Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

Elimu ilikuwa ni mafanikio ya kimaisha haswa Tz pale walipokuwa wamesoma watu wachache ila sasa kila kona watu wamesoma ....Nimesoma chuo watu ni mchanganyiko kuna vijijini kabisa ndani ndani huko ila kuna graduates mpaka walisoma Masters😅.

Siku zinavyokwenda kila mtu atakuwa msomi na elimu itabaki kwa mtu kama uelewa wa kupambana na mazingira sio kupata kazi na shughuli nzuri...Yaani kwa sasa hata ukute dogo ni muhuni ila anafaulu fresh mpaka chuo na yuko vizuri.
 
Mostly, mpaka leo na-master....
1. Android development
2. Sql server database developer
3. C# developer
4. PC mantainance (but si sana hii)....
5. Website developer
Mbona umesoma vitu ambazo ni rahisi kujiajiri binafsi tena kwa ulimwengu wa sasa wa maendeleo ya science na teknolojia umejipata.

Assume mtu kasoma Humman Resource😅😅
 
Sijisifu lakini ndiyo ukweli.

Mjukuu wangu yupo "form three" Tanzania hii tena mbali na jiji, hajawahi kukaa bila kufanya kazi siku za Jumamosi, Jumapili, Holidays na Livu zao za shule.

Ni malezi tu. Huyo analelewa na FaizaFoxy toka ana mwaka mmoja na nusu. Nimemlea kwa mtindo wa "No free Lunch". N asijam "influence" kabisa kumtafutia kazi za kufanya "connections" anazitafuta mwenyewe, mimi nampa ushauri tu inapobidi. Yupo huru kuufata au kuutosa.

Kuna nddugu yangu mmoja siku moja alinilalamikia mwanae kamaliza chuo mwaka juzi hana kazi, kama kuna mpango wowote nisimsahau. Nikamwambia mpango upo, amlete kwangu, akamleta, baada ya wiki tu, huyu kijukuu ambacho bado kipo "form three" ndiyo kinamtafutia kazi za kufanya "anko" wake.

Mie nawatazama tu, unaenda mwezi wa pili na zaidi huu.

Vijana mnaotafuta kazi, ulizeni niwape ushauri. Tanzania kuna kazi nyingi sana za kufanya na na zinakutafuta wewe, siyo wewe uzitafute.

Ukiacha uzombi wa dini ya waarabu huwa uko smart sana,mwaga mtama huku mambo ya kukutafuta pm yatafaidia wachache.
 
Nipo tayari kupokea ushauri wako. Natanguliza shukran.
 
Habari wanaJF....

Toka nko Primary school (PS), walimu wetu walipenda sana kutusihi kusoma kwa bidii ili tufanikiwe kimaisha. Toka mentality hiyo ya PS, niliwekeza mda wangu kwenye kusoma kwa bidii ili niyaishi maisha wanayosema walimu wetu.

Nmesoma shule kwa takilibani miaka 16 (toka Primary school mpaka nachukua degree yangu) kwa juhudi kubwa sana. Hatimae mambo yaligeuka toka pale nilipomaliza chuo na kurudi mitaani kufuata maisha yale walimu wetu walituambia, chakushangaza mambo yako tofauti kabsa.

Sasa na miaka 8 toka nmemaliza chuo, sjawahi kupata kazi ya maana. Tofauti na vibarua vidogo vidogo baada ya kumaliza chuo. Si kwamba skutafuta kazi, nmezunguka almost mikoa 8 Tanzania, nmefanya interviews za serikali zaidi ya 20, private sector zaidi ya 60. Nmerudi nyumban wale niliowaacha la 7 na F4, wana nyumba, biashara wengine magari.

Conclusion:
Tanzania [emoji1241] elimu haina maana.
Pole mkuu tuko wengi ila tulipoona kazi hazipatikani tuamua kuangalia sehemu tofauti na maisha yanasonga tu fresh
 
Ukiacha uzombi wa dini ya waarabu huwa uko smart sana,mwaga mtama huku mambo ya kukutafuta pm yatafaidia wachache.
Kwanza sina PM mimi.

Mambo yote hapahapa hadharani. Shida yako nini?

Shika adabu yako, jifunze kuwa na lugha za kistaarabu, Hakuna dini ya Mwarabu, Mimi ni Muislam.
 
Habari wanaJF....

Toka nko Primary school (PS), walimu wetu walipenda sana kutusihi kusoma kwa bidii ili tufanikiwe kimaisha. Toka mentality hiyo ya PS, niliwekeza mda wangu kwenye kusoma kwa bidii ili niyaishi maisha wanayosema walimu wetu.

Nmesoma shule kwa takilibani miaka 16 (toka Primary school mpaka nachukua degree yangu) kwa juhudi kubwa sana. Hatimae mambo yaligeuka toka pale nilipomaliza chuo na kurudi mitaani kufuata maisha yale walimu wetu walituambia, chakushangaza mambo yako tofauti kabsa.

Sasa na miaka 8 toka nmemaliza chuo, sjawahi kupata kazi ya maana. Tofauti na vibarua vidogo vidogo baada ya kumaliza chuo. Si kwamba skutafuta kazi, nmezunguka almost mikoa 8 Tanzania, nmefanya interviews za serikali zaidi ya 20, private sector zaidi ya 60. Nmerudi nyumban wale niliowaacha la 7 na F4, wana nyumba, biashara wengine magari.

Conclusion:
Tanzania [emoji1241] elimu haina maana.
7yrs ukaanza shule. Ukasoma kwa 16yrs . Unatafuta kazi kwa 8yrs. Hivyo umri wako ni kati ya miaka 30-33. Bado Jua halijazama una muda wa kupambana ila kama hujapata mtoto umezingua.
Fanya hivi. Sahau kama ulisoma anza kupambana kwa namna zisizotegemea elimu yako. Elimu utaitumia ukifanikiwa bila elimu
 
Habari wanaJF....

Toka nko Primary school (PS), walimu wetu walipenda sana kutusihi kusoma kwa bidii ili tufanikiwe kimaisha. Toka mentality hiyo ya PS, niliwekeza mda wangu kwenye kusoma kwa bidii ili niyaishi maisha wanayosema walimu wetu.

Nmesoma shule kwa takilibani miaka 16 (toka Primary school mpaka nachukua degree yangu) kwa juhudi kubwa sana. Hatimae mambo yaligeuka toka pale nilipomaliza chuo na kurudi mitaani kufuata maisha yale walimu wetu walituambia, chakushangaza mambo yako tofauti kabsa.

Sasa na miaka 8 toka nmemaliza chuo, sjawahi kupata kazi ya maana. Tofauti na vibarua vidogo vidogo baada ya kumaliza chuo. Si kwamba skutafuta kazi, nmezunguka almost mikoa 8 Tanzania, nmefanya interviews za serikali zaidi ya 20, private sector zaidi ya 60. Nmerudi nyumban wale niliowaacha la 7 na F4, wana nyumba, biashara wengine magari.

Conclusion:
Tanzania [emoji1241] elimu haina maana.
Uko wapi?
 
naam, jielezee kwa uchache, uko wapi na umesoma mpaka kiwango kipi? Towa shaka kijana, hapa umefika kwao.
Ni kijana wa miaka 32, Niko Dar, kiwango cha juu cha elimu ni Diploma ya Sheria niliyohitimu 2013.
Fani nyinginezo;
Ufundi wa kunyoosha magari/Auto body repair level i (VETA) nilihitimu 2015,

Udereva wa magari madogo na makubwa (VETA) nilihitimu 2018.
 
Habari wanaJF....

Toka nko Primary school (PS), walimu wetu walipenda sana kutusihi kusoma kwa bidii ili tufanikiwe kimaisha. Toka mentality hiyo ya PS, niliwekeza mda wangu kwenye kusoma kwa bidii ili niyaishi maisha wanayosema walimu wetu.

Nmesoma shule kwa takilibani miaka 16 (toka Primary school mpaka nachukua degree yangu) kwa juhudi kubwa sana. Hatimae mambo yaligeuka toka pale nilipomaliza chuo na kurudi mitaani kufuata maisha yale walimu wetu walituambia, chakushangaza mambo yako tofauti kabsa.

Sasa na miaka 8 toka nmemaliza chuo, sjawahi kupata kazi ya maana. Tofauti na vibarua vidogo vidogo baada ya kumaliza chuo. Si kwamba skutafuta kazi, nmezunguka almost mikoa 8 Tanzania, nmefanya interviews za serikali zaidi ya 20, private sector zaidi ya 60. Nmerudi nyumban wale niliowaacha la 7 na F4, wana nyumba, biashara wengine magari.

Conclusion:
Tanzania [emoji1241] elimu haina maana.

Niko hapa graduate degree 3 years bila professional yangu kuifanyia kazi and i’m happy for me vile tu kuona nimefanikiwa kumaliza kusoma najua viti vingi sana good thing ni kua sikua nasoma kwa malengo ya nikimaliza tu niajiriwe niko na vibarua since nimemlza graduation na naishi vzur tu kwa kiasi changu nitapata tu kazi ya kutumia elimu yangu one day akili izidi kukua niseme tu licha ya kuajiriwa ila nimepiga hatua kwa hii miaka mitatu kwahio pole tu vumilia tupo wengi mtaani endelea kupambana boss
 
Ni kijana wa miaka 32, Niko Dar, kiwango cha juu cha elimu ni Diploma ya Sheria niliyohitimu 2013.
Fani nyinginezo;
Ufundi wa kunyoosha magari/Auto body repair level i (VETA) nilihitimu 2015,

Udereva wa magari madogo na makubwa (VETA) nilihitimu 2018.
Nenda mahakama ya Kisutu pale maktaba, utawaona mawakili wengi tu, huwa wanavaa makoti myeusi.

Kila utaemuona, msalimie vizuri, mwambie unataka kazi ya kuwa msaidizi wa ofisi ya sheria, upo ubaoni.

Anzia hapo. Au mahakama yoyote iliyopo karibu yako yenye mawakili.

komaa nao kila siku, usione haya. Hawaishi 20 utatupa majibu.
 
So sorry,
Na D ya kiswahili F4,
Then, PCB (Bwiru boys)
Then, IT. So, sina uwezo wa kutofautisha ata na hata...nisamehe mkuu.
Kuwa na F ya kiswahili hakuhalalishi wewe kuwa mpumbavu wa kushindwa kuandika kiswahili vizuri. Inawezekana hii ikawa sababu ya wewe kukosa kazi.
 
Back
Top Bottom