Mhadhiri UDOM aionya Serikali kuhusu Lissu

Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dodoma, Dkt. Paul Luisilie amesema ziara na mahojiano anayoyafanya Tundu Lissu huko Ulaya na Marekani yatakuwa na athari kubwa katika siasa za Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 na kuna uwezekano wa mataifa makubwa kufanya uamuzi mgumu dhidi ya Tanzania.

Amesema ziara hizo zinaliweka taifa katika wakati mgumu kiuchumi kwa kuwa anazifanya katika nchi zinazotoa misaada kwa Tanzania.

"Mpaka sasa athari za ziara ya Lissu zimeshaanza kuonekana, kwa kuwa mjadala ni mkubwa. Ndani ya CCM kwenyewe wanajadiliana. Hiyo ni impact.

Lissu alishapata huruma kubwa ya wananchi, matusi mengi anayotukanwa yanamjenga. Tumesikia spika akisema watakatisha mshahara wake, huku nako ni kumjenga maana watu wanajadili mshahara huo. Yani hatapata taabu kupigiwa kura kwa kuwa ameshajijenga wakati huu" - Alisema Dkt. Luisilie.

Mhadhiri huyo amesema tayari mitaani watu hasa vijana washaanza kuvutiwa na ujasiri wa Lissu na kutokata tamaa.

Safi, matakataka mengine usijibu!
 
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Kuna mahali ambapo wewe na Lisu mtakuwa sawa , mnasikilizwa kwa usawa mbele ya jopo la watoa haki. Wewe hapa una enjoy unfetted "prosecution". Kuna mahali mtakuwa sawa mbele ya sheria!
 
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Wewe ndiye msomi koko haswaaaa
 
Huihitaji ramli au darubini kuthibisha kwa serikali ilihusika na jaribio la kuua Lissu, na wewe sina hakika una utambuzi wa mambo wa kutosha kujaribu kujilinganisha na Lissu, hizo elfu 7 za lumumba zitakuja kuwatokea puani
 
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Mjomba povu lote la nini? Ya huyo "msomi koko" yamekugusa? Mjibu mtu kwa hoja bila matusi. Ndiyo ustaarabu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eloquence ya Lissu
Ujasiri wake
Uhanga wake
Sharpness ya mind yake
Historia yake katika sheria

Vyote hivi ni ingredients za kuungwa mkono nje na ndani ya nchi na hivyo kuongoza movement ya mabadiriko ya kiutawala katika nchi
 
Moja kati ya sera ya jiwe ni anataka tz ijitegemee sasa hao wenye kubana misaada wabane maana hata huyo anaebwabwaja huko akipewa hicho cheo lzm ataomba misaada..
Yes anaweza kuomba misaada kweli but hao wafadhiri wataangalia kama kuna utawala wa sheria
 
Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dodoma, Dkt. Paul Luisilie amesema ziara na mahojiano anayoyafanya Tundu Lissu huko Ulaya na Marekani yatakuwa na athari kubwa katika siasa za Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 na kuna uwezekano wa mataifa makubwa kufanya uamuzi mgumu dhidi ya Tanzania.

Amesema ziara hizo zinaliweka taifa katika wakati mgumu kiuchumi kwa kuwa anazifanya katika nchi zinazotoa misaada kwa Tanzania.

"Mpaka sasa athari za ziara ya Lissu zimeshaanza kuonekana, kwa kuwa mjadala ni mkubwa. Ndani ya CCM kwenyewe wanajadiliana. Hiyo ni impact.

Lissu alishapata huruma kubwa ya wananchi, matusi mengi anayotukanwa yanamjenga. Tumesikia spika akisema watakatisha mshahara wake, huku nako ni kumjenga maana watu wanajadili mshahara huo. Yani hatapata taabu kupigiwa kura kwa kuwa ameshajijenga wakati huu" - Alisema Dkt. Luisilie.

Mhadhiri huyo amesema tayari mitaani watu hasa vijana washaanza kuvutiwa na ujasiri wa Lissu na kutokata tamaa.

Mwanzo wa ngoma ni lele
 
Huyo mhadhili apewe ukuu wa Mkoa mara moja ili atusaidie kuzijibu hoja za Lissu, anaonekana kuwa na busara.
 
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
duh aisee umetiririka as if umesokomezewa mashine mdomoni

Mungu amefungu ufahamu wa watu wengi sana.
Hata watu wanapoonyesha jua,kuna watu wanaendelea kung'ang'ania kuona mwezi!!!
Mungu huwa anaruhusu mambo mengine yatokee ili ajitwalie utukufu.
Tuendeleeni kuwa wapole tuone Mungu ana mpango gani na taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi napata tabu sana na Watu wa aina yako na reasoning yako. Mambo hayawagi wazi hivyo ndugu yangu. Serikali ina mkono mrefu sana kama ndo dili ingekuwa hiyo yako Mpendwa wangu cha ujinga. Angekufa hata awe wapi. Kodi yako ingetumika kumlipa dolali mercenary mmoja na Kazi kwisha. Tumieni kichwa badala ya matakoooo kufikiri. Stupid.
Ni vizuri kuvumiliana
Hapa ni mjadala,ukiona hutaki bira ubaki kimya.
Kutukanana ni kuleta chuki badala ya kumpa facts ukijenga hoja zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dodoma, Dkt. Paul Luisilie amesema ziara na mahojiano anayoyafanya Tundu Lissu huko Ulaya na Marekani yatakuwa na athari kubwa katika siasa za Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 na kuna uwezekano wa mataifa makubwa kufanya uamuzi mgumu dhidi ya Tanzania.

Amesema ziara hizo zinaliweka taifa katika wakati mgumu kiuchumi kwa kuwa anazifanya katika nchi zinazotoa misaada kwa Tanzania.

"Mpaka sasa athari za ziara ya Lissu zimeshaanza kuonekana, kwa kuwa mjadala ni mkubwa. Ndani ya CCM kwenyewe wanajadiliana. Hiyo ni impact.

Lissu alishapata huruma kubwa ya wananchi, matusi mengi anayotukanwa yanamjenga. Tumesikia spika akisema watakatisha mshahara wake, huku nako ni kumjenga maana watu wanajadili mshahara huo. Yani hatapata taabu kupigiwa kura kwa kuwa ameshajijenga wakati huu" - Alisema Dkt. Luisilie.

Mhadhiri huyo amesema tayari mitaani watu hasa vijana washaanza kuvutiwa na ujasiri wa Lissu na kutokata tamaa.
Kwa mtu mwenye degree tatu hawezi kuwa na mawazo ya hovyo namna hii,huyu atakuwa ni Daktari wa mitishamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Jibu hoja acha jaziba na majungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom