Mhadhiri UDOM aionya Serikali kuhusu Lissu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,251
2,000
Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dodoma, Dkt. Paul Luisilie amesema ziara na mahojiano anayoyafanya Tundu Lissu huko Ulaya na Marekani yatakuwa na athari kubwa katika siasa za Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 na kuna uwezekano wa mataifa makubwa kufanya uamuzi mgumu dhidi ya Tanzania.

Amesema ziara hizo zinaliweka taifa katika wakati mgumu kiuchumi kwa kuwa anazifanya katika nchi zinazotoa misaada kwa Tanzania.

"Mpaka sasa athari za ziara ya Lissu zimeshaanza kuonekana, kwa kuwa mjadala ni mkubwa. Ndani ya CCM kwenyewe wanajadiliana. Hiyo ni impact.

Lissu alishapata huruma kubwa ya wananchi, matusi mengi anayotukanwa yanamjenga. Tumesikia spika akisema watakatisha mshahara wake, huku nako ni kumjenga maana watu wanajadili mshahara huo. Yani hatapata taabu kupigiwa kura kwa kuwa ameshajijenga wakati huu" - Alisema Dkt. Luisilie.

Mhadhiri huyo amesema tayari mitaani watu hasa vijana washaanza kuvutiwa na ujasiri wa Lissu na kutokata tamaa.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
25,128
2,000
Kumbe hawakufanya 'impact analysis' ya jaribio la kuua mtu.... wakati serikali imejaa ma profesa na ma phd hiyo ndo gharama ya kukurupuka katika maamuzi muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
 
cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
2,791

IGP"Tumefunga jalada la uchunguzi kushambuliwa kwa Lisu"

Hii haitaji uende chekechea,kujua mhusika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
3,351
2,000
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Bro mbona kama umepaniki hivi na hii uzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
8,396
2,000
Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dodoma, Dkt. Paul Luisilie amesema ziara na mahojiano anayoyafanya Tundu Lissu huko Ulaya na Marekani yatakuwa na athari kubwa katika siasa za Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 na kuna uwezekano wa mataifa makubwa kufanya uamuzi mgumu dhidi ya Tanzania.

Amesema ziara hizo zinaliweka taifa katika wakati mgumu kiuchumi kwa kuwa anazifanya katika nchi zinazotoa misaada kwa Tanzania.

"Mpaka sasa athari za ziara ya Lissu zimeshaanza kuonekana, kwa kuwa mjadala ni mkubwa. Ndani ya CCM kwenyewe wanajadiliana. Hiyo ni impact.

Lissu alishapata huruma kubwa ya wananchi, matusi mengi anayotukanwa yanamjenga. Tumesikia spika akisema watakatisha mshahara wake, huku nako ni kumjenga maana watu wanajadili mshahara huo. Yani hatapata taabu kupigiwa kura kwa kuwa ameshajijenga wakati huu" - Alisema Dkt. Luisilie.

Mhadhiri huyo amesema tayari mitaani watu hasa vijana washaanza kuvutiwa na ujasiri wa Lissu na kutokata tamaa.
ATAHAMISHIWA WIZARANI AKAWE DESK OFISA
 
Ndikwega

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,866
2,000
Hahaha kwani huko nje Lisu kakutana na nani zaidi ya kuongea HardTalk na DW?!
Wanaoleta pesa za ndani kaongea nao pia?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu kwasasa anasikilizwa hata na wote ndani na Nje ya Nchi. Ujinga mlioufanya wa Kumchapa TL Risasi Utawagharimu tu. Kumbuka Tanzania siyo Kisiwa na haina Nguvu yeyote ya Kutunishiana Misuli na Mataifa makubwa ya Nje.
 
Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
6,847
2,000
Hahaha mataifa makubwa ni yapi yanayitunisha misuli?
Shwain wewe hujui ulisemalo! Lissu kwasasa anasikilizwa hata na Mabwana zako wote ndani na Nje ya Nchi. Ujinga mlioufanya wa Kumchapa TL Risasi Utawagharimu tu. Kumbuka Tanzania siyo Kisiwa na haina Nguvu yeyote ya Kutunishiana Misuli na Mataifa makubwa ya Nje.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
13,951
2,000
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Usianze kutoa mapovu...........

Kama serikali haijahusika, ni kwanini walinzi wenye silaha, ambao huwa wanakuwepo masaa 24 kwenye makazi hayo, hawakuwepo siku hiyo ya tukio??

Pili, kama serikali haihusiki ni kwanini wanakataa wachunguzi toka nje wasije nchini kuchunguza na kuweka mambo hadharani??

Tatu, ni kwanini CCTV camera za eneo hilo zilinyofolewa Mara tu baada ya tukio lile??
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
4,700
2,000
Watu hawa
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Watu hawazungumzi kitoto dogo. Wanazo hizo unazoziita "verifiable evidences". Lakini haziwezi kubwagwa hadharani kama unaanika mpunga. Evidences zinaanikwa mahali pake, nako ni mahakamani itakapofikia hatua hiyo. Jaribu kukua.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom