CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Habari zenu wapendwa wanaChitChat??
Awali ya yote napenda kutoa shukrani zangu za kwa Uongozi wa Jamii Forums kwani bila wao kutoa ushirikiano shindano hili lisingefanikiwa.
Kama muonavyo hiyo BADGE (gold membership) hapo pembeni yangu ndio zawadi mliyonitunuku pamoja na airtime.
Pili napenda kuishukuru familia yangu ya Chitchat ikiongozwa na my lovely daddy watu8 ambaye pia alikuwa kampeni manager wangu kwa ushirikiano wa hali na mali. Mama yangu mpendwa measkron na dada zangu wapendwa sweetlady, WiseLady, kaka yetu wa hiyari Davie S.M, cousins ladyfurahia pamoja na FirstLady.
Vile vile natoa shukrani za dhati kabisaaaa kwa my x-husband C6 kwa mchango wake mkuuuubwa (anaujua mwenyewe) Ubarikiwe saaana.....
Pia napenda kumshukuru muandaaji wa shindano hili Ruhazwe JR a.k.a Mr. Lundenga pamoja na wadhamini woote akiwemo masopakyindi, Ruhazwe JR mwenyewe, Samaritan, kitalolo, Mu-sir, Chimbuvu, Slave na wengineo.... Shukrani saaaana!!"!""!!
Sijawasahau Chitchat friends ikiongozwa na Erickb52, shostito wa ukwenhe Elizabeth Dominick, Evelyn Salt wote hao niliowataja na ambao sijawataja ila walinipigia kura asanteni saaaana. Sina cha kuwalipa ila mbarikiwe saaana.
Sitakuwa na busara kuwasahau members wooote wa JF walio nje ya Chitchat kwani nina imani kubwa wao ndio waliofanikisha ushindi wangu.....
Nimesubiri sana nitangazwe rasmi ila naona bado nimeamua kujitangaza rasmi kuwa mie ndie natetea taji la MISS CHITCHAT kwa mwaka wa 2012....
Ng'wabeja gheteghete bhakima na bhagosha! Mulungu amsungulile lubango!

Last edited by a moderator: