Kwa hiyo kama unaepuka mwili wako kuwa recycled huna jinsi.
mkuu unaishi adelaide?Kuna mmoja mchagga yuko Adelaide keshakuwa mzee kbs hata sijui kama ndugu zake wanataarifa nae. Anapiga lager na kuishi kisela mtu mzee kbs, hatari sana!
Majina ya akina Lukindo wako wwngi huenda atapatikana nduguye, poleni sana
Sent from Nokla using Jf app
Nilikuwa na maana haya Makaburi ya kisasa, kwenye UKUTA.
life is not black and white there is a lot of gray areas. Hatujui kama kila siku alikuwa anamganganiza amjulishe kwao anakataa au anampiga sound; maadam sasa hivi amefariki kuna watu waliobaki wana haki mfano watoto wanayo haki pia ya kuwajua ancestors wao. Pia mke kama nayeye anataka anayo haki pia ya kuwajua wakwe zake kama akitaka no matter mume wake alitaka au hakutakaHuu ni upuuzi... Kwanini mke hakutaka kujua ndugu wa mumewe kabla hajafa??
Kuna kitu anaficha hapa... Apambane mwenyewe ayamalize!!
listen young manLabda kilichokutoa roho ni foreign affairs mpaka unajidhalilisha kwa kuandika kisichokuwepo....
Mimi ni mfagizi tu mwenye elimu duni na kipato kisichokufikia hata robo....
Umefurahi sasa?
upeo wako mdogo...Hapo hapo unasema imekusikitisha mara wanikemea mimi kuhangaika na yasiyonihusu hivi upstairs upo sawa?
Imekusikitishaje ikiwa haikuhusu? Umejuaje kuwa kafa kibudu?
you are too low!!!
upeo wako mdogo...
ndugu yetu anasikitisha kwa kufa kibudu... he could have reached out or give chance kwa wanae kuwajua nduguze, but that is his choice
naweza kusikitika ila siwezi kumhukumu
he had his choices
ila wewe ni bure kabisa... baada ya kushindwa hoja umeanza viroja
bure kabisa
marehemu ana acount hapa jf, facebook na my space ni kweli huyu jamaa ni mwenyeji wa pangani tanga\ alikata mawasiliano na ndugu zake kwa sababu ambazo sitaweza kuweza hapa ila hizi taarifa zinatia shaka kidogo inawezekana ni za kupikwa tu labda kama ndugu zake wameamua kuzipotezea tu kutokana na kutofautiana kwao
life is not black and white there is a lot of gray areas. Hatujui kama kila siku alikuwa anamganganiza amjulishe kwao anakataa au anampiga sound; maadam sasa hivi amefariki kuna watu waliobaki wana haki mfano watoto wanayo haki pia ya kuwajua ancestors wao. Pia mke kama nayeye anataka anayo haki pia ya kuwajua wakwe zake kama akitaka no matter mume wake alitaka au hakutaka
​Sasa hapa umeshangazwa na nini??mbona wengi tu hapo daslama wamelowea na wameshindwa kurudi huko kwao kijijini na hata hawajulikani...hiko ni kitu cha kawaida ukiondoa wachaga ambao mara nyingi mwisho wa mwaka wanaenda migombani kwamakabila mengine kuna watu wanakaa hapo dar more than 30 years hawajaenda kwao na evidences ninazo kuna watu nawajua na wana vyeo vikubwa tu serikalini lakini kijijini kwao hawajakanyaga kwa long time.Najaribu kufuatilia kama atakuwa miongoni mwetu.
Nakumbuka jamaa yangu mmoja alienda America alafu hakukaa sana akarejea, moja ya simjulizi alizotwambia ni kuwa kuna baadhi ya watanzania aliwakuta huko na ambao alidhani walishafanikiwa kimaisha lakini akasema hata nauli ya kurejea makwao ni tatizo!
Watz kweli tuna matatizo zaidi ya ccm!
Silly.........
Mkuu,at least mngekuwa mnajua anatokea Tanga sehemu gani kwa sababu hilo jina la Lukindo wapo weeengi wa koo tofauti,wazigua,wabondei.sasa huyo katokea Tanga ipi?
All in All hatujui..., mimi naweza kusema sisi hapa kumjadili marehemu kafanya au hakufanya nini tunatenda makosa zaidi.Haisumbui.
Kama marehemu hakutaka kuhusiana na ndugu zake, na sasa amefariki, basi afanyiwe safari yake ya mwisho hivyo hivyo kivyakevyake.
Then wakishamchoma moto, wakimaliza shughuli, wanaweza kutafuta ndugu wengine, wajue mengi zaidi.
Siyo mtu hajapelekwa mahali pake watu watu washataka kujua ndugu huko.
Kuna.watani wanaweza kuwaambia hamna kuchoma moto wala kuzika, marehemu ana deni la dola milioni moja kwa kuikimbia nchi yake ya kuzaliwa kwa miaka yote hiyo.
Mkuu unajua watanzania wengi wenye mawazo kama ya huyo jamaa uliyem-quote wanasumbuliwa na ukosefu wa ''exposure''. Wengi wanafikiri Ulaya au Marekani ni sehemu ambayo ''binadamu waokota fedha'' kama majani, hivyo basi wakiambiwa kuna mtu anaishi Ulaya au Marekani na anapiga mzinga wanaona haiwezekani! Sasa Tanzania ina watu wangapi ambao ni hohehae bin taaban hawana mbele wala nyuma wala kati... kwanini ''hawawashangai'' wakati wanaishi na kula nao siku zote! Maisha ni popote na kukwama ni popote haijalishi Ulaya, Amerika au Afrika.​Sasa hapa umeshangazwa na nini??mbona wengi tu hapo daslama wamelowea na wameshindwa kurudi huko kwao kijijini na hata hawajulikani...hiko ni kitu cha kawaida ukiondoa wachaga ambao mara nyingi mwisho wa mwaka wanaenda migombani kwamakabila mengine kuna watu wanakaa hapo dar more than 30 years hawajaenda kwao na evidences ninazo kuna watu nawajua na wana vyeo vikubwa tu serikalini lakini kijijini kwao hawajakanyaga kwa long time.
All in All hatujui..., mimi naweza kusema sisi hapa kumjadili marehemu kafanya au hakufanya nini tunatenda makosa zaidi.
Anyway hapa kuna haki za wengi, mke pia anayo haki na watoto pia wanayo haki, na kwa vile marehemu ametangulia tunaweza tukasema mwenye maamuzi makubwa kwa sasa ni mke wake, na kama mke wake kaamua ndugu watafutwe who are we to say otherwise ? Hata kama marehemu hakutaka ndugu zake watafutwe, Je mwanamke hana haki ya kuwatafuta wakwe zake ?, Privacy na rights za individual they are only valid in my opinion if they dont affect anyone else (emotional or otherwise), unless uniambie kwamba the significant other hana say kwenye maisha / maamuzi ya muhusika.
Pia jamii ya watu aliokuwa anaishi nao huku, kama hakuwaachia maamuzi ya kufanya iwapo atatangulia mbele ya Haki basi automatically wao ndio watajua cha kufanya, sababu ni wao ndio watahusika kuandaa mazishi yake as well as kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa (unless kama aliacha fungu la pesa na maelekezo ya kufanya siku akiondoka)
By the way hapa ninatoa mifano tu kama hiki au kile kikitokea au mtu yoyote akikumbwa na issue kama hii simuongelei marehemu sababu sijui facts zozote
Historia yake
Augustino Mike Lukindo, 59 , departed this life on Sunday, March 16, 2014, surrounded by his immediate family. Mike was born and raised in Tanzania, Africa (Tanga) to Augustino and Josephine Lukindo. He moved to America in the early 1980s, where he lived in Providence, Rhode Island for five years. Mike married Lillie B. in Rhode Island, and later moved to Madison where they built their family of four and confessed his life to Christ.
Mike was a family man, a funny guy with a good sense of humor. He loved to joke around. He liked comedy and he loved going to his childrens school to participate. He always had a smile and his favorite phrases were Hey Brother-in-law , Sister-in-law, where the party at? .