Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,485
- 2,754
Kesho nachoma moto vyeti nimechoka.
Umemaliza mkuu asipokusikiliza basi tenaPole Bro, I feel you.
Achana na Mockers, hawaelewi uhalisia wa mambo. IT sio nyepesi na interviews zake nyingi ni 3-ways (written, pract & oral). Ambacho wadau wengi hawajui ni kwamba hii kada ni evolving means kila mwaka kuna mambo mengi mapya yanaongezeka na ni seriously tough topics mf. Artificial Intelligence & Data Analysis.
Kwahiyo interviews zako zote utakazofanya uwezekano wa kutoboa ni 30/70 kwa sababu interviewer ana uwanja mpana sana wa kukuumiza hata ukirudia mara 50 kwa sababu syllabus nyingi za vyuo haziendi na Trend ya Technology.
So the more unakaa mtaani the more IT yako inakua Old kwenye corporate world and so interviews will always be harder for you.
Kuna mambo mawili unaweza kufanya hapo ulipo (of course ni ushauri so you can take it or leave it):
1. Kama bado una hisia kwamba IT inatakiwa ikupe ajira one day, then in your free time jifunze Data Analysis (R programming, Probability & Statistics na Advanced Excel). Uki master hii Kada vizuri, it can land you a job in one Attempt. Hakuna longolongo hapo! .
2. Kama umeamua kabisa kutundika viatu kwenye suala la ajira, take a long and hard look kwenye agribusiness. Kilimobiashara ndio biashara yenye uti wa mgongo mgumu zaidi hapa duniani. Itakua biashara ya mwisho kufa sekunde chache kabla Dunia haijapotea kwenye uso wa ulimwengu.
The Choice is Yours. I Rest my Case.
Usijaribu dogo hiyo ni kea risk takers kama sisiKesho nachoma moto vyeti nimechoka.
Usijaribu, hiyo ni dharau na kufuru kwa hiyo elimu kiimani.Kesho nachoma moto vyeti nimechoka.
Ficha basi ujinga wako. Kama umemuuliza yeye tu. Si ungemuuliza huko PM wengine wasione.Acha shobo hujaulizwa wewe
Pia elewa swali kwanza sio kukurupuka kujibu nyauba wewe
Good comment.Hujapoteza chochote comrade,,,hao waliokutangulia kujenga, wewe ukijenga Sasa hivi, nyumba yako itakuwa mpya na ya kisasa zaidi. Kama hujaoa, ukuoa, utaoa mwanamke mwenye malengo na mtazamo unao utaka. Una nafasi ya kufanya kila kitu unachokitaka kama utasahau kujilaumu na kuwekeza maarifa ulio nayo kujipatia kipato.
Dah,mkuu kwa hu ujuzi wako kweli unatafuta ajira,hapa ulitakiwa utafute idea upige pesaMostly, mpaka leo na-master....
1. Android development
2. Sql server database developer
3. C# developer
4. PC mantainance (but si sana hii)....
5. Website developer
Dodoma ipi ya install window kwa elfu 10, maana Udom mishe za block kwa block madogo window walikuwa na install kwa elfu 3 chap tu.Komalia PC maintanence nenda Dodoma tafuta kijiwe fungua workshop,kuinstall window 10000,kucheki tatizo 5000,maintanence xxxxx
Naunga hoja labda IT ya theory alisoma siyo practical IT miaka 8 unalilia je aliyesomea degree ya HISTORY naye asemeje.Information technology unataka kuajiriwa?
Wakati form four Tu wanaingiza hela Kwa kufanya settings Tu za simu na Ku download watsap na nyimbo?
Wewe hujaamua Tu kujiajiri....usingekosa kazi kabisa...
Hata kufundisha computer huwezi??
Kwenye hizi interview za serikalini bila shaka ni psrs...em tutupie mikeka tuone uliscore ngap kwenye competitionHabari wanaJF....
Toka nko Primary school (PS), walimu wetu walipenda sana kutusihi kusoma kwa bidii ili tufanikiwe kimaisha. Toka mentality hiyo ya PS, niliwekeza mda wangu kwenye kusoma kwa bidii ili niyaishi maisha wanayosema walimu wetu.
Nmesoma shule kwa takilibani miaka 16 (toka Primary school mpaka nachukua degree yangu) kwa juhudi kubwa sana. Hatimae mambo yaligeuka toka pale nilipomaliza chuo na kurudi mitaani kufuata maisha yale walimu wetu walituambia, chakushangaza mambo yako tofauti kabsa.
Sasa na miaka 8 toka nmemaliza chuo, sjawahi kupata kazi ya maana. Tofauti na vibarua vidogo vidogo baada ya kumaliza chuo. Si kwamba skutafuta kazi, nmezunguka almost mikoa 8 Tanzania, nmefanya interviews za serikali zaidi ya 20, private sector zaidi ya 60. Nmerudi nyumban wale niliowaacha la 7 na F4, wana nyumba, biashara wengine magari.
Conclusion:
Tanzania [emoji1241] elimu haina maana.
Kama kuandika tu hujuiFicha basi ujinga wako. Kama umemuuliza yeye tu. Si ungemuuliza huko PM wengine wasione.
Tatizo la kusoma kichwa Cha thread pekee yake. Na papala zako kutaka uonekane ume comment. Una comment kitu ambacho kishaongelewa ndani ya thread.
Unatumia matako kufikiri. ACHA kukurupuka ku comment bloila wewe inmradi uonekane.
Kusoma ni kupanua akili tumia akili yako ujiajiri ingawa mwanzo mgumu sanaHabari wanaJF....
Toka nko Primary school (PS), walimu wetu walipenda sana kutusihi kusoma kwa bidii ili tufanikiwe kimaisha. Toka mentality hiyo ya PS, niliwekeza mda wangu kwenye kusoma kwa bidii ili niyaishi maisha wanayosema walimu wetu.
Nmesoma shule kwa takilibani miaka 16 (toka Primary school mpaka nachukua degree yangu) kwa juhudi kubwa sana. Hatimae mambo yaligeuka toka pale nilipomaliza chuo na kurudi mitaani kufuata maisha yale walimu wetu walituambia, chakushangaza mambo yako tofauti kabsa.
Sasa na miaka 8 toka nmemaliza chuo, sjawahi kupata kazi ya maana. Tofauti na vibarua vidogo vidogo baada ya kumaliza chuo. Si kwamba skutafuta kazi, nmezunguka almost mikoa 8 Tanzania, nmefanya interviews za serikali zaidi ya 20, private sector zaidi ya 60. Nmerudi nyumban wale niliowaacha la 7 na F4, wana nyumba, biashara wengine magari.
Conclusion:
Tanzania [emoji1241] elimu haina maana.
[emoji120][emoji120][emoji120]Kusoma ni kupanua akili tumia akili yako ujiajiri ingawa mwanzo mgumu sana
Kusoma ni kupanua akili na kupata ujuzi iwapo kama ulisomea ujuzi
Kusoma sio kufaulu maisha sio kuwa tajiri
Kutosoma sio kufeli maisha sio kufa masikini
Kuna uwezekano mkubwa sana darasa la 7 akamuajiri aliyesoma chuo