Weera weraaaa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 740
- 657
teh! teh! teh! Mpenda Yesu bana....
Kwa hiyo Kipipi unafurahia mie kuwa BANNED,siyo?
Ngoja niombe poo kwa mods...
Last edited by a moderator:
teh! teh! teh! Mpenda Yesu bana....
Weee si hata nyuma ya pazia hatunaga
Rafiki, people are often unreasonable and self-centred. . . . . . FORGIVE THEM ANYWAY!!
Sasa Bishanga ndoa itakuwa na maana gani?Yaani virutubisho viwekwe kwenye manailoni? Kwa taarifa, mie nilichoka pipi za kwenye makaratasi ndio maana nikakubali ndoa haraka na matunda yake nimeyaona........