Haya matimu ushuzi mi mwenyewe siyapendi yanadhohofisha mziki sana. Natamani hata hawa majamaa wawili wafanye kolabo ili hivi vitimu vifilie mbali.
Na kwa nini ziondolewe wakati hapa jukwaani ni sehemu yake. Ushabiki upon kila sehemu na huwezi kupangia watu washabikie vtu vingine hata ka hawapendi. Na vile vile kuna watu wasio shabikia kati ya hizi timu mbili. Na kila kitu kina nafasi yake. Sioni umuhimu wa kutoa nyuzi eti ili kuondoa u timu.Mkuu data kampeni yako ni nzuri ila charity begins at home. Anzia hapa hapa jukwaani kwa kutoa hoja nzito ili zile thread mbili za Team Kiba na Team Chibu ziondolewa, ndo ifuate kwenye media zingine sasa.
Timu dunia zipo Nazi na survive tu ila hapo kwa kushushwa na kupandishwa hebu nipe more clarification kivipi labda.Team ziko duniani kote hata juzi Chris Brown aliposhinda BET tuzo mbili alishukuru #TeamBreezy kwa kua nae bega kwa bega tangia aingie jela atoke mpaka anaendelea kung'aa. Cha muhimu ni zitumike vzr sio zitumike moja kumshusha mwengine au kuleta chuki kati ya wasanii.
Na kwa nini ziondolewe wakati hapa jukwaani ni sehemu yake. Ushabiki upon kila sehemu na huwezi kupangia watu washabikie vtu vingine hata ka hawapendi. Na vile vile kuna watu wasio shabikia kati ya hizi timu mbili. Na kila kitu kina nafasi yake. Sioni umuhimu wa kutoa nyuzi eti ili kuondoa u timu.
Kampeni ni hii "UWA TIMU, BRING BACK BONGO FLAVOR TO ALL ARTISTS".
Tuzishtue na media maana nazo zimeanza kujisahau na matimu haya.
Unatokea face book?
Naona sumu imeisha kwenye ubongo.
ha ha haa hili swali lako lime nichekesha kinoma daah!
Tatizo haya matimu yanafanya watu wanakuwa mapunguani, na upofu kabisa.
Lakin mbaya zaidi ni pressure iliyofika mpaka kwenye media.
Kuna mapimbi yalimlalamikia Dj Zero. , eti hachezi ngoma za Ali kiba wanazokua wameziomba. Huu ndo upofu nnao sema , watu wanakesha kuhesabu KIBA kechezwa mara ngapi na DI kachezwa mara ngapi. Dj asipocheza track majungu yanaanza. Damn it. Tumefikaje hapa?
HELL NO, WE HAVE SOME GOOD MUSIC S'WHERE ELSE.
Team hzi zife.
Team ziko duniani kote hata juzi Chris Brown aliposhinda BET tuzo mbili alishukuru #TeamBreezy kwa kua nae bega kwa bega tangia aingie jela atoke mpaka anaendelea kung'aa. Cha muhimu ni zitumike vzr sio zitumike moja kumshusha mwengine au kuleta chuki kati ya wasanii.
Mi binafsi yangu siko tayari kuacha unoko wa kumshabikia Rais wa Wasafi kiroho mbaya!Hao wasanii wengine wakitaka waanzishe team zao kama alivyoanzisha JUX,sio lazima tuwe na timu mbili za KIBA na MONDI.
Dawa kubwa hapa ni kila msanii aanzishe Team yake na hapo ndipo hizi team mbili zitakosa nguvu maana mashabiki ni walewale.
Maana naona Ally na Naseeb wanaona sifa sana tunavyotukanana kwa ajili yao!dawa ni kila msanii aanzishe team yake ndipo tutakapoheshimiana.
Timu dunia zipo Nazi na survive tu ila hapo kwa kushushwa na kupandishwa hebu nipe more clarification kivipi labda.
Hapo dada unapotoka, unaposema kila msanii aanzishe team yake. Its very wrong.
Kumbuka hizi team zilianza kimizahamizaha, lakini ghafla mtu unajikuta unajenga chuki kali kabisa for no reason. Hili lilianza ntokea mimi, nashkuru nimeshtuka mapema. For sure nilianza chuki kali kabisa dhdi ya kiba, as kitu kinapoendekezwa na kupambwa sana kinageuka kinajenga mizizi na kinakuwa kweli. Kuja shtuka inakuwa too late. Mziki ushakufa.
Hapa tuwaite Matola na Chinga One wafanye consultations na Invisible na Moderator uzi hzi mbili zifutiliwe mbali., ambazo nimesha apa sintang'aa tena ktk uzi hzo mbili.
Kama tunataka tuwe chachu ya mabadiliko tuanze sisi. IT BEGINS WITH US.
"UA TIMU, BRING BACK BONGO FLAVOR TO ALL ARTISTS"