Mhadhiri UDOM aionya Serikali kuhusu Lissu

Moja kati ya sera ya jiwe ni anataka tz ijitegemee sasa hao wenye kubana misaada wabane maana hata huyo anaebwabwaja huko akipewa hicho cheo lzm ataomba misaada..
Sisi UKAWA tumeanza rasmi kubana matumizi..mpaka makampuni yote yafungwe..misaada ya mabeberu imeanza kupungua..mpaka wauwaji waseme maji mma
 
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Wakiitwa wasomi na wewe utasimama sio kwa mwandiko huo inaonyesha wazi huna akili
 
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work

Hata povu kama hili linamjenga Lissu.
Povu mwanzo mwisho.
 
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work

Kha! Wewe ndio Serikali au Wasiojulikana?. Hebu tuanzie hapo naona povu linakutoka tu.
 
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Serikali inapozima uchunguzi tuwaeleweje?Katika kesi ambazo zingekuwa rahisi kuzishughulikia ikiwa jeshi la polisi lingekuwa huru basi ni hili la kushambuliwa Lisau katika eneo ambalo 24/7 lina ulinzi,lakini pia kuna camera mahali mbali mbali za cctv!
Its a shame kwa jeshi letu kushindwa kusolve issue simple namna hiyo!
Je,ingekuwa kashambuliwa huko porini????
Shame,shame,shame!
 
Moja kati ya sera ya jiwe ni anataka tz ijitegemee sasa hao wenye kubana misaada wabane maana hata huyo anaebwabwaja huko akipewa hicho cheo lzm ataomba misaada..
Akikutana nao ikulu sio maneberu,anawaomba misaada!Kama juzi tu hapa,ameomba WB wamuongezee magari mawili ya mobile court!
Strategy za kujitegemea sio kwa kuvimba,kimbiza mwizi kimya kimya,wakijashtuka wewe tayari una uwezo wa kujitegemea!
 
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work

Upumbavu wako hauna mfano
 
Wapi wewe, vijana mnalilia ushoga? Lisu awe RAIS? labda awe rahisi manina zake. Hii inji tutaisimamia mpaka wapatikane watu mbadala wenye akili timamu sio vinyago tulivyo chonga wenyese kina TL na masela wengine kama mwenyekiti sugu, sijui takataka gani kule CCM mbere kwa mbere
Muulize baba yako anjua muziki wangu, mwangalie nyuma baba yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Kuna mtu mmoja mpigaji kelele mzuri, tulipo trace simu yake tulikuta anawasiliana na akina mwanyika. Tena akawa anatuma msg nipe document hii, nipe document ile. That's the government. Vita ya kiuchumi ni ngumu kuliko vita hizi nyingine, wanajeshi wanajua dawa ya mtu msaliti. Huwez ukawa msaliti then uka survive."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi wewe, vijana mnalilia ushoga? Lisu awe RAIS? labda awe rahisi manina zake. Hii inji tutaisimamia mpaka wapatikane watu mbadala wenye akili timamu sio vinyago tulivyo chonga wenyese kina TL na masela wengine kama mwenyekiti sugu, sijui takataka gani kule CCM mbere kwa mbere

Sent using Jamii Forums mobile app
takataka baba yako!
 
Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dodoma, Dkt. Paul Luisilie amesema ziara na mahojiano anayoyafanya Tundu Lissu huko Ulaya na Marekani yatakuwa na athari kubwa katika siasa za Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 na kuna uwezekano wa mataifa makubwa kufanya uamuzi mgumu dhidi ya Tanzania.

Amesema ziara hizo zinaliweka taifa katika wakati mgumu kiuchumi kwa kuwa anazifanya katika nchi zinazotoa misaada kwa Tanzania.

"Mpaka sasa athari za ziara ya Lissu zimeshaanza kuonekana, kwa kuwa mjadala ni mkubwa. Ndani ya CCM kwenyewe wanajadiliana. Hiyo ni impact.

Lissu alishapata huruma kubwa ya wananchi, matusi mengi anayotukanwa yanamjenga. Tumesikia spika akisema watakatisha mshahara wake, huku nako ni kumjenga maana watu wanajadili mshahara huo. Yani hatapata taabu kupigiwa kura kwa kuwa ameshajijenga wakati huu" - Alisema Dkt. Luisilie.

Mhadhiri huyo amesema tayari mitaani watu hasa vijana washaanza kuvutiwa na ujasiri wa Lissu na kutokata tamaa.

Hivi huyu Mhadhili kwanini asikaguliwe vyeti vyake maana anadhalilisha skolale yote, amefanya wapi hiyo tafiti si aseme ni mfuasi wa kibaraka Lisu.
Vijana wengi wanapambana na hari zao kitaa yeye anasema mjadala mkubwa. labda vijana wa GPA 32 wele sawa maana ni kundi la malofa.
 
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Msomi koko ni Baba yako ushahidi upo hadi wa Video Magufuli akiagiza Lissu auawe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dodoma, Dkt. Paul Luisilie amesema ziara na mahojiano anayoyafanya Tundu Lissu huko Ulaya na Marekani yatakuwa na athari kubwa katika siasa za Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 na kuna uwezekano wa mataifa makubwa kufanya uamuzi mgumu dhidi ya Tanzania.

Amesema ziara hizo zinaliweka taifa katika wakati mgumu kiuchumi kwa kuwa anazifanya katika nchi zinazotoa misaada kwa Tanzania.

"Mpaka sasa athari za ziara ya Lissu zimeshaanza kuonekana, kwa kuwa mjadala ni mkubwa. Ndani ya CCM kwenyewe wanajadiliana. Hiyo ni impact.

Lissu alishapata huruma kubwa ya wananchi, matusi mengi anayotukanwa yanamjenga. Tumesikia spika akisema watakatisha mshahara wake, huku nako ni kumjenga maana watu wanajadili mshahara huo. Yani hatapata taabu kupigiwa kura kwa kuwa ameshajijenga wakati huu" - Alisema Dkt. Luisilie.

Mhadhiri huyo amesema tayari mitaani watu hasa vijana washaanza kuvutiwa na ujasiri wa Lissu na kutokata tamaa.
Lisu anatafundisha kutokata tamaaa hata kama utakumbana na matatizo mengi
 
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Mbona tuna msomi wewe usiye koko, na tunarudi nyuma?!?! Usomi wako unalisaidiaje taifa? Unalisaidia taifa kwa kuwasema wenzako ili hali usomi wako hauna msaada wowote kwa taifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom