EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,357
Hiyo ndiyo dunia,
Hiyo deversity ikitoweka hata sie tutatoweka...
Ila kwa kweli hao ni watu wa kuonea huruma sana....
Yaani unakuwa na shamba ambalo ni kama vile liko jangwani?
Babu DC!!
can you imagine?
Dunia haiko fair kabisa.
Kuna kijana ana ndoa zaidi ya miaka 5 hana mtoto
sijui inamchanganya sometimes
utasikia anasema 'nijenge nini na sina mtoto, nakula maisha tu'
Halafu hapo unakuta kuna mdada anakutegeshea mimba ili umwoe.