Mhadhiri UDOM aionya Serikali kuhusu Lissu

Mhadhiri UDOM aionya Serikali kuhusu Lissu

ALIPOUWAWA KAMANDA LIBERATUS BAROW SIKU YA PILI WAUAJI WALIPATIKANA.

ILA WALIMUUA ALFONS MAWAZO ,WALIOMTWANGA RISASI LISSU,WALIOMPOTEZA BEN SAANANE,AZORI NA WATU WALIOKOTWA KWENYE VIROBA MPAKA LEO KIMYAA?

KWA AKILI YAKO UNAFIKIRI WAHUSKKA AU MHUSKKA NI NANI??

PUNGUZA JAZBA KUWA OBJECTIVE HATA KAMA UMEKUNYWA MAJI YA GREN FLAG ! BE OBJECTIVE
Wataua wangapi? hata wao watakufa tu ''No one is going to live for life
 
jamaa zetu hawaangalii impact wao ni mawazo ya muda ule tu, wakiazimia jambo wanafanya tu kwa lugha ya kitaalamu tunaita "Ushauriless" ngoma ishanoga na haiwaachi hadi 2020.
 
Kumbe hawakufanya 'impact analysis' ya jaribio la kuua mtu.... wakati serikali imejaa ma profesa na ma phd hiyo ndo gharama ya kukurupuka katika maamuzi muhimu
Wao walidhani wataua mtu halafu kuwe shwari tu, wakidhani yale mabomu na vifaru vitawasaidia, akili kama za paka hizi.

Hawajui kwamba kingeweza kunuka kiasi nchi ingeingia katika.machafuko makubwa kuwahi kutokea??

Eti akili zao wangemuua na kumuwahisha kwo Ikungi mara moja tu fasta fasta.

Hahahaa.
 
Mi napata tabu sana na Watu wa aina yako na reasoning yako. Mambo hayawagi wazi hivyo ndugu yangu. Serikali ina mkono mrefu sana kama ndo dili ingekuwa hiyo yako Mpendwa wangu cha ujinga. Angekufa hata awe wapi. Kodi yako ingetumika kumlipa dolali mercenary mmoja na Kazi kwisha. Tumieni kichwa badala ya matakoooo kufikiri. Stupid.

Mbona wewe pia umetumia hayo hayo kufikiri, sasa jiwe na bashite kwa ushamba wao unadhani wanaweza kuwa na plani gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi ni dhahiri shahiri kuwa Serikali ilihusika na kuratibu shambulio la kijinga,kizembe,kipumbavu na la woga dhidi ya mh.Lissu!
Kinachowauma Serikali walijua Mh.LIssu asingepona kwa gharama yoyote ile...mara zote Bashite huwa hafanikishi jambo lolote Jiwe ni mbishi tu.
 
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Hata wasiovwasomi kwa yanayoendelea kutamkwa na viongozi na washabiki wao, mazingira yalivyokuwa wakati na baada ya shambulizi, mwenye akili na busara zake za kuzaliwa tu ameshabaini siri kubwa inayofichwa na kutaka kupotezwa na utawala.
HAKUNA NAMNA TENA, LABDA WATU WOTE WWFANYWE KWANZA MAZUZU, jambo ambalo si rahisi na haliwezekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi napata tabu sana na Watu wa aina yako na reasoning yako. Mambo hayawagi wazi hivyo ndugu yangu. Serikali ina mkono mrefu sana kama ndo dili ingekuwa hiyo yako Mpendwa wangu cha ujinga. Angekufa hata awe wapi. Kodi yako ingetumika kumlipa dolali mercenary mmoja na Kazi kwisha. Tumieni kichwa badala ya matakoooo kufikiri. Stupid.
Kumbe iko hivyo, acha serikali ijisemee yenyewe boss. Halafu naona unachukulia mambo kirahisi tu kwenye dunia ya intelligence.
 
IGP"Tumefunga jalada la uchunguzi kushambuliwa kwa Lisu"

Hii haitaji uende chekechea,kujua mhusika

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti watu wazima na akili zao eti wamekaa kuuambia dunia ati uchunguzi umesimama hadi lissu arudi,huku nikudharirisha,kwamba lissu ndo kazuia hata askari waliokua zamu siku hiyo wasihojiwe?,kwamba lissu ndo kazuia hata taarifa ya kitaalam kuhusu maganda ya risasi yaliyo patikana eneo la tukio?.ujinga tuuuu
 
Huyo muhadhiri akiendelea kudumu hapo japo miezi sita,itakua ni muujiza.
 
Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dodoma, Dkt. Paul Luisilie amesema ziara na mahojiano anayoyafanya Tundu Lissu huko Ulaya na Marekani yatakuwa na athari kubwa katika siasa za Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 na kuna uwezekano wa mataifa makubwa kufanya uamuzi mgumu dhidi ya Tanzania.

Amesema ziara hizo zinaliweka taifa katika wakati mgumu kiuchumi kwa kuwa anazifanya katika nchi zinazotoa misaada kwa Tanzania.

"Mpaka sasa athari za ziara ya Lissu zimeshaanza kuonekana, kwa kuwa mjadala ni mkubwa. Ndani ya CCM kwenyewe wanajadiliana. Hiyo ni impact.

Lissu alishapata huruma kubwa ya wananchi, matusi mengi anayotukanwa yanamjenga. Tumesikia spika akisema watakatisha mshahara wake, huku nako ni kumjenga maana watu wanajadili mshahara huo. Yani hatapata taabu kupigiwa kura kwa kuwa ameshajijenga wakati huu" - Alisema Dkt. Luisilie.

Mhadhiri huyo amesema tayari mitaani watu hasa vijana washaanza kuvutiwa na ujasiri wa Lissu na kutokata tamaa.
Katumwa na mabeberu bila shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upelelezi ni Siri ulitaka nakala za hayo ya upelelezi wa hayo wakupe wewe au wayakabiddhi mahakamani kesi ikianza baada ya kuwahoji mashahidi muhimu wawili Tundu Lisu na dereva? Upelelezi wa nini kilitokea ni Siri is not for public consumption or Lisu consumption but for court consumption.Ulitaka wakupe confidential investigation report kama nani wewe? Wewe mahakama?
Spare your rubbish! from the public. How many public information are public and private are public. Crazy you do not even trust your IGP who declared Lisus case file closed?
Confidential my foot, an attempted assassination of a public leader to be confidential in some ones underpants!!!??? Excuse me!!!
 
Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dodoma, Dkt. Paul Luisilie amesema ziara na mahojiano anayoyafanya Tundu Lissu huko Ulaya na Marekani yatakuwa na athari kubwa katika siasa za Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 na kuna uwezekano wa mataifa makubwa kufanya uamuzi mgumu dhidi ya Tanzania.

Amesema ziara hizo zinaliweka taifa katika wakati mgumu kiuchumi kwa kuwa anazifanya katika nchi zinazotoa misaada kwa Tanzania.

"Mpaka sasa athari za ziara ya Lissu zimeshaanza kuonekana, kwa kuwa mjadala ni mkubwa. Ndani ya CCM kwenyewe wanajadiliana. Hiyo ni impact.

Lissu alishapata huruma kubwa ya wananchi, matusi mengi anayotukanwa yanamjenga. Tumesikia spika akisema watakatisha mshahara wake, huku nako ni kumjenga maana watu wanajadili mshahara huo. Yani hatapata taabu kupigiwa kura kwa kuwa ameshajijenga wakati huu" - Alisema Dkt. Luisilie.

Mhadhiri huyo amesema tayari mitaani watu hasa vijana washaanza kuvutiwa na ujasiri wa Lissu na kutokata tamaa.
Huyo Mhadhiri ni mtaalamu wa anga zipi? Kama hayo ndo anayoyaamini then kuna tatizo vichwani mwa wengi. Hata mwenye Ph.D. anaamini Lissu analeta impact kwetu kupitia Ulaya? Labda sikumuelewa. Je, aliwahi kumusikia mtu aliyeitwa Mtikila? Mtu ambaye aliifanya Dar, wahindi wakataabika kabisa! Hii ni kujiaminisha kwamba Ulaya na amerika wanamuhitaji sana lissu.

Lissu hajulikani ni mtu wa aina gani huko ulaya wamemsikia baada ya kupigwa risasi. Anawezaje kuleta shida kwa wa-TZ? Mhadhiri feki tu, ingawa basi amesikika! Baada ya BBC, VOA sasa anaanza kukutana na wa-TZ mitaani baadaye atakwenda wapi?
 
Nyie wehu msije mkamfukuza kazi ,maana mnaambiwa ya maana mnajifanya hamuelewi .
 
Wewe msomi koko una ushahidi kuwa kitendo kilifanywa na serikali? Unaweza simama mbele ya jopo la wasomi ukaeleza huo ujinga wako kuwa ni serikali ndio ilifanya hicho kitendo? Very sad.Unajua nchi ikiwa na wasomi koko kama wewe ndio maana vigumu kuendelea.Msomi anatakiwa kuongea with verifiable reliable evidence sio hisia za kuhisi kama za Lisu na wewe.Mtangazaji wa BBC hard talk alimkomalia Lisu akasema hilo la kusema serikali imehusika huna legal Wala verifiable evidence.Sasa na wewe unakuja na upupu wako hapa .Msomi koko at work
Ushahidi ni mkubwa hata kama mnaleta chenga chenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom