Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Nyongeza ya mishahara iendane na quality of service; huduma zenu nyingi ni mbovu sana.
 
hakuna ongezeko la mshahara isipokuwa kwa wale watakaopandishwa madaraja.!!
take my words. tarehe 23 sio mbali
 
hahaha bongo ni kazi sana aisee, watu wanawaza increment za mshahara na hamjapandishwa vyeo? hivi kuhusu arreas inakuaje? kama watu waliopanda vyeo mwaka jana inakuaje?
 
Back
Top Bottom