Mimba za kutegeshea zinavyoharibu maendeleo.

Mimba za kutegeshea zinavyoharibu maendeleo.

umeona eeh uchumba wa muda mrefu halafu hajui mzunguko wa mwenzie.........uzembe huu


Ajue mzunguko ili iweje wakati kaegesha tu...mwenzio kazi yake ni moja tu...

Kukumbuka mahali zipu ya suruali yake imekuwa-located...

Kata hiyo huduma ndo utaona!!

Babu DC!!
 
Nimeshauliza, ana wanawake kumi atajuaje mzunguko.wa huyo? Unadhani.kwa nini siku hizi hata ndoa ni rahisi sana mwanaume kuchakachuliwa na mkewe? Yaani Paw ajue.mzunguko wa cacico, wewe, Kongosho, snowhite na yule bar medi karibu na home? Si atahitaji mhasibu wa hedhi?

umeona eeh uchumba wa muda mrefu halafu hajui mzunguko wa mwenzie.........uzembe huu
 
Last edited by a moderator:
ndo maana enzi zetu ilikuwa unajifanya umenasa, then ukimwambie mwanaume unacheki reaction yake, akileta kama za mtoa mada unamwaga fasta, atabaki kushangaaa tu


Hapa sasa wewe unaongea kama mwanamke anayejitambua,

Hivi kweli mtu unakaa na dume miaka hadi 12 bila kufanya test kama linaweza kubeba majumu ya ubaba mbali na kujining'iniza kwenye stage?

I loved u so much...ingawa nasubiri tafsiri ya hayo maneno toka kwa @FP

Babu DC!!
 
Daah babu hapa umenena ni bora huyu jamaa ange toa ufafanuzi ana hisi kwa nini atageshewe mimba?
Na inawezekana huyo dada amesha msoma jamaa akaona wakati wowote ana weza kumgeuka solution ni kumtegeshea kama njia ya kujiami! Na hadi ana mtegeshea huyu jamaa mwanamke alishaweka matumaini mengi kwa jamaa na hakuwa tayari kuona ana poteza kila kitu!

Huyo dada naye hana stadi za MMU,

Kwani hakutumia ujanja wa porini kupima oil ya dogo kama imejaa...

Mbinu yenyewe tena rahisi hii hapa....

ndo maana enzi zetu ilikuwa unajifanya umenasa, then ukimwambie mwanaume unacheki reaction yake, akileta kama za mtoa mada unamwaga fasta, atabaki kushangaaa tu



Babu DC!!
 
Asante Gfsonwin. Lakini mwenzio kutokana na hili alonifanyia mapenzi yashaisha kabisaa juu yake
sa sijui itakuaje!
Una uhakika gani kama alikutegeshea? Usijemhuku wakati anasuffer more than u can emagine, usifikiri kwamba ur such important than maisha yake, kumbuka m/ke kubeba mimba si lelemana anaweka life yake rehan for that, usione mtu ana tumbo ukaona ahaa si amebaba tu for her lessure, no many things can happen.
Ushauri wangu wa bure mpende sana huyo binti sabab anakupenda sana and never think kama amekupata, na wewe ni wa maana sana than other man elewa kuwa kwake you are special ndo mana.
 
Nimeshauliza, ana wanawake kumi atajuaje mzunguko.wa huyo? Unadhani.kwa nini siku hizi hata ndoa ni rahisi sana mwanaume kuchakachuliwa na mkewe? Yaani Paw ajue.mzunguko wa cacico, wewe, Kongosho, snowhite na yule bar medi karibu na home? Si atahitaji mhasibu wa hedhi?


Duuuuuuuuuu, mbavu zangu mie!!

Ukipewa kazi hiyo lazima na wewe siku moja utakuwa fisadi tu!!


Hivyo vitabu utavitunzaje bila kuhakikisha kama mahesabu yamebalance?

Babu DC!!
 
Ndo mkome si mnawatosa na kuoa wengine tegeshenii vimwali safi.
 
Sielewi kabisa...mtu mzima utategeshewaje mimba? Wakati mnafanya mapenzi bila kinga wala aina nyingine yoyote ya birth control mlikuwa mnategemea nini? Hamzijui consequences za unprotected sex na birth control-less sex?
 
Hapana kbm, Huyu mdada anaupeo mkubwa tu kuhusu protection na nina hakika kanifanyia kwa makusudi kwani nimesikia kutoka kwa rafiki yake wa karibu.
Huyo rafiki yake anakutaka na usipokaa vizuri utatembea nae? Kama unabisha jaribu kumtaka uone vile atakukubali bila kukuzuga hata chembe. Kijana amka kutoka kwenye huo usingizi wako inaoota.
 
he he he, lazima mhesibu ahusike

hivi mhasibu si huwa anaonja onja matumizi ya pesa?

Nimeshauliza, ana wanawake kumi atajuaje mzunguko.wa huyo? Unadhani.kwa nini siku hizi hata ndoa ni rahisi sana mwanaume kuchakachuliwa na mkewe? Yaani Paw ajue.mzunguko wa cacico, wewe, Kongosho, snowhite na yule bar medi karibu na home? Si atahitaji mhasibu wa hedhi?
 
Last edited by a moderator:
Lakini si unajua matokeo ya tendo lenyewe? Tena wakati mwingine hata hategeshi ila tu siku zinabadilika ananasa!! Sasa unataka uendelee kuwadanganya watu kuwa ile kitu hamtumii!! Ukipanda harage linachipua ati!!
 
he he he, lazima mhesibu ahusike

hivi mhasibu si huwa anaonja onja matumizi ya pesa?

Itabidi tuwe tunapewa ufafanuzi kabisa. Kuwa huyu ni mhasibu Wa mafweza na yule ni wa nungunungu!
 
babu DC unless kama tunadress jambo moja kwa njia tofauti, huyu mkaka anajua kabisa kwamba nguvu ya mwanamke sas kwann hakujilinda yeye?? kama angekuwa mwangalifu angevaa kondom istoshe kijana hajitambui huyu manake mpasha habari wake ni rafiki wa gf wake jambo ambalo naona ni tatizo zaid kama je gf wake anamawazo hali hii atatokaje na hajampa nafasi ya kudiscuss naye ila anasikiliza watu baki. to me huyu ni mvulana asiyejua wajibu wake. babu mark my words atakuja hapa hapa jamvini kabla mwaka haujaisha akisimulia rafiki wa gf wake kamuharibia uhusianao wake kama hatakuja na uzi nimempa ujauzito rafiki wa gf wangu.
Yaani inaonekana kaka ulieleta huu uzi haufai hata kwa kurumangia, yaani inaonekana ningekutana nawe ningekubwaga kimyakimya sabab huko. Mbele ya safari ungenisumbua bure kujidai shostito wa marafiki zangu, hiyo huwatokea sana wanaume wasiojiamin kwa wapenzi wao.
 
Ajue mzunguko ili iweje wakati kaegesha tu...mwenzio kazi yake ni moja tu...

Kukumbuka mahali zipu ya suruali yake imekuwa-located...

Kata hiyo huduma ndo utaona!!

Babu DC!!

hili nalo neno babu, ndo maana jamaa analia lia kumbe kaegesha
 
Back
Top Bottom