ginnery
JF-Expert Member
- Nov 9, 2016
- 200
- 146
Una akili fupi kama mkia wa mbuzi!Afadhali waongezewe nipandishe kodi ya nyumba kwa hawa wapangaji wangu
Una akili fupi kama mkia wa mbuzi!Afadhali waongezewe nipandishe kodi ya nyumba kwa hawa wapangaji wangu
59 ni madaraja na vyeo.Si Katibu Mkuu Utumishi kasema ni watumishi elfu 59 tu ndio watapandishwa mishahara.. Sijui nyie mnabeba masikio kama mapambo tu
Kuanzia elfu 10 ila haifiki elfu 20,wakuu wa idara hawajapewa chochote.kazi kwako mkuu ongezeko ndo hilo.Sure mkuuu.. na mimi kuna afisa utumishi mmoja nilikutana nae nikamuuliza alicheka sana.ila akasema ni ndogo tu ndo imeongezwa bila kusema ni Kiasi gani...
Tujiandae kisaikolojia..
Unachobisha nini sasa.Hakuna nyongeza
Nani kakudanganya wakati ni......Nasikia imeongezwa elf 90
Pay imetoka watu tuko foleni hapa jamaa amekuta nyongeza ya Tsh.78000 na Amepandishwa daraja kupitia ATM

Point! Watumishi wakijiongeza wanaoumia watu wa chini sio waliokaa kwny viyoyozi sahvMishahara ni haki yetu hata mkitoa maneno ya dhihaka tunastahili nyongeza za mishahara uhaini tunaofanyiwa siku tukijiongezea wenyewe msilalamike
Kuna watu mnajifanya wasemaji wa serikali hata mkisema Kwa kutumia vipaza sauti na masipika Kwa matarumbeta nyengeza ya mishahara ni haki ya kila mtumishi yeyeto kwenye serikali yoyote hata sekta binafsi
Kuna watu mnasema watumishi njaa Mara oooh hatuwekezi tunaishi Kwa kutegemea mishahara wewe unaesema haya ungekuwa umewekeza Tanzania ingekuwa mbali .
Watuongeze Tu hata 900 itapendeza salary zina viraka hatari
Vipi kwa wanaosubiria mafao yao toka June mosi?Nmemcheki Afisa utumishi mmoja wa halmashauri fulani kanda ya ziwa kanitonya kuna ka ongezeko 'kidogo' japo anakua mgumu sana kudadavua kiundani (scales)...sijui kwa nini
Acha masihara mkuuPay imetoka watu tuko foleni hapa jamaa amekuta nyongeza ya Tsh.78000 na Amepandishwa daraja kupitia ATM
Ni vichwa ngumu hawa....Usitegemee kuongezwa mshahara kwa utawala huu mtumishi jaribu kutafuta njia mbadala ya kujiongezea mshahara na sio kwa utawala huu