kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 514
Watumishi wanahangaika sana kujenga uchumi wa nchi hii ila bila faida.
Wanachoshwa mno bila nyongeza ya kila mwaka. Serekali hii imekua na blablabla za uhakiki zisizo isha. Huu ni uonevu kwa watumishi. Mwezi May alisema rais, wataongeza mishahara kwa watumishi. Mpaka leo, hamna kitu. Ni uongo mtupu wakati yeye anajenga kwao. Watumishi hewa walitolewa, vyeti fake walisha tolewa, umebaki uongo gani tena kuwambia watumishi waliobaki kazi kwanini maslahi yao yasi boreshwe? Usani wa serekali hii umepitiliza.
Wapeni nyongeza watumishi makusanyo ya kodi yaongezeke. Nashangaa waziri wa fedha hamshauri rais hivi. Ukibana pesa zikakaa BoT, hazizarishi. Wape watumishi purchasing power ili wafashana biashara nao wailipe kodi vizuri.
Tusitafute kodi bila kuwawezesha. Nchi zote duniani, watumishi wa uma ndo muhimu kwa kuendesha uchumi wa nchi husika. Ukiwabana watumishi hamna biashara. Rais wangu, that is the only way unakuza uchumi.