Mimba za kutegeshea zinavyoharibu maendeleo.

Mimba za kutegeshea zinavyoharibu maendeleo.

Lakini si unajua matokeo ya tendo lenyewe? Tena wakati mwingine hata hategeshi ila tu siku zinabadilika ananasa!! Sasa unataka uendelee kuwadanganya watu kuwa ile kitu hamtumii!! Ukipanda harage linachipua ati!!

Hivi ina maana vijana wa siku hizi mnapiga mechi zote mkiwa na helmet kichwani?
 
Lakini si unajua matokeo ya tendo lenyewe?

There you have it!

I don't ever get it when folks play dumb as if they didn't know what they were getting themselves into.

You have unprotected sex you risk getting venereal diseases and unplanned and unwanted pregnancies.

There is no trickery there.
 
hili nalo neno babu, ndo maana jamaa analia lia kumbe kaegesha

Ila naona kama pressure yake ni ya muda. Yule ambaye anayo 9 months mbele yake na kulea ndiye analo kama mlinzi wa zamu tena shift ya usiku .
 
ni kweli alimtia yeye, lakini walikubaliane watiane?
huyu naona anazungumzia zaidi ile ya kutegeshea, yaani mdada unafanya kwa makusudi kabisa kujipatia hiyo minba ili tu uolewe.
kuna zile "za kushtukiza" ambayo kwa haki ya Mungu mdada naye hakujua kama itatokea, hapo huwezi kumlaumu mdada, maana hata yeye hakupenda hayo yatokee ila ndo hivyo tena yemetokea, hapo huwezi kumlaumu binti.....ingawa kafanya kosa la kuzini.
lakini hizi "za kujitegeshea"! hata mimi naunga mkono mkaka atakayeishiwa mapenzi na huyo dada, sababu hajamtendea haki mwenzake. mimba ni ya wote kwa hiyo mnatakiwa au wote muwe na taarifa kuwa tunaitafuta, au wote msiwe na taarifa kama itatokea. kusiwe na "information asymmetry"
Me luv u FP!
 
Kwani akiamua kusepa haiwezekani?

Mie naona kama huyo dada ndo kauvaa mkenge! Mtego wa dik dik umenasa kenge!

mmh! babu hv bado kuna watu wanaokimbia mimba, km ana uhakika ni yake alee tu.Ref dada preta,kila mtu na bahati yake!
 
sie tuwe wakaguzi wa wahasibu?
Nitakubebea mikoga

ila hata sie turuhusiwe kukaguana mahesabu in case mmoja akiwa na wasi wasi

Itabidi tuwe tunapewa ufafanuzi kabisa. Kuwa huyu ni mhasibu Wa mafweza na yule ni wa nungunungu!
 
Umeanza lini ubahiri?

Kwani wewe hujawahi kumwekea mtu mtego hata kama haukunasa?
Dark City nimeishiwa cha kuandika swali lako BADILI TABIA kanijibia tayari nilikamata na kutupa kuleee alipoanza kuleta za kuleta, ila kuna mmoja ndo alinikomesha alinikomalia anioe na mimi sina kitu wewe chezea wanawake nilivuka huo mtego nikapanga na Dr tukadanganya imetoka kumbe hakuna kitu na mkwanja nikalamba ha ha ha enzi hizo ujinga na upuuzi mtupu
 
Last edited by a moderator:
BIG LIKE

wanawazingizia wanawake sana.

There you have it!

I don't ever get it when folks play dumb as if they didn't know what they were getting themselves into.

You have unprotected sex you risk getting venereal diseases and unplanned and unwanted pregnancies.

There is no trickery there.
 
Dark City nimeishiwa cha kuandika swali lako BADILI TABIA kanijibia tayari nilikamata na kutupa kuleee alipoanza kuleta za kuleta, ila kuna mmoja ndo alinikomesha alinikomalia anioe na mimi sina kitu wewe chezea wanawake nilivuka huo mtego nikapanga na Dr tukadanganya imetoka kumbe hakuna kitu na mkwanja nikalamba ha ha ha enzi hizo ujinga na upuuzi mtupu

hahahahah Dena Amsi kumbe huu mchezo hatarishi umeupitia..... Mie nashukuru ulinionyesha rangi halisi za jamaa, alikaa pembeni na mie nikasepa
 
Last edited by a moderator:
Hivi hata wewe utatoaje mkopo mkubwa kiasi hicho kwa mtu bila ya kupewa dhamana yoyote?

ndo maana siku hizi hatutaki uchumba miaka 5..... Hatutaki kuanza maisha wote.... Tunataka tukukute nazo tujazilizie au tuzitumbue mweeeh
 

mmh! babu hv bado kuna watu wanaokimbia mimba, km ana uhakika ni yake alee tu.Ref dada preta,kila mtu na bahati yake!


Hiyo kauli ya Preta ni ya hatari sana...

Wanaume wakiifuata hiyo basi waombe Mungu DNA test ya watoto isije siku moja ikafanywa kuwa compulsory...

Nakuhakikishia makaburi yote yatajaa hata sehemu za ku-recycle hazitapatikana!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
sie tuwe wakaguzi wa wahasibu?
Nitakubebea mikoga

ila hata sie turuhusiwe kukaguana mahesabu in case mmoja akiwa na wasi wasi

Babi is retired na pension inamtosha...

Hata hivyo wachacharikaji wapo kibao...nikupigie pande Kongosho?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
hahahahah Dena Amsi kumbe huu mchezo hatarishi umeupitia..... Mie nashukuru ulinionyesha rangi halisi za jamaa, alikaa pembeni na mie nikasepa


Ha ha ha nimepitia shosti acha tu yaani saa nyingine huwa nakumbuka nakucheka sana ..................niliwahi mdanganya mmoja eti akanilaani kwanini nimetoa kumbe mkwala nilitaka mkwanja tu ha ha ha hizi mambo hizi balaa tupu tu........
 
Dark City nimeishiwa cha kuandika swali lako BADILI TABIA kanijibia tayari nilikamata na kutupa kuleee alipoanza kuleta za kuleta, ila kuna mmoja ndo alinikomesha alinikomalia anioe na mimi sina kitu wewe chezea wanawake nilivuka huo mtego nikapanga na Dr tukadanganya imetoka kumbe hakuna kitu na mkwanja nikalamba ha ha ha enzi hizo ujinga na upuuzi mtupu

Unaona DA....hapa ulicheza kama yule jamaa wa kwenye movies za Rambo,

Hivi mdada anaweza vipi kuishi na lijamaa likijikamulia kwa miezi, miaka hadi inakaribia muongo mmoja bila kukata hata bima ya third party?

Bajaj zenyewe zina bima, iweje hao wadada wanabweteka? Au dozi inawafanya vipofu??

Babu DC!!
 
ndo maana siku hizi hatutaki uchumba miaka 5..... Hatutaki kuanza maisha wote.... Tunataka tukukute nazo tujazilizie au tuzitumbue mweeeh


Safi sana,

Sijui mie ningefanyaje kwa kweli.....sikupenda si kuishi na bibi nyumba moja, hata kunipikia msosi....

Nilitaka hamu ya kuwa my wife ipande hadi izidi nyuzijoto 100 na tuliweza, kwani hakuwahi hata kunifulia leso!!

Babu DC!!
 
Ha ha ha nimepitia shosti acha tu yaani saa nyingine huwa nakumbuka nakucheka sana ..................niliwahi mdanganya mmoja eti akanilaani kwanini nimetoa kumbe mkwala nilitaka mkwanja tu ha ha ha hizi mambo hizi balaa tupu tu........

Kumbe na wewe una sifa za kuwa member wa 1947 club?

Wasiliana na katibu basi.. FP ili akupe mwongozo..

Vijana wa siku hizi wakishavuliana kufuli wanachanganyikiwa kabisa na kufikiria muda wote kwa kutumia vichwa vidogo!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom