Mimba za kutegeshea zinavyoharibu maendeleo.

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
2,106
3,476
Habarini za Juma pili wana JF.
Leo napenda kuwasilisha juu ya hili la wadada wanapokua na long time relationship. Mara nyingi huwa wanashauriana eti ukitaka flani akuoe we mzalie mtoto. Utakuta saa nyingine ndio umepanga utamwoa lakini baada either kujiendeleza kimasomo ili uongeze kipato ama kufikia hatua flani ya maendeleo. Sasa baada ya kutegeshewa basi tena hapo kidume huez kufikiria maendeleo ambayo umejiwekea zaidi ya kujiandaa na majukumu ya malezi. Hivi wadada mnajua ni jinsi gani inavyouma kwa mwanaume ukimtegeshea mimba?
 
Pia unajua jinsi gani inauma kukaa na mtu katika uchumba sugu? kama kuoa hadi ujiendeleze kimasomo acha tu ategeshe kwakweli, akuvumilie af uende chuo uoe aku!!!!
 
kama unajijua una malengo mapenzi ya nini? Kama umeshindwa kusubiri kwa nini usitumie condom? Na kama hutaki mtoto kwa nini usifanye vasectomy loh........

Anyway like ni tendo la ndoa....nia yake ni mfanye mtiqne mimba mjaze dunia kwikwikwi
 
mmmh! kitu kimiani. imekatikia lol!
kumbe vby mtt ila ngono aah si mbaya

Unajua nini dada/teacher gfsonwin,

Kama kuna kitu kinatibua na kuvuruga akili za mwanamume yeyote ni kumwambia habari za mimba ambayo hajajiandaa nayo...

Heri yetu wa 1947 tulikuwa tunabebana hata kabla ya kupendana....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, unapenda ugali wa bure eeh? Raha ya kutegeshewa waje mapacha, lazma uoe hata kama ulikuwa unazugia.

Siyo ugali wa bure na wewe King'asti...ni ule unaotolewa bila masharti au vikwazo vya kiuchumi (economic embargo)!!

Hata sijui ningefanyaje....ukinitegeshea mapacha nadhani nitahama nchi kabisa...hata kama nitakimbilia Shimo la Tewa!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
kama unajijua una malengo mapenzi ya nini? Kama umeshindwa kusubiri kwa nini usitumie condom? Na kama hutaki mtoto kwa nini usifanye vasectomy loh........

Anyway like ni tendo la ndoa....nia yake ni mfanye mtiqne mimba mjaze dunia kwikwikwi

Heti nini wewe BADILI TABIA??

Mwanamume gani anaweza kufanya huu upuuzi?

Kama huniamini hebu muulize Babu mwenzangu Asprin, mwenyekiti The Boss au mjaja wa CC Bishanga!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, unapenda ugali wa bure eeh? Raha ya kutegeshewa waje mapacha, lazma uoe hata kama ulikuwa unazugia.

mie mtu akiniwekea usiku let say mwaka mzima hatangazi ndoa namtegeshea na akichomoa tu namwambia baba yangu amsomee HALAL BADRI aokote makopo

Eti mwanaume anakutumia weee, kisha anakuja na hadithi, eti wazazi wamemtafutia mke huko kijijini, nyoooo, asiku nhiyo atajua tofauti ya tui na maziwa, au tende na halua

sipendi mie mwanaume kunigeuza shanuo,
 
Unajua nini dada/teacher gfsonwin,

Kama kuna kitu kinatibua na kuvuruga akili za mwanamume yeyote ni kumwambia habari za mimba ambayo hajajiandaa nayo...

Heri yetu wa 1947 tulikuwa tunabebana hata kabla ya kupendana....

Babu DC!!
babu DC kwani malipo ya ngono ni yepi?
anapozini anajua ana mbegu hewa ama mwenzie mayai ni viza??

kwa upande mwingine mdada burden za mimba hulala kwako kwa kiasi kikubwa manake tumbo na maudhi yake untayabeba wewe sasa kwann urisk to such extent?? acha hadi muwe tayari nyote otherwise unajitafutia msongo wa mawazo tu.
 
umepigwa tukio nini kaka....ndo maisha....na kila mtoto anakuja na bahati yake.....

at least my dear umemtia moyo, ila kuna kitu ambacho huyu kijana hata kiona leo but muda ukifika ata realise tu.
this is my theory, Mungu alikuwa na uwezo wa kuzuia hili lisitokee yaani mtoto asipatikane, lkn kwann ameruhusu?? you never know, it was meant to be so na that's where your point comes in.
 
hhahaha! hivi kumbe wajiita matizo?? sasa hayo ndo ulokuwa unajiombolezea ama ulisahau kwamba wimbo mbaya hauombolezewi mwana?
 
Last edited by a moderator:
Habarini za Juma pili wana JF.
Leo napenda kuwasilisha juu ya hili la wadada wanapokua na long time relationship. Mara nyingi huwa wanashauriana eti ukitaka flani akuoe we mzalie mtoto. Utakuta saa nyingine ndio umepanga utamwoa lakini baada either kujiendeleza kimasomo ili uongeze kipato ama kufikia hatua flani ya maendeleo. Sasa baada ya kutegeshewa basi tena hapo kidume huez kufikiria maendeleo ambayo umejiwekea zaidi ya kujiandaa na majukumu ya malezi. Hivi wadada mnajua ni jinsi gani inavyouma kwa mwanaume ukimtegeshea mimba?

SIO SIRI ZINARUDISHA NYUMA SANA MAENDELEO

ILA KIBOKO YAO NI MIMI,,YANI KAMA NAOTEA VILE KWAMBA LEO NATEGESHEWA LAZIMA NIVAE MPIRA AU NIKIMBIE GAME

AKITEGESHA ME NATEGUA TUH

:madgrin: :madgrin:
 
Kama kaona unataka kukimbia lazima akulinde usi kimbie!
 
..., wala! Hakuna kilicho haribika. Ukiwa unamwaga hovyohovyo lazima inase tu, hakuna cha kutegeshewe.
 
Back
Top Bottom