Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

Niko hapa graduate degree 3 years bila professional yangu kuifanyia kazi and i’m happy for me vile tu kuona nimefanikiwa kumaliza kusoma najua viti vingi sana good thing ni kua sikua nasoma kwa malengo ya nikimaliza tu niajiriwe niko na vibarua since nimemlza graduation na naishi vzur tu kwa kiasi changu nitapata tu kazi ya kutumia elimu yangu one day akili izidi kukua niseme tu licha ya kuajiriwa ila nimepiga hatua kwa hii miaka mitatu kwahio pole tu vumilia tupo wengi mtaani endelea kupambana boss
Asante sana mkuu. Napambana sjakata tamaa
 
Habari wanaJF....

Toka nko Primary school (PS), walimu wetu walipenda sana kutusihi kusoma kwa bidii ili tufanikiwe kimaisha. Toka mentality hiyo ya PS, niliwekeza mda wangu kwenye kusoma kwa bidii ili niyaishi maisha wanayosema walimu wetu.

Nmesoma shule kwa takilibani miaka 16 (toka Primary school mpaka nachukua degree yangu) kwa juhudi kubwa sana. Hatimae mambo yaligeuka toka pale nilipomaliza chuo na kurudi mitaani kufuata maisha yale walimu wetu walituambia, chakushangaza mambo yako tofauti kabsa.

Sasa na miaka 8 toka nmemaliza chuo, sjawahi kupata kazi ya maana. Tofauti na vibarua vidogo vidogo baada ya kumaliza chuo. Si kwamba skutafuta kazi, nmezunguka almost mikoa 8 Tanzania, nmefanya interviews za serikali zaidi ya 20, private sector zaidi ya 60. Nmerudi nyumban wale niliowaacha la 7 na F4, wana nyumba, biashara wengine magari.

Conclusion:
Tanzania [emoji1241] elimu haina maana.
Kwamba elimu yako haijakisaidia?
 
So sorry,
Na D ya kiswahili F4,
Then, PCB (Bwiru boys)
Then, IT. So, sina uwezo wa kutofautisha ata na hata...nisamehe mkuu.
Bwiru Boys umeitaja,
Ila umekisahau chuo ulichosomea IT mkuu,
Tutajie, classmates wako watakushika mkono hapahapa.
 
Unataka maisha powa na unachagua kazi? Yaan jobless unataka tu ujikute On-top bila kuanza chini kisa tu umri wako umeenda, hujasikia huko kuna wenzenu wametoboa 40yrs lakn hawana hata kiwanja Chenye mgogoro

Sasa wewe 32 tu hiyo unataka kujiona umepoteza muda wakat ndio kwanza huo umri wa kujitafuta kibongobongo bado una muda mrefu hapo wa mapambano, cha msingi tu punguza matarajio, punguza kujifananisha na watu, punguza kujilaumu, punguza tamaa, punguza dharau, vitu vidogo vidogo, ama zile kazi mnazozizarau ndizo zenye pesa ndefu.

Haya njoo na hela ndefu nikupe mchongo unaoendana na Coz yako

[emoji117] Zingatia hili (sina Urafiki kwenye hela, njoo PM na kibunda akili ikukae sawa na uwe siriaz)
Mleta uzi anaingizwa kwenye 18 soon hapa.
 
Haupo peke ako mkuu wengi tulioingia mtaani kuanzia zama za JPM hali mbaya na wakati uahatupita waajiri wanataka waliomaliza chuo miaka ya karibuni. Mzee apumzike kwa amani lakini sera zake za masuala ya kiuchumi na diplomasia halifeli sana
Nakazia hapa mimi pia ni muanga wa lile jamaa, nashukuru mungu humu jamiiforum kuna watu wana moyo wakusaidia wengine, baada ya kutoa kilio changu humu mmoja alikiona na kuamua kunisaidia kwa kunielekeza niende kwenye taasisi fulani ambayo walikuwa na uitaji wa mtu mwenye sifa kama zangu , kwasasa nipo huku nimejishikiza kupunguza japo ukali wa maisha lakin niseme tu mbaka sasa najioni kabisaa nipo nyuma ya muda na sijui kama mambo yatakuja kuwa sawa.
 
Habari wanaJF....

Toka nko Primary school (PS), walimu wetu walipenda sana kutusihi kusoma kwa bidii ili tufanikiwe kimaisha. Toka mentality hiyo ya PS, niliwekeza mda wangu kwenye kusoma kwa bidii ili niyaishi maisha wanayosema walimu wetu.

Nmesoma shule kwa takilibani miaka 16 (toka Primary school mpaka nachukua degree yangu) kwa juhudi kubwa sana. Hatimae mambo yaligeuka toka pale nilipomaliza chuo na kurudi mitaani kufuata maisha yale walimu wetu walituambia, chakushangaza mambo yako tofauti kabsa.

Sasa na miaka 8 toka nmemaliza chuo, sjawahi kupata kazi ya maana. Tofauti na vibarua vidogo vidogo baada ya kumaliza chuo. Si kwamba skutafuta kazi, nmezunguka almost mikoa 8 Tanzania, nmefanya interviews za serikali zaidi ya 20, private sector zaidi ya 60. Nmerudi nyumban wale niliowaacha la 7 na F4, wana nyumba, biashara wengine magari.

Conclusion:
Tanzania [emoji1241] elimu haina maana.
Jinoe vizuri kuwa serious haiwezekani interview zaidi ya 20 zote umeoneka hufai
 
Kwa utitili huo wa interviews, sina hamu tena ya kufanya interviews....nafikilia alternative sasa.
 
Mtu umesoma IT na bado unasema huna ajira kwa miaka 8 toka ulipohitimu chuo..Hiyo IT uliielewa vizuri kweli?..maana naamini usingeshindwa kujiariri hata kidogo na kuacha kulalamika.

Sasa waliosoma Education (Arts) watasemaje??
 
Kwa utitili huo wa interviews, sina hamu tena ya kufanya interviews....nafikilia alternative sasa.
You better do that mungu atakufungulia milango. Wakati mwingine Haina haja ya kung'ang'ania kufungua mlango mmoja ambao haifunguki jalibu mingine huenda Ina neema kubwa kuliko hiyo unayoing'ang'ania
 
Pole Bro, I feel you.

Achana na Mockers, hawaelewi uhalisia wa mambo. IT sio nyepesi na interviews zake nyingi ni 3-ways (written, pract & oral). Ambacho wadau wengi hawajui ni kwamba hii kada ni evolving means kila mwaka kuna mambo mengi mapya yanaongezeka na ni seriously tough topics mf. Artificial Intelligence & Data Analysis.

Kwahiyo interviews zako zote utakazofanya uwezekano wa kutoboa ni 30/70 kwa sababu interviewer ana uwanja mpana sana wa kukuumiza hata ukirudia mara 50 kwa sababu syllabus nyingi za vyuo haziendi na Trend ya Technology.

So the more unakaa mtaani the more IT yako inakua Old kwenye corporate world and so interviews will always be harder for you.

Kuna mambo mawili unaweza kufanya hapo ulipo (of course ni ushauri so you can take it or leave it):

1. Kama bado una hisia kwamba IT inatakiwa ikupe ajira one day, then in your free time jifunze Data Analysis (R programming, Probability & Statistics na Advanced Excel). Uki master hii Kada vizuri, it can land you a job in one Attempt. Hakuna longolongo hapo! .

2. Kama umeamua kabisa kutundika viatu kwenye suala la ajira, take a long and hard look kwenye agribusiness. Kilimobiashara ndio biashara yenye uti wa mgongo mgumu zaidi hapa duniani. Itakua biashara ya mwisho kufa sekunde chache kabla Dunia haijapotea kwenye uso wa ulimwengu.

The Choice is Yours. I Rest my Case.
 
Habari wanaJF....

Toka nko Primary school (PS), walimu wetu walipenda sana kutusihi kusoma kwa bidii ili tufanikiwe kimaisha. Toka mentality hiyo ya PS, niliwekeza mda wangu kwenye kusoma kwa bidii ili niyaishi maisha wanayosema walimu wetu.

Nmesoma shule kwa takilibani miaka 16 (toka Primary school mpaka nachukua degree yangu) kwa juhudi kubwa sana. Hatimae mambo yaligeuka toka pale nilipomaliza chuo na kurudi mitaani kufuata maisha yale walimu wetu walituambia, chakushangaza mambo yako tofauti kabsa.

Sasa na miaka 8 toka nmemaliza chuo, sjawahi kupata kazi ya maana. Tofauti na vibarua vidogo vidogo baada ya kumaliza chuo. Si kwamba skutafuta kazi, nmezunguka almost mikoa 8 Tanzania, nmefanya interviews za serikali zaidi ya 20, private sector zaidi ya 60. Nmerudi nyumban wale niliowaacha la 7 na F4, wana nyumba, biashara wengine magari.

Conclusion:
Tanzania [emoji1241] elimu haina maana.
Bora kama umeliona hilo. Sasa wafuate walioishia darasa la saba wakupe mbinu za kutusua
 
Pole Bro, I feel you.

Achana na Mockers, hawaelewi uhalisia wa mambo. IT sio nyepesi na interviews zake nyingi ni 3-ways (written, pract & oral). Ambacho wadau wengi hawajui ni kwamba hii kada ni evolving means kila mwaka kuna mambo mengi mapya yanaongezeka na ni seriously tough topics mf. Artificial Intelligence & Data Analysis.

Kwahiyo interviews zako zote utakazofanya uwezekano wa kutoboa ni 30/70 kwa sababu interviewer ana uwanja mpana sana wa kukuumiza hata ukirudia mara 50 kwa sababu syllabus nyingi za vyuo haziendi na Trend ya Technology.

So the more unakaa mtaani the more IT yako inakua Old kwenye corporate world and so interviews will always be harder for you.

Kuna mambo mawili unaweza kufanya hapo ulipo (of course ni ushauri so you can take it or leave it):

1. Kama bado una hisia kwamba IT inatakiwa ikupe ajira one day, then in your free time jifunze Data Analysis (R programming, Probability & Statistics na Advanced Excel). Uki master hii Kada vizuri, it can land you a job in one Attempt. Hakuna longolongo hapo! .

2. Kama umeamua kabisa kutundika viatu kwenye suala la ajira, take a long and hard look kwenye agribusiness. Kilimobiashara ndio biashara yenye uti wa mgongo mgumu zaidi hapa duniani. Itakua biashara ya mwisho kufa sekunde chache kabla Dunia haijapotea kwenye uso wa ulimwengu.

The Choice is Yours. I Rest my Case.
Kati ya ushauri niliopata kutoka JF, laskaboza is one way straight forward.

Anajua nini maana ya neno IT, anajua jinsi IT ilivyo-speed kubadilika.
Interview yangu ya mwisho (practical utumishi) ilikuwa...

Compile "Python code...deep learning with Oracle". Kitu ambacho hata skuwahi kujifunza.

Speed ya Kubadilika kwa IT industry, hakuna mtu anaweza kuendana nayo hata kama kila sku uko YouTube unasoma.

Let me surrender with IT. Naingia Agribusiness kwa miguu yangu miwili bila kusita. Nipambane miaka mingine 8 kwenye agriculture ikishindikana pia ntaona pa kwenda....

Asante sana laskaboza kwa ushauri mzuri.
 
Back
Top Bottom