Mhadhiri UDOM aionya Serikali kuhusu Lissu

Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dodoma, Dkt. Paul Luisilie amesema ziara na mahojiano anayoyafanya Tundu Lissu huko Ulaya na Marekani yatakuwa na athari kubwa katika siasa za Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 na kuna uwezekano wa mataifa makubwa kufanya uamuzi mgumu dhidi ya Tanzania.

Amesema ziara hizo zinaliweka taifa katika wakati mgumu kiuchumi kwa kuwa anazifanya katika nchi zinazotoa misaada kwa Tanzania.

"Mpaka sasa athari za ziara ya Lissu zimeshaanza kuonekana, kwa kuwa mjadala ni mkubwa. Ndani ya CCM kwenyewe wanajadiliana. Hiyo ni impact.

Lissu alishapata huruma kubwa ya wananchi, matusi mengi anayotukanwa yanamjenga. Tumesikia spika akisema watakatisha mshahara wake, huku nako ni kumjenga maana watu wanajadili mshahara huo. Yani hatapata taabu kupigiwa kura kwa kuwa ameshajijenga wakati huu" - Alisema Dkt. Luisilie.

Mhadhiri huyo amesema tayari mitaani watu hasa vijana washaanza kuvutiwa na ujasiri wa Lissu na kutokata tamaa.
Profesa wa mwendo kasi,nani anamtukana Lissu? Huo utafiti wake kaufanyia wapi na kwa sampuli ipi? Maana asijekuwa kachukua sampuli Ufipa ndo anatuletea hapa na huo utafiti wa kizembe hivyo...!!!
 
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
We umefoji vyeti.mwenzako ni PhD horder. Nyie ndo maana hata mtangazaji wa hard talk hamkumuelewa kwa staili aliyoitumia,mkabaki mnashangilia kama mazuzu eti Yuki upande wenu.
 
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
aliezitoa kamera kabla ya tukio huku polisi wakimuona atakuwa sionwa serikali? Alieamuru walinzi wote watoke siku ya tukio atakuwa sio mtu mkubwa jeshini? Kama hazikutolewa camera Nani anaficha video kwa maslahi ya nani mheshimiwa msomi?
 
Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dodoma, Dkt. Paul Luisilie amesema ziara na mahojiano anayoyafanya Tundu Lissu huko Ulaya na Marekani yatakuwa na athari kubwa katika siasa za Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 na kuna uwezekano wa mataifa makubwa kufanya uamuzi mgumu dhidi ya Tanzania.

Amesema ziara hizo zinaliweka taifa katika wakati mgumu kiuchumi kwa kuwa anazifanya katika nchi zinazotoa misaada kwa Tanzania.

"Mpaka sasa athari za ziara ya Lissu zimeshaanza kuonekana, kwa kuwa mjadala ni mkubwa. Ndani ya CCM kwenyewe wanajadiliana. Hiyo ni impact.

Lissu alishapata huruma kubwa ya wananchi, matusi mengi anayotukanwa yanamjenga. Tumesikia spika akisema watakatisha mshahara wake, huku nako ni kumjenga maana watu wanajadili mshahara huo. Yani hatapata taabu kupigiwa kura kwa kuwa ameshajijenga wakati huu" - Alisema Dkt. Luisilie.

Mhadhiri huyo amesema tayari mitaani watu hasa vijana washaanza kuvutiwa na ujasiri wa Lissu na kutokata tamaa.
Anayemwogopa Lissu ni mpuuzi nani ampigie kura msaliti na mhaini wa Nchi yake,Hivi we na akili yako waweza kimweka Huyo jamaa IKULU,ilishindikana kwa Mh Lowasa tajiri,nguli wa siasa,mshawishi ndani na nje ya nchi,kada wa muda mrefu na aliyeama na watu wengi kwenda Ukawa,mpendwa kwa vyombo vya dolla na mfadhili wa makanisa na misikiti,Sembuse mlopoka hovyo Lisu.Siasa hizi muulize Mbowe ndo atawajibu anateseka na kuumia kwa hao wanaolopoka hovyo walimshawishi nae akajisahau akaanza kulopoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi napata tabu sana na Watu wa aina yako na reasoning yako. Mambo hayawagi wazi hivyo ndugu yangu. Serikali ina mkono mrefu sana kama ndo dili ingekuwa hiyo yako Mpendwa wangu cha ujinga. Angekufa hata awe wapi. Kodi yako ingetumika kumlipa dolali mercenary mmoja na Kazi kwisha. Tumieni kichwa badala ya matakoooo kufikiri. Stupid.

Ni hivi, kila kitu kilipangwa sawa na kikatekelezwa vyema, ila Mungu ndio aligoma. Ingekuwa hao washambulizi hawana backup ya hao Lissu anaowatuhumu wangekuwa wameshakamatwa.
 
Lissu kwasasa anasikilizwa hata na wote ndani na Nje ya Nchi. Ujinga mlioufanya wa Kumchapa TL Risasi Utawagharimu tu. Kumbuka Tanzania siyo Kisiwa na haina Nguvu yeyote ya Kutunishiana Misuli na Mataifa makubwa ya Nje.
Mpuuzi weye mnakuwa woga,mlianza mara balozi wa EU kaitwa kwao mara nn mbona karudi mwenyewe na kusifia maendeleo ya Nchi,nyie mnabahati mgezaliwa kipindi cha ukoloni mgeliuza mpaka wazazi wenu au kuwakana.Lissu atarudi Bongo na atakuwa raia wa kawaida katika idadi ya Watanzania mil 50.Nchi hii haiumbishwi na wapuuzi,nikuelimishe kidogo Wenzetu wanataka maslahi hawakusaidii hivi hivi,washaona Lissu ana upenyo wa kuwa kiongozi maana watu wa kawaida wanapendezwa na Mh.Rais aliyepo.Hizi kelele za mitandaoni idadi yake kama ni kubwa haizidi watu elfu 50.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe dada unene unakuletea matatizo
Hapo hapo mkuu. Matipwatipwa huwa wana kitu kinaitwa "Low self esteem"....hiyo kitu huwa inawatesa sana na kujificha nyuma ya keyboard. Mwanamke mwenye kitambi kama cha Papaa Shirandula huwa wana midomo sana.
 
Mpuuzi weye mnakuwa woga,mlianza mara balozi wa EU kaitwa kwao mara nn mbona karudi mwenyewe na kusifia maendeleo ya Nchi,nyie mnabahati mgezaliwa kipindi cha ukoloni mgeliuza mpaka wazazi wenu au kuwakana.Lissu atarudi Bongo na atakuwa raia wa kawaida katika idadi ya Watanzania mil 50.Nchi hii haiumbishwi na wapuuzi,nikuelimishe kidogo Wenzetu wanataka maslahi hawakusaidii hivi hivi,washaona Lissu ana upenyo wa kuwa kiongozi maana watu wa kawaida wanapendezwa na Mh.Rais aliyepo.Hizi kelele za mitandaoni idadi yake kama ni kubwa haizidi watu elfu 50.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa taarifa yako nchi huwa haiongozwi na watu wote bali kikundi kidogo ndio huburuza kundi kubwa. Usitarajie iko siku watu 90% watakuwa viongozi.
 
Anayemwogopa Lissu ni mpuuzi nani ampigie kura msaliti na mhaini wa Nchi yake,Hivi we na akili yako waweza kimweka Huyo jamaa IKULU,ilishindikana kwa Mh Lowasa tajiri,nguli wa siasa,mshawishi ndani na nje ya nchi,kada wa muda mrefu na aliyeama na watu wengi kwenda Ukawa,mpendwa kwa vyombo vya dolla na mfadhili wa makanisa na misikiti,Sembuse mlopoka hovyo Lisu.Siasa hizi muulize Mbowe ndo atawajibu anateseka na kuumia kwa hao wanaolopoka hovyo walimshawishi nae akajisahau akaanza kulopoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mnafuruka sana. Ila sindano imewaingia tulien ifanye kaz...
Sisi watu wa kusifu na kuabudu kama ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom