YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,906
- 51,934
Hadharani au sirini mkiwa wawili?MKUU ni ustaarabu tu kumwambia baba funika mgolole, uko Uchi
Hadharani au sirini mkiwa wawili?MKUU ni ustaarabu tu kumwambia baba funika mgolole, uko Uchi
Inategemea mood ya baba.Hadharani au sirini mkiwa wawili?
Kwa hiyo ruksa kuanika Uchi wa baba yako press au JamiiForums kisa ana mood?Inategemea mood ya baba, lakini akitonywa anakuwa na ufahamu.
Hebu tupe forum nyingine, wananchi wazalendo wanafahamu mengi ya kuijenga nchi kuliko ujuavyo.Kwa hiyo ruksa kuanika Uchi wa baba yako press au JamiiForums kisa ana mood?
Mi napata tabu sana na Watu wa aina yako na reasoning yako. Mambo hayawagi wazi hivyo ndugu yangu. Serikali ina mkono mrefu sana kama ndo dili ingekuwa hiyo yako Mpendwa wangu cha ujinga. Angekufa hata awe wapi. Kodi yako ingetumika kumlipa dolali mercenary mmoja na Kazi kwisha. Tumieni kichwa badala ya matakoooo kufikiri. Stupid.
Yeye mbunge ruksa kuyamwaga bungeni kule mbunge ana kinga na aweza pewa majibu official wewe kama unayo kamkabidhi mbunge wako ayapeleke kuyasema bungeni au ayatafute majibu kule ndiyo kazi yake mbunge kuyachukua ya wananchi na kuyafikisha bungeni yafike Kwa wahusika serikalini.Mtumie mbunge wako.Hebu tupe forum nyingine, wananchi wazalendo wanafahamu mengi ya kuijenga nchi kuliko ujuavyo.
Umempikia mwenza? Angalia usipewe talakaMwajiriwa Mhadhiri wa UDOM amwonya mwajiri wake Serikali.Very interesting.Mwajiriwa kumpa barua ya onyo mwajiri.
Kinadharia uko sawa lakini mengine ni kumtoa paka kutoka mfuko wa kisulfeti.Yeye mbunge ruksa kuyamwaga bungeni kule mbunge ana kinga na aweza pewa majibu official wewe kama unayo kamkabidhi mbunge wako ayapeleke kuyasema bungeni au ayatafute majibu kule ndiyo kazi yake mbunge kuyachukua ya wananchi na kuyafikisha bungeni yafike Kwa wahusika serikalini.Mtumie mbunge wako.
Soma alichoandika Acha kujamba jamba hadhafaniWewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Mshauri wake mkuu zero so sidhani kama maprofessor walishirikishwaKumbe hawakufanya 'impact analysis' ya jaribio la kuua mtu.... wakati serikali imejaa ma profesa na ma phd hiyo ndo gharama ya kukurupuka katika maamuzi muhimu
Ndio ubaya wenu, wasomi wakitumia akili zao mnaowaona koko, ila Bashiru akitumia ujinga wake mnamuona Dr!!Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Imebidi nikujibu. Mburula anayejifanya msomi3 anayakula na kunya kodi zetu ni yule anayaficha ukweli au anayeogopa kufanya upelelezi katia jambo linalogusa serikali. Hebu jibu maswaliWewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Upelelezi ni Siri ulitaka nakala za hayo ya upelelezi wa hayo wakupe wewe au wayakabiddhi mahakamani kesi ikianza baada ya kuwahoji mashahidi muhimu wawili Tundu Lisu na dereva? Upelelezi wa nini kilitokea ni Siri is not for public consumption or Lisu consumption but for court consumption.Ulitaka wakupe confidential investigation report kama nani wewe? Wewe mahakama?Imebidi nikujibu. Mburula anayejifanya msomi3 anayakula na kunya kodi zetu ni yule anayaficha ukweli au anayeogopa kufanya upelelezi katia jambo linalogusa serikali. Hebu jibu maswali
1.walinzi walienda wapi na waliondolewa na nani3 kupisha shambulio
2.Au basi walienda kunya na kamera zikachukua tukio. Ni nani aliyekuja kungoa kamera za serikali katika majengo ya serikali?!!!!.
Ukikataa kuhoji hili na kukazana kusafishA serikali wewe ni mburula. Taahira mchumia tumbo usiye hata xhembe ya utu
Kumbe hawakufanya 'impact analysis' ya jaribio la kuua mtu.... wakati serikali imejaa ma profesa na ma phd hiyo ndo gharama ya kukurupuka katika maamuzi muhimu
Nahuko Ulaya wameanziasha ''fearless ideas courses '' for innovation and entrepreneurship he is sharing experiencesMhadhiri wa Chuo kikuu cha Dodoma, Dkt. Paul Luisilie amesema ziara na mahojiano anayoyafanya Tundu Lissu huko Ulaya na Marekani yatakuwa na athari kubwa katika siasa za Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 na kuna uwezekano wa mataifa makubwa kufanya uamuzi mgumu dhidi ya Tanzania.
Amesema ziara hizo zinaliweka taifa katika wakati mgumu kiuchumi kwa kuwa anazifanya katika nchi zinazotoa misaada kwa Tanzania.
"Mpaka sasa athari za ziara ya Lissu zimeshaanza kuonekana, kwa kuwa mjadala ni mkubwa. Ndani ya CCM kwenyewe wanajadiliana. Hiyo ni impact.
Lissu alishapata huruma kubwa ya wananchi, matusi mengi anayotukanwa yanamjenga. Tumesikia spika akisema watakatisha mshahara wake, huku nako ni kumjenga maana watu wanajadili mshahara huo. Yani hatapata taabu kupigiwa kura kwa kuwa ameshajijenga wakati huu" - Alisema Dkt. Luisilie.
Mhadhiri huyo amesema tayari mitaani watu hasa vijana washaanza kuvutiwa na ujasiri wa Lissu na kutokata tamaa.
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work