Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

Sina ajira, sijawahi kuajiriwa, ila kwa maelezo ya OP miaka 8 kazunguka mikoa karibu yote, kaomba kazi serikalini mpaka private ila holaaa, kwa experience yangu imebidi nishangae tena especially kama OP ni mwenyeji wa dar (born n raised)
Si kwamba ukiwa wa dar una maisha tayari. Dar mkoa, kama ilivyo mikoa mingine tu...
 
Kuna mtu nilimsikia akiongea kauli fulani fupi ila inamaana sana kwa kizazi hiki.

Jitafakari ni kitu gani you are good at, then wekeza muda wako , akili yako, effort na elimu ya darasani kuliendea jambo hilo.
Tatizo mfumo wetu wa elimu na makuzi haumuandai mtu kujua wito wake mapema. Unakuja kujua ulipokosea tayari ushapoteza muda na gharama
 
Pole
Ila tumia kauli nzuri humu jf kuna watu wazuri sana huenda ukasaidika
Acha negativity zako huko mtaani
Ongea na watu vizuri connection zipo mkuu
Punguza jazba na matusi huko majukwani..people are watching.
Fortunately, sikutumia lugha chafu, wala tusi lolote. Bali nmejaribu kutoa maoni na mtazamo wangu kulingana na experience ya miaka 8. Kama kuna mtu kaelewa tofauti naomba anisamehe....
 
Mkuu, kwasasa na umri wa miaka 32, hizo kazi zinakipato kidogo sana huwezi kuoa, kujenga, kuhudumia familia mjini, then kusomesha watoto baadae.
So, nmeona ntajikuta nmeendelea kupoteza mda mwingi zaidi, kwa vitu vidogo. Maana matarajio yangu hayakuwa hayo. Pili, huu si umri wa kucheza cheza tu. Huu ni umri wa kuwa baba mwenye familia....
Unataka kuwa baba wa familia au kuingiza kipato kwanza? Haya mawazo yako ni ya kindezi sana.
 
Haupo peke ako mkuu wengi tulioingia mtaani kuanzia zama za JPM hali mbaya na wakati uahatupita waajiri wanataka waliomaliza chuo miaka ya karibuni. Mzee apumzike kwa amani lakini sera zake za masuala ya kiuchumi na diplomasia halifeli sana
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu, kwasasa na umri wa miaka 32, hizo kazi zinakipato kidogo sana huwezi kuoa, kujenga, kuhudumia familia mjini, then kusomesha watoto baadae.
So, nmeona ntajikuta nmeendelea kupoteza mda mwingi zaidi, kwa vitu vidogo. Maana matarajio yangu hayakuwa hayo. Pili, huu si umri wa kucheza cheza tu. Huu ni umri wa kuwa baba mwenye familia....
Unataka maisha powa na unachagua kazi? Yaan jobless unataka tu ujikute On-top bila kuanza chini kisa tu umri wako umeenda, hujasikia huko kuna wenzenu wametoboa 40yrs lakn hawana hata kiwanja Chenye mgogoro

Sasa wewe 32 tu hiyo unataka kujiona umepoteza muda wakat ndio kwanza huo umri wa kujitafuta kibongobongo bado una muda mrefu hapo wa mapambano, cha msingi tu punguza matarajio, punguza kujifananisha na watu, punguza kujilaumu, punguza tamaa, punguza dharau, vitu vidogo vidogo, ama zile kazi mnazozizarau ndizo zenye pesa ndefu.

Haya njoo na hela ndefu nikupe mchongo unaoendana na Coz yako

[emoji117] Zingatia hili (sina Urafiki kwenye hela, njoo PM na kibunda akili ikukae sawa na uwe siriaz)
 
So sorry kama umekwazika mkuu. Lakn sikudharau mchongo wako na wala sina mtaji wa pesa mkubwa (naogopa ata kukufuata DM). Sema nilikuwa tayari nmeweka kichwani mentality ya kwend kijijin kulima. So ndo maana nilisema vile.....
 
Vijana wanajazana mijini na hawana michongo hawajui utajiri wa masikini uko mashambani, maporini, mapangoni, na machimboni.

Rudi kijiji chenye fursa huko kalime na ufuge vinavyofugika, achana na kilimo uchwara cha motivation speakers.
 
Habari wanaJF....

Toka nko Primary school (PS), walimu wetu walipenda sana kutusihi kusoma kwa bidii ili tufanikiwe kimaisha. Toka mentality hiyo ya PS, niliwekeza mda wangu kwenye kusoma kwa bidii ili niyaishi maisha wanayosema walimu wetu.

Nmesoma shule kwa takilibani miaka 16 (toka Primary school mpaka nachukua degree yangu) kwa juhudi kubwa sana. Hatimae mambo yaligeuka toka pale nilipomaliza chuo na kurudi mitaani kufuata maisha yale walimu wetu walituambia, chakushangaza mambo yako tofauti kabsa.

Sasa na miaka 8 toka nmemaliza chuo, sjawahi kupata kazi ya maana. Tofauti na vibarua vidogo vidogo baada ya kumaliza chuo. Si kwamba skutafuta kazi, nmezunguka almost mikoa 8 Tanzania, nmefanya interviews za serikali zaidi ya 20, private sector zaidi ya 60. Nmerudi nyumban wale niliowaacha la 7 na F4, wana nyumba, biashara wengine magari.

Conclusion:
Tanzania [emoji1241] elimu haina maana.
Dogo hakuna elimu isiyo na maana ila wewe ndo hauna maana[emoji419][emoji375].
Dogo ukisoma sio lazima kuajiliwa tuuuuu, kusoma ni kuondoa ujinga, ila wewe imesoma na hujaondoa ujinga, hivo elimu ulosoma haina msaada kwako
 
Back
Top Bottom