snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
No si vibaya mtoto. Let him/her come muda muafaka. Sasaa daaah! Haya.
mimi mtu kaifika hapa kwenye red huwa naziita !NGUMU KUMESA TAMU KUTEMA!
No si vibaya mtoto. Let him/her come muda muafaka. Sasaa daaah! Haya.
Asante Gfsonwin. Lakini mwenzio kutokana na hili alonifanyia mapenzi yashaisha kabisaa juu yakeat least my dear umemtia moyo, ila kuna kitu ambacho huyu kijana hata kiona leo but muda ukifika ata realise tu.
this is my theory, Mungu alikuwa na uwezo wa kuzuia hili lisitokee yaani mtoto asipatikane, lkn kwann ameruhusu?? you never know, it was meant to be so na that's where your point comes in.
unajua nini dada/teacher gfsonwin,
kama kuna kitu kinatibua na kuvuruga akili za mwanamume yeyote ni kumwambia habari za mimba ambayo hajajiandaa nayo...
Heri yetu wa 1947 tulikuwa tunabebana hata kabla ya kupendana....
Babu dc!!
Asante Gfsonwin. Lakini mwenzio kutokana na hili alonifanyia mapenzi yashaisha kabisaa juu yake
sa sijui itakuaje!
Hapana kbm, Huyu mdada anaupeo mkubwa tu kuhusu protection na nina hakika kanifanyia kwa makusudi kwani nimesikia kutoka kwa rafiki yake wa karibu...., wala! Hakuna kilicho haribika. Ukiwa unamwaga hovyohovyo lazima inase tu, hakuna cha kutegeshewe.
siosiri,,mimi nikipewaga taarifa kama hizo huwa nakua mdogo sana
coz sijajiandaa nazo,na kwanini anitegeshee sasa??
Siyo ugali wa bure na wewe King'asti...ni ule unaotolewa bila masharti au vikwazo vya kiuchumi (economic embargo)!!
Hata sijui ningefanyaje....ukinitegeshea mapacha nadhani nitahama nchi kabisa...hata kama nitakimbilia Shimo la Tewa!!
Babu DC!!
mie mtu akiniwekea usiku let say mwaka mzima hatangazi ndoa namtegeshea na akichomoa tu namwambia baba yangu amsomee HALAL BADRI aokote makopo
Eti mwanaume anakutumia weee, kisha anakuja na hadithi, eti wazazi wamemtafutia mke huko kijijini, nyoooo, asiku nhiyo atajua tofauti ya tui na maziwa, au tende na halua
sipendi mie mwanaume kunigeuza shanuo,
Babu, inawezekana hata sio kama dada wa watu anafanya makusudi. Inaweza kuwa bahati mbaya. Ila kiukweli uchumba sugu umeshindikana mjini, mnajipanga hadi wapi? Jitu lina kazi, lina kibaby walker japo vitz, lina kiwanja mpigi magoe, afu linajipanga nini? Kama ikitokea unplanned pregnancy mnapaswa kuhandle pamoja. Sasa mambo ya kugoma kuhusika inahuu? Kumbe kila siku ukiwekeza ulijua pipa la mahindi hilo unamiminia nafaka?
tena sio mapacha, triplets, dadeki!
the shoo kubwa unanishangaza sana na leo ngoja niwape mchambo kidogo wakaka wadogo wa jf.
hivi mmesahau kwamba mwanamke ndo chanzo cha dhambi ulimwenguni?? je unasahau kwamba ananguvu hata ya kumuangusha kifua chuma kama SAMSONI na hata kuua kabisa?? kama mnalijua hilo kwanini mnajilengesha wenyewe?? kwani hao wanawake wenu wana shikaga yoyoyo zenu na kujitia ama huwa mnaziingiza wenyewe??
acheni visingizio bana, mnjua kabisa kwamba wanawake wanawatega yet manajilengesha what do you expect?
No. Nimtashi juu ya prena protection na hilo lililonitokea nililisikia kutoka kwa rafiki ake wa karibu baada ya kunionea huruma navyohuzunika.
NASHUKURU KWA DARASA LAKO
KTK KUONGEZEA TUH,SIO KWAMBA TUNAJIRAHISI KWA WADADA KWA BAHATI MBAYA,,"KEI" TAMU ATIII..!!!
:madgrin: :madgrin:
ni kweli alimtia yeye, lakini walikubaliane watiane?damn it!! hivi alijitia mwenyewe ama ulimtia wewe?? kwanza tuanzie hapo ndipo niendelee.
babu DC kwani malipo ya ngono ni yepi?
anapozini anajua ana mbegu hewa ama mwenzie mayai ni viza??
kwa upande mwingine mdada burden za mimba hulala kwako kwa kiasi kikubwa manake tumbo na maudhi yake untayabeba wewe sasa kwann urisk to such extent?? acha hadi muwe tayari nyote otherwise unajitafutia msongo wa mawazo tu.
kama unalijua hilo basi scha zinaa.
ngoma kama hiyo watoto wa mjini tunasema unapata raha katikati ya matatizo.
SIO SIRI ZINARUDISHA NYUMA SANA MAENDELEO
ILA KIBOKO YAO NI MIMI,,YANI KAMA NAOTEA VILE KWAMBA LEO NATEGESHEWA LAZIMA NIVAE MPIRA AU NIKIMBIE GAME
AKITEGESHA ME NATEGUA TUH
:madgrin: :madgrin:
Asante Gfsonwin. Lakini mwenzio kutokana na hili alonifanyia mapenzi yashaisha kabisaa juu yake
sa sijui itakuaje!