Mimba za kutegeshea zinavyoharibu maendeleo.

Mimba za kutegeshea zinavyoharibu maendeleo.

Huko unakotaka kunipeleka siendi ng'o!!

Mie ni babu wa wenye nacho na wasio nacho....

Tuendelee....Ulishawahi kutegeshewa mimba wewe??

Babu DC!!
Hahaha..naona kweli tulikuwa tumeshatoka!!

Kutegeshewa mimba ni kitu ambacho nimekiepuka..ila kuletewa mtoto hilo kwa sasa siwezi kulipinga,,
 
Kuna pande mbili hapo babu, couple inatafuta watoto. Mwanamke amejituliza, na mume nae ana nyumba ndogo.ila hataki kuzaa nje ya ndoa. Nadhani EMT anaongelea situation hiyo. Kuwa kuna mwanamke anategea akuzalie wakati wewe na mkeo hamfanikiwi kupata mtoto.

Anyways, watoto ni zawadi tu kutoka kwa Mungu. Mie naamini for everything that happens or is delayed or never happens for that matter, God has better plans.

Kwa mtu wa namna hiyo, hawezi kusema ametegeshewa wakati ni muhitaji na anahagaika kutafuta,

Sie tunaongelea ambao wanakuwa wametulia zao, hawana hili wala lile, then wanaanza kupewa breaking news za kubreak heart and brain kwamba soon watakuwa fathers....

Babu DC!!!
 
Last edited by a moderator:
Asante Gfsonwin. Lakini mwenzio kutokana na hili alonifanyia mapenzi yashaisha kabisaa juu yake
sa sijui itakuaje!

Hapa ndio unapotea....
!
Kwanza we umejuaje kama kakutegeshea?

Huu ni mda wa kusonga mbele, as kiumbe kimeshaanza kujiumba hisia zako mbaya zina nafasi yake katika mustakabali wa maisha ya mtoto.

Chukua jukumu, lea mimba mtoto azaliwe salama hayo mambo ya ndoa bdae huko.
Nani aliyekwambia kila mwanamke utakae zaa naye lazima umuoe?
 
ndoa zisizo na watoto zina changamoto sana, hasa mwanamke anapokuwa ndiye mwenye tatizo.

Wanamme wengi kama wao wazima hawawezi hata kufikiria. Wanazaa kadiri wawezavyo na kuwakusanya watoto home.

Ila kama mwanamme ndio ana tatizo hapo huwa shughuli.

Kwa staili ya zamani, familia inaamua kumfichia mwanamme aibu ama kwa kuzaa na wadodo ama kaka wa mume.

Kimjini mjini, wanawake wanaleta mamluki home na ndoa inadunda.

Sidhani kama asilimia kubwa ya watz tuko tayari kuasili watoto.

Kulea watoto wa ndugu, tatizo wakikua wanakukimbia na kwenda kwa wazazi wao.

Kwa hiyo babu mtazamo wako ni kuwa kama mtu hajaaliwa watoto kwenye ndoa yake basi achanganyikiwe na ndoa haibebeki? Hata kama mwanaume ndo mwenye matatizo?

Huu mjadala mpya huu babu!
 
Hahaha..naona kweli tulikuwa tumeshatoka!!

Kutegeshewa mimba ni kitu ambacho nimekiepuka..ila kuletewa mtoto hilo kwa sasa siwezi kulipinga,,


CV yako imesomeka vizuri Rejao!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna pande mbili hapo babu, couple inatafuta watoto. Mwanamke amejituliza, na mume nae ana nyumba ndogo.ila hataki kuzaa nje ya ndoa. Nadhani EMT anaongelea situation hiyo. Kuwa kuna mwanamke anategea akuzalie wakati wewe na mkeo hamfanikiwi kupata mtoto.

Anyways, watoto ni zawadi tu kutoka kwa Mungu. Mie naamini for everything that happens or is delayed or never happens for that matter, God has better plans.

Hii mada ni complex sana Komando wangu...na inawaumiza sana wale ambao hawakubahatika...

Naona tuitafutie siku yake...au unaonaje King'asti,

Babu DC!!!
 
Last edited by a moderator:
Unajua nini dada/teacher gfsonwin,

Kama kuna kitu kinatibua na kuvuruga akili za mwanamume yeyote ni kumwambia habari za mimba ambayo hajajiandaa nayo...

Heri yetu wa 1947 tulikuwa tunabebana hata kabla ya kupendana....

Babu DC!!
wewe kweli mkilima hewa,kuotesha wapenda ila mavuno stooop! Ukijua kuotesha mavuno pia uyachekelee, kwanza akikutegeshea ujue kakupenda sana otherwise ........... Nafkiri unaelewa
 
Last edited by a moderator:
Hapana dada,

Kuliko kuumbuliwa na hawa watoto wasiojua dunia yetu...bora niumbuliwe na kikongwe mwenzangu tena kwa ruhusa ya bibi...lol!!

Wewe na mie...ni member wa club bwana...huna hata sababu ya kusema hivyo...

Soma hapo chini kuonesha kuwa hatukukutana njiani!!



Ngoja nipulize kiko kidogo halafu tujadili...

Babu DC!!
hapo sasa, utu uzima dawa.......kweli hawakukosea waliosema hayo
kwa kweli hao mabinti usithubutu kabisaaaa, unaweza umbuka hivi hivi.
ila uzuri wanajua kwa vibabu wanafwata kitu kimoja tu, mkwanja......
wenyewe wanasema hawa wababu wanataka tu kuambiwa I love you basi, ngoma hawaziwezi, lol!
 
Hapa ndio unapotea....
!
Kwanza we umejuaje kama kakutegeshea?

Huu ni mda wa kusonga mbele, as kiumbe kimeshaanza kujiumba hisia zako mbaya zina nafasi yake katika mustakabali wa maisha ya mtoto.

Chukua jukumu, lea mimba mtoto azaliwe salama hayo mambo ya ndoa bdae huko.
Nani aliyekwambia kila mwanamke utakae zaa naye lazima umuoe?

Sawa mkuu,

Ila kwa ushauri wako...wapige ndoa ndo wajiandae kulea mtoto au kila mtu aendelee na maisha yake halafu wajipange kulea mtoto?

Naona wadada wanaofanya huu mtego wanasahau kuwa kuna hiyo option ya pili!

Babu DC!!
 
wewe kweli mkilima hewa,kuotesha wapenda ila mavuno stooop! Ukijua kuotesha mavuno pia uyachekelee, kwanza akikutegeshea ujue kakupenda sana otherwise ........... Nafkiri unaelewa


Ungeandika kwa adabu wewe Chamamu ningejitahidi kukuelewa ili nikujibu....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Weeeeh!
Unaongelea suluhisho la ndoa za kiislamu endapo imethibitika kuwa mwanamke ndo ana tatizo. Hivi unajua wanaume wangapi ni wagumba, tena kwa kujitakia na mapombe na sigara zisizoisha? Hapo dini imeagiza vipi?

It aint easy being an african woman, i promise you! Kuna mama namjua aliambiwa hana tatizo na mume akagoma kwenda hospitali. Baba mkwe na mashemeji wakamuamvia amua utakavyo, tumeconclude jamaa hataki hata msaada wa kitabibu. Mama akasema huyu ni mume wangu wa ujana, namtunzia heshima. Maaluni akagoma na kujenga licha ya hela za kutapanya mjini, mke akajenga nyumba tatu. Baba kastaafu kala hela yake, mama zake za kustaafu kamalizia na nyumba kapangisha. Siku mama wa 60 yrs old, likizo ya kustaafu ndo imeanza anamfumania mumewe sebuleni na mtotobwa ndugu wanaekaa nae. Wameachana, na talaka watagawana nyumba tatu za mama, na jamaa kahamia na yule binti kwenye nyumba ya kupanga.

Imagine mama wa watu kaachia usichana wake wote kwa ajili ya kumheshimu.mumewe. Sasa na technological advancement, huyu maaluni si wanaweza wakakaanga mayai akapata mtoto japo wa kusingiziwa? Acheni bwana!


[/QUOTE]
Kumbuka tukisema ndoa tunamaanisha muunganiko wa watu wawili. Najua mkikosa mtoto unakuwa kwenye wakati mgumu, but inabidi tu ukubaliane na hali halisi. Huwa wanasema mtoto ni majaaliwa ya muumba. Kwa waislam tuna afadhali kama tatizo haliko kwako unaweza kuangalia other options. Tatizo lipo kwenye ndoa za kikristo ambazo hazivunjiki na kuna kiapo cha kushirikiana milele kwa shida na raha.
Sasa mtu kama huyu ambaye ni lazima wabaki milele unashauri asiwekeze vizuri kisa hana mtoto?[/QUOTE]
 
hapo sasa, utu uzima dawa.......kweli hawakukosea waliosema hayo
kwa kweli hao mabinti usithubutu kabisaaaa, unaweza umbuka hivi hivi.
ila uzuri wanajua kwa vibabu wanafwata kitu kimoja tu, mkwanja......
wenyewe wanasema hawa wababu wanataka tu kuambiwa I love you basi, ngoma hawaziwezi, lol!

Naomba unifichie aibu mzee mwenzagu,

Hivi hilo neno maana yake nini kwa kilugha cha akina JK??

Babu DC!!
 
Mimi wewe ukiwa darasani napenda niwe nachungulia ndio nafaidi material! Usichoke maana haya ndio mambo ya binadamu Mwl

wewe nawe!!! sasa unanichungulia kwanini?? unajua hawa vijana wadogo wana tabu sana msemo wa Kongosho kwamba huyu nae ni mwanaume.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahahaaaaaaaa kwa nini mnaogopa vasectomy


Ili isaidie kitu gani...wewe unaweza kukubali kukatwa koromeo?

Surgeon niko hapa...njoo nikufanyie hiyo operation kama uko tayari!!

Halafu mkome kudhani kuwa vasectomy ni sawa na ukeketaji...ni more than that...deadly!!


Babu DC!!
 
BJ,

Wanaume wanaotunza hizo kumbukumbu ni wachache sana kama wapo......At least nilikuwa najaribu enzi zangu!!

Kitu gani kimfanye mtu ahangaike ni mizunguko ya mwenzake....??

Ndo maana kitu kikinasa, dada anatakiwa aandika maelezo kama page 10 hivi kabla hukumu haijatolewa!!

Babu DC!!

ndo maana enzi zetu ilikuwa unajifanya umenasa, then ukimwambie mwanaume unacheki reaction yake, akileta kama za mtoa mada unamwaga fasta, atabaki kushangaaa tu
 
Hehehe, na ugomvi wake huo unakuwa kama wa jogoo. Kila tukikutana hata msibani tunalianzisha upyaaa. Wallah kuliko nimpe hata maji ya kunywa ntanawia mikono!

Mhhhhh,

Wewe ndo maana tulikunyang'anya AK47.....

Hizo hasira...mhhhh...ila tuombe Mungu tufike salama!!

Babu DC!!
 
Daah babu hapa umenena ni bora huyu jamaa ange toa ufafanuzi ana hisi kwa nini atageshewe mimba?
Na inawezekana huyo dada amesha msoma jamaa akaona wakati wowote ana weza kumgeuka solution ni kumtegeshea kama njia ya kujiami! Na hadi ana mtegeshea huyu jamaa mwanamke alishaweka matumaini mengi kwa jamaa na hakuwa tayari kuona ana poteza kila kitu!

Inaonekana na wewe una matatizo...hadi unategeshewa mimba??

Unahitaji ushauri nasaha wa KIUME!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom