Mimba za kutegeshea zinavyoharibu maendeleo.

Hehehe, tunatengeneza automatic software (niko serious saa hizi akili zangu zimejaa chaji kama nokia ya mkebe ile). Kuna automatic menatrual cycle mtandaoni, hebu tumieni kwa.kufuatilia. Inakuonyesha green days (fertile) na red. Itapunguza na usumbufu wa kumtoa mtu dinner afu ukimchokoza kwenye gari unashika pedi. Babu nisamehe nakukomaza hehehe

Duuuuuuuuuu, mbavu zangu mie!!

Ukipewa kazi hiyo lazima na wewe siku moja utakuwa fisadi tu!!

Hivyo vitabu utavitunzaje bila kuhakikisha kama mahesabu yamebalance?

Babu DC!!

mama washauri vijana, ngono nzembe zinaleta ukimwi na mimba za utotoni.
Nilipoona title ya hii thread nimekuja mbio nikataka kucomment nikasita nikasema ngoja nisome kwanza wengine wamesema nini Dark City, King'asti BADILI TABIA FP et al mmemaliza yale niliyotaka kusema...

DA

bashkiki ni kula dili na hao mahawara. Unasema wana mimba unavuta laki kadhaa za kuflash. Ahurti ule kwa kamba mamito
he he he, lazima mhesibu ahusike

hivi mhasibu si huwa anaonja onja matumizi ya pesa?
 
Last edited by a moderator:
mie mtu akiniwekea usiku let say mwaka mzima hatangazi ndoa namtegeshea na akichomoa tu namwambia baba yangu amsomee HALAL BADRI aokote makopo

Eti mwanaume anakutumia weee, kisha anakuja na hadithi, eti wazazi wamemtafutia mke huko kijijini, nyoooo, asiku nhiyo atajua tofauti ya tui na maziwa, au tende na halua

sipendi mie mwanaume kunigeuza shanuo,

Hilo ndilo ninalojiuliza kila siku, kweli mwanaume anamtumia tu mwanamke bila yeye mwanamke kujisikia raha ile ile anayopata kutoka kwa mwanaume? Kupata mimba au kutopata ni hiari ya mwanamke kwani niye mwenye mamlaka juu ya mwili wake mwenyewe, ikiwa imepatikana kwa njia ya kubakwa hiyo ni nongwa nyingine.

KWANI KAMA ANATAKA MIMBA YA KUKUSUDIWA NA WOTE WAWILI NI MAKUBALIANO. PENGINE AKINA DADA HUFANYA MBINU ZA KUMVUTIA MWANAUME NA YAKIJILIA HAPO MWANAUME ANATANDIKIWA MKEKA. Ndiyo hayo yanayosemwa.
 
kumbe kijana umekua na Mungu amekubariki wenzio walienda hadi loliondo kupata hata hiyo ya kutegeshewa lakini wapi,hebu jipigie makofi kwa kazi nzuri,ulionja asali umejenga sega lake kilio cha nini hayo mengine yatajulikana mwisho wake jipange,ukubwa jiwe.
 
Hehehe, tunatengeneza automatic software (niko serious saa hizi akili zangu zimejaa chaji kama nokia ya mkebe ile). Kuna automatic menatrual cycle mtandaoni, hebu tumieni kwa.kufuatilia. Inakuonyesha green days (fertile) na red. Itapunguza na usumbufu wa kumtoa mtu dinner afu ukimchokoza kwenye gari unashika pedi. Babu nisamehe nakukomaza hehehe

mama washauri vijana, ngono nzembe zinaleta ukimwi na mimba za utotoni.

bashkiki ni kula dili na hao mahawara. Unasema wana mimba unavuta laki kadhaa za kuflash. Ahurti ule kwa kamba mamito

Hii inakera sanaa aaa aaa aa King'asti
 
Pole Matatiz! Ndo tayari nini??

Lakini mkuu kile unachopanda ndicho utakachovuna.. Kama unashiriki tendo la ndoa pasipo kinga yoyote ya mimba unategemea nini??

Nafikiri hili linatokana na baadhi ya wanaume kufikiri kuwa.. Ni jukumu la mwanamke tu kujikinga dhidi ya mimba zisizotarajiwa. Men should learn to be part of this responsibility.

Pia uchumba ukikaa sana ni kupotezeana muda.. Coz bila any committment wasichana ndo huwa wanaumia mwisho wa siku kwa kuachwa. Sasa uchumba unadegreee kaaaa ... Sihitaji.. Lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ha haaaaaaaaaaa, stress za nini sasa! hivi tunaweza kweli kukimbizana na masista du huko mtaani? na wanavyopenda wazee sasa, ni balaa................. mimi nahisi vijana wa siku hizi hawafanyi kazi zao vizuri, lol!
ndo maana akina babu Dark City mtazidi kufwatwa tu

hahahahahhaaaaaaaa................ FP umenichekesha sana, unajua kuna siku nilikuwa nataniana na hubby nikamwambia siku hizi wagomvi wetu ni vischana lol! tena vitoto vyetu.....akasemaje hivi unafikiri vijana wa kiume anaweza kumfanya mwanamke akaijua thamani yake ya yeye kuwa mwanamke??
 
Last edited by a moderator:
Na jinsi msivyopenda kuambiwa mmezeeka...I can't imagine huko ndani ulikuwa unajisikiaje..

Babu DC!!

babu mie hua nakubali kabisa, hivi unaukumbuka ule wimbo wa munishi wa enzi zile ulikuwa unaitwa huna wewe huna cha kujiringia huna??

alikuwa anasema hivi, hata upake wanja uweke clear tone uso unakataaa mana uzee umekuja.......;lol!

sasa kumbuka miaka ile 1947 cream ilikuwa ni clear tone, dawa za nywele ni iyomboo ama zazuuu...........perfume ni ayu ama yolanda lolest!

utanilinganisha na vibinti vya active woman na huges??
 
Asante Gfsonwin. Lakini mwenzio kutokana na hili alonifanyia mapenzi yashaisha kabisaa juu yake
sa sijui itakuaje!

Lakini kwanini unafikiri amekutegeshea?? Au amekwambia? What if ni bahati mbaya..... Na hizo danger days zinakuwaga tamu balaaaaa... Utamu wa vanila eeee utamu...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hahahahahhaaaaaaaa................ FP umenichekesha sana, unajua kuna siku nilikuwa nataniana na hubby nikamwambia siku hizi wagomvi wetu ni vischana lol! tena vitoto vyetu.....akasemaje hivi unafikiri vijana wa kiume anaweza kumfanya mwanamke akaijua thamani yake ya yeye kuwa mwanamke??
ha ha haaaaaaa, chipsi kuku na soseji, lol!
wewe hukusikia juzi mzee mzima The Boss anasema ili ashughulike ipasavyo anatakiwa ale ashibe sawa sawa...... sasa chips mayai na soseji mwanaume mzima anashiba?
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaaaaaa, chipsi kuku na soseji, lol!
wewe hukusikia juzi mzee mzima The Boss anasema ili ashughulike ipasavyo anatakiwa ale ashibe sawa sawa...... sasa chips mayai na soseji mwanaume mzima anashiba?

Wafundisheni basi mabinti na wajukuu zetu wakumbuke kuwa siyo kila chakula kinamfaa mwanamume!!

Ndiyo maana hata simba majike wanahakikisha dume lao limeshiba kisawa sawa!!

Haya mambo ya kuiga yatatufanya tukose wajukuu!!

Babu DC!!
 
babu mie hua nakubali kabisa, hivi unaukumbuka ule wimbo wa munishi wa enzi zile ulikuwa unaitwa huna wewe huna cha kujiringia huna??

alikuwa anasema hivi, hata upake wanja uweke clear tone uso unakataaa mana uzee umekuja.......;lol!

sasa kumbuka miaka ile 1947 cream ilikuwa ni clear tone, dawa za nywele ni iyomboo ama zazuuu...........perfume ni ayu ama yolanda lolest!

utanilinganisha na vibinti vya active woman na huges??

Hongera zako teacher kama hujali,

Mie najua kuwa wamama wengi wanapenda kuambiwa kuwa ni watu wazima, siyo watoto..

Ila hawapendi kabisa kuambiwa kuwa wamezeeka...!!

Hata bibi halitaki kabisa hilo neno!!

Babu DC!!
 
Polr basi,

Tuchukulie kuwa wazee kuambiana I love you siyo matusi....

Si unajua wazee wanavyoogopa kutumia matusi tena hadharani?

Babu DC!!
ha haaaaaa, si mnasemaga hiyo i love you akiisema bibi hainogi! eti anaisemea kwenye mapengo...... inanoga ikitoka kwa mrembo maana lafudhi tu balaa, lol!
 
Wafundisheni basi mabinti na wajukuu zetu wakumbuke kuwa siyo kila chakula kinamfaa mwanamume!!

Ndiyo maana hata simba majike wanahakikisha dume lao limeshiba kisawa sawa!!

Haya mambo ya kuiga yatatufanya tukose wajukuu!!

Babu DC!!
usitie shaka babu, wajukuu watapatikana through mababu ambao bado hawawezi kuituliza kwa bibi tu (excluding you, lol!)...
hao mabinti wataanza kupika tu pindi pale mababu watakapoacha ku-provide 500,000/= kwa wiki ya salon
 
Tena Dark City uje hapa unisikie, afu huyu baba ndo nimekua baada ya kunikataa 'akajipange'. Nimeshika faranga zangu anajileta ooh mie babako. Nyauuuu, nitamtoa mita potelea mbali hata nikifa kama kanumba na tukose wote kuliko anifaidi. Mie sina huruma hata robo na mwanaume asie hudumia mwanae. For that matter hata mwanamke. Hakuna reason aisee.

sasa mizunguko ataishika ya wangapi nae ana wanawake mia kidogo mjini? Labda aweke software kwenye android yake, akhaaa!

shosti ulolisema mie nimelishuhudia kwa mzazi mmoja................and real mtoto alisema haoni uchungu wala hajutii siku baba yake alipomlala mama yake mimba yake ikatungwa, manake kama baba aliithamini iyo siku basi asinge mtelekeza mtoto na mama. mama akamlea mtoto kwa kuuza pombe na baba akiambiwa hata salam anajua ni gia ya kuombwa hela anamtukana mtoto kama mbwa. mtoto alijenga chuki mbaya sana.

bwana usishangae kumbe mtoto anakuwa na si jiwe useme hata sogea, mtoto akasoma siku hizi ni dr by phd na anafanya kazi UNDP baba yake ndipo akatambua potentials za mwanae. mtoto akamwambia baba hii dhambi itakuja tani 7 ikisha panda mm sikujui na kama Maisha yako fair basi yaseme kwann ulinikataa na kunitesa halafu leo unakuja kunisumbua. sikujui na huyu ni mama na baba yangu. baba mpaka leo natafuta ukoo umuombee samahani.
 
Hongera zako teacher kama hujali,

Mie najua kuwa wamama wengi wanapenda kuambiwa kuwa ni watu wazima, siyo watoto..

Ila hawapendi kabisa kuambiwa kuwa wamezeeka...!!

Hata bibi halitaki kabisa hilo neno!!

Babu DC!!
hata mimi mwenzangu sijazeeka......
wazee wapo kijijini.....
mjini kuna watu wazima tu, lolest!
 
shosti ulolisema mie nimelishuhudia kwa mzazi mmoja................and real mtoto alisema haoni uchungu wala hajutii siku baba yake alipomlala mama yake mimba yake ikatungwa, manake kama baba aliithamini iyo siku basi asinge mtelekeza mtoto na mama. mama akamlea mtoto kwa kuuza pombe na baba akiambiwa hata salam anajua ni gia ya kuombwa hela anamtukana mtoto kama mbwa. mtoto alijenga chuki mbaya sana.

bwana usishangae kumbe mtoto anakuwa na si jiwe useme hata sogea, mtoto akasoma siku hizi ni dr by phd na anafanya kazi UNDP baba yake ndipo akatambua potentials za mwanae. mtoto akamwambia baba hii dhambi itakuja tani 7 ikisha panda mm sikujui na kama Maisha yako fair basi yaseme kwann ulinikataa na kunitesa halafu leo unakuja kunisumbua. sikujui na huyu ni mama na baba yangu. baba mpaka leo natafuta ukoo umuombee samahani.
wababa wa hivyo wapo wengi sana,
mimi nina mfano wa mtu wa karibu kabisa ambaye pia baba alimkataa na alikuwa na watoto wengine kwa huyo mke wake. basi mtoto akajilea mwenyewe kuhangaika kusoma, wale ambao alikuwa nao akiwahangaikia hakuna hata aliyemaliza form four, na baba alikuwa na uwezo balaa. sasa huyu mwenzangu mimi ni boss mkubwa sana...... useme na huyo mtu ana roho ya kusamehe sana, sasa anamuhudumia babake na mkewe na watoto na wajukuu zao, lol!
 
Hongera zako teacher kama hujali,

Mie najua kuwa wamama wengi wanapenda kuambiwa kuwa ni watu wazima, siyo watoto..

Ila hawapendi kabisa kuambiwa kuwa wamezeeka...!!

Hata bibi halitaki kabisa hilo neno!!

Babu DC!!

khaaa! babu hata ukatae uzee upo tu.........na natakiwa niwe handled kama mzee. si unajua wazee hatunaga purukushani?

ni heshima sana kuwa mzee katika jamii napata faraja pale ambapo hata watu mtaani wanasema kabisa mama fulan yeye ndo atatusaidia si unajua mtu mzima dawa??
 
Back
Top Bottom