yangu.sijisikii sawa kabisa kuona malumbano juu yangu,ingawa natambua hisia za ndani ya moyo wa charminglady hadi kutopelekea kutambua ufanikishaji wangu katika thread yake.lakini pia natambua hisi za ndani ya moyo wa Free Thinker hadi kumpelekea kuyatamka hayo ndani ya uzi huu.all in all nawasihi sana MSIGOMBANE
:argue::argue:
 
:iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid::iamwithstupid:

Mkiambiwa ukweli lazima povu liwatoke... "Na hiyo kweli itawaweka huru!!"
 
Mkiambiwa ukweli lazima povu liwatoke... "Na hiyo kweli itawaweka huru!!"
katika maisha yangu sipendi kupoteza uaminifu wangu mbele za watu walioniamini nakunithamini labda mimi naishi SAYARI YA MARS lakini sidhani kama kun kitu kisichoelezeka mbele ya binadamu nawiwa kusema wewe ni mnafiki mkubwa ni bora anayemwambia mtu ukweli kuliko anayemng'onga pembeni .anyway kila mtu ana jinsi anavyochukulia mambo yake,mbona hakuna kilichotekelezeka kama sio gambling ile.usiteteee ujinga sio asili ya kiume hiyo
 
Ujinga upi Nivea?
Nini usicho elewa unapo ambiwa mtu yupo kwenye matatizo makubwa na "amefika mwisho kabisa"?
Mnataka hadi angekuja hapa na kusema tatizo langu ni A,B,C?
Hujui kuwa kuna matatizo mengine ni private,na hayana jinsi ya kujielezea kwa wengine?
Kwanini mnakosa utu kwa kiwango hicho?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom