Hahaha kwani masilingi ana impact gani kwenye uchumi wa nchi hii?! Au ndiye ombaomba mkuu wa nchi yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kujua sababu zinazomfanya kupaniki ni rahisi sana.
Kumbe hawakufanya 'impact analysis' ya jaribio la kuua mtu.... wakati serikali imejaa ma profesa na ma phd hiyo ndo gharama ya kukurupuka katika maamuzi muhimu
Sio kila.mzungu ni mbumbu,wana chambua wanatuma mabalozi wao na njia nyingineMhadhiri wa Chuo kikuu cha Dodoma, Dkt. Paul Luisilie amesema ziara na mahojiano anayoyafanya Tundu Lissu huko Ulaya na Marekani yatakuwa na athari kubwa katika siasa za Tanzania, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2020 na kuna uwezekano wa mataifa makubwa kufanya uamuzi mgumu dhidi ya Tanzania.