Mimba za kutegeshea zinavyoharibu maendeleo.

Ah mimi ninaomba msaada hapo kwenyye red........mwanaume anakutumia? Anakutumiaje?

Uchumba sugu mnautaka wenyewe, mbona kuna njia nyingi za kumfanya ajicommit bila hata kumtegeshea mimba wala madawa? Mfanye akuone wewe ni mwanamke wa pekee, mfanye aijue thamani yako na atambue kosa atakalolifanya iwapo ataachia apokonywe na mwanaume mwenzake, mfanye ajione yeye ni mwanaume mwenye bahati kuwa nawe kimapenzi. Na zaidi ya yote, mwambie MUNGU haja ya moyo wako.

Nawatakia kila la kheri wanawali wooote mnaotarajia kuwa na wenzi wenu wa maisha, na nyie wenye uchumba sugu, amkeni tokeni usingizini, tambueni thamani zenu, chukueni hatua.

Ahsante sana MwanajamiiOne,

Na-acknowledge uwepo wako hapa na mchango wako....

Concept ya kutumiwa kwa kweli haijatua kichwani mwangu,

Nitahitaji refresher kozi ili nisaidiwe..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu muhimu bana wanaume nyie acha kabisa nashindwa kuelewa utakaaje na mtu miaka mitano eti uchumba?? Uchumba gani huo?? aku babu eehhh

Sina cha kuongeza DA,

Nadhani wahusika wanafurahia tu hiyo extended service delivery...

Vinginevyo siwezi kumwelewa mtu anayekaa mahali kwa miaka kibao bila kujua kwa nini yuko hapo!!

Babu DC!!
 
Habarini za Juma pili wana JF.
Leo napenda kuwasilisha juu ya hili la wadada wanapokua na long time relationship. Mara nyingi huwa wanashauriana eti ukitaka flani akuoe we mzalie mtoto. Utakuta saa nyingine ndio umepanga utamwoa lakini baada either kujiendeleza kimasomo ili uongeze kipato ama kufikia hatua flani ya maendeleo. Sasa baada ya kutegeshewa basi tena hapo kidume huez kufikiria maendeleo ambayo umejiwekea zaidi ya kujiandaa na majukumu ya malezi. Hivi wadada mnajua ni jinsi gani inavyouma kwa mwanaume ukimtegeshea mimba?

kwa kweli cha kutegesha aisee not good at all......bora mtu mjadiliane aisee as kupata mtoto ni makubaliano kama ilivo kwenye kufanya mapenzi
 
Sina cha kuongeza DA,

Nadhani wahusika wanafurahia tu hiyo extended service delivery...

Vinginevyo siwezi kumwelewa mtu anayekaa mahali kwa miaka kibao bila kujua kwa nini yuko hapo!!

Babu DC!!

Eti wewe na bibi mlikaa muda gani mkawekana ndani moja kwa moja ??? Swali la kizushi mie ngoja nijibu kabla uniulize miezi mitatu tu mambo yalikuwa ready ....................
 
umepigwa tukio nini kaka....ndo maisha....na kila mtoto anakuja na bahati yake.....

Nime like x 1000

Maana kwa hili mi ndo nashindwa kuelewana na watu wanaopanga idadi ya kuzaa, eti uchumi...
 
Eti wewe na bibi mlikaa muda gani mkawekana ndani moja kwa moja ??? Swali la kizushi mie ngoja nijibu kabla uniulize miezi mitatu tu mambo yalikuwa ready ....................

Three years ila kila mtu aliendelea kuishi kwake...

Sikupenda kabisa anifanyie kazi yoyote, hata kunioshe glass ya kunywe maji!!

Babu DC!!
 
Ahsante sana MwanajamiiOne,

Na-acknowledge uwepo wako hapa na mchango wako....

Concept ya kutumiwa kwa kweli haijatua kichwani mwangu,

Nitahitaji refresher kozi ili nisaidiwe..

Babu DC!!
Dark City
Babu yangu umesahau wewe ndio ulinifunda kuwa na shukrani na kuutizama upande chanya wa kila jambo?? Aisee labda kama anasema kutumiwa kifedha (Kuchunwa) kama wafanyavyo hao wanaoitwa Mario (Kitu ambacho hata hivyo bado nashindwa kuelewa mechanisms yake). Lakini katika hili la kuwa pamoja kisha useme amekutumia dah kwangu inakuwa ngumu kuielewa kidogo.

Ila Babu kwa upande mwingine pia sielewi wanaume ambao wanakiri udhaifu wa kutegeshewa kwa sababu kama ana nia hasa ya kuwa hayuko tayari kuzaa na huyu au kwa wakati huu why asitake precaution kwa hali na mali? Kwa wanawake nitaelewa maana wengine si wanasemaga kuwa wanaume wana uwezo wa kutoboa condom kwa makusudi au nazo ni story tu za kitaa?
 
au wanasema zinawazuia ku feel joto, mwanaume wa kusema anategeshewa ni mwanaume anaekwepa majukumu, umetegeshewaje sasa wakati una akili timamu za kutumia kinga?
 
Nimeshauliza, ana wanawake kumi atajuaje mzunguko.wa huyo? Unadhani.kwa nini siku hizi hata ndoa ni rahisi sana mwanaume kuchakachuliwa na mkewe? Yaani Paw ajue.mzunguko wa cacico, wewe, Kongosho, snowhite na yule bar medi karibu na home? Si atahitaji mhasibu wa hedhi?
HIVI we binti hiki kicwa ndo hiki hiki ulifaulia mtihani wa darasa la saba?ndo hiki hiki na wa form four ukapasi,na ndo hiki hiki kweli unakohifadhia majukumu yako ya siku nzima!YANI NIMECHEKA MPAKA NAHISI NJAA!lol!kweli vy kurithi vinazidi! Mtambuzi kimsingi sihitaji DNA kuhusu huyu binti yako!salamu zikufikie muuza ubuyu popote ulipo ole wako siku ningine nikusikie unaleta mbofu mbofu kuhusu uraia ya King'asti !YU WILL HAVE TO DEAL WITH ME buddy!
 
Ahahahaaaaaa snowhite, umeonaeeee!?
 
Last edited by a moderator:
au wanasema zinawazuia ku feel joto, mwanaume wa kusema anategeshewa ni mwanaume anaekwepa majukumu, umetegeshewaje sasa wakati una akili timamu za kutumia kinga?
Tuongee ukweli Nyamayao. Hizo kitu mara myingi zinatumika tu pale mnapoanza relationship lakini mkishadumu zaid ya miez kadhaa, is no longer aplikabo. Uongo?
 
Habarini za Juma pili wana JF.
Leo napenda kuwasilisha juu ya hili la wadada wanapokua na long time relationship. Mara nyingi huwa wanashauriana eti ukitaka flani akuoe we mzalie mtoto. Utakuta saa nyingine ndio umepanga utamwoa lakini baada either kujiendeleza kimasomo ili uongeze kipato ama kufikia hatua flani ya maendeleo. Sasa baada ya kutegeshewa basi tena hapo kidume huez kufikiria maendeleo ambayo umejiwekea zaidi ya kujiandaa na majukumu ya malezi. Hivi wadada mnajua ni jinsi gani inavyouma kwa mwanaume ukimtegeshea mimba?
Sasa kwa nini mnasubiri hadi uchumba uote sugu? Kuoa sio lazima matarumbeta.....Ni Kitendo cha nusu saa tu mnaanguka saini zenu basi...Tatizo lenu wakaka mnakuwa hamsomeki na matokeo yake ndo hayo..
Btw ..sisapoti mambo ya kutegesheana..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom