Mh. Iddi Azan anafanya biashara gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Iddi Azan anafanya biashara gani?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by JoJiPoJi, Mar 8, 2010.

 1. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,607
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  Langu kwa leo ni kutaka mnisaidie kufahamu, Mh. Iddi Azan mbunge wa Kinondoni anajushughulisha na biashara gani hadi kupelekea kumiliki vitu vingi vya thamani kubwa kama magari ya kifahari sana kuliko mbunge yeyote hapa Tanzania na hadi kulingana na wafanyabiashara wakubwa.
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Mar 8, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  ni mali gani anazomiliki ? hebu weka wazi kwanza ili tuone kipato chake na mali zake haziendani, hii itasaidia kuufanya mjadala kuwa wa wazi zaidi na ambao hautabase kwenye udaku na udakuzi.
   
 3. G

  Gangi Longa Senior Member

  #3
  Mar 8, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 195
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Kha mi najuwaga ati jina lake ni Zungu na sio Kamuzungu?
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Drugs dealer! Alikuwemo kwenye list ya Amina Chifupa (RIP)
   
 5. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,359
  Likes Received: 1,084
  Trophy Points: 280
  Angalie usije ukawa unamchanganya Idd Azan na Mussa Azan 'Zungu' ambaye ni Mbunge wa jimbo la Ilala
   
 6. N

  Nanu JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Idd Azan na Mussa Azan are in anyway related?
   
 7. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #7
  Mar 8, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Masanilo usije kuwa unamzungumzia Zungu, ambae hata mie tetesi za biashara hiyo nimewahi kuisikia juu yake.
  IDD AZAN ni yule wakati fulani alikuwa karibu sana na SIMBA SPORTS CLUB.
   
 8. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wewe ni mpelelezi? Unatafutia nini habari hizi hapa?
   
 9. bona

  bona JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,794
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  this guy is rich trust me, its curious to many to wonder what is he doin to get all that money!
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Majina haya rahisi sana kuyachanganya! naona hapo juu mkuu ulikuwa na maana juu yake !!!!!!!
   
 11. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #11
  Mar 8, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  utajiri ni subjective, mtu wakijijini kwetu ukienda na gari tu, anakwambia wewe ni tajiri sana.
  anamiliki nini
   
 12. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,523
  Likes Received: 808
  Trophy Points: 280
  Magari ya thamani? i bet huzungumzii vile vimkopo vya vx maana kuna akina mkono wanashindana na GM kumaliza models za renjilova.
   
 13. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,515
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  They are blood brothers!!
   
 14. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,851
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Tanzania wako wengi hawana kazi za maana lakini wanatisha kwa kuchezea hela!
  Unaweza jiuliza ndo wachuna ngozi? albino? drugs????
  Hutopata jibu:eek:
   
 15. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,570
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  Apart from Rostam nadhani the second richest mbunge Tanzania ni NDESAMBURO

  Iddi Azan ana pesa za kubadilisha magari na maybe kusafiria Business Class and errm thats it!
   
 16. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,824
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  jina la Zungu - kirefu chake Zungu la Unga? Masanilo unaweza kuwa sahihi - ila list ya Marehemu Amina hatuna - mwenye nayo aimwage hapa jamvini
   
 17. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,824
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Lowassa, Karamagi na Vijicenti hawamo kwenye list yako ya wabunge matajiri Mkuu
   
 18. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #18
  Mar 8, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  already edited
   
 19. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #19
  Mar 8, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  ni kweli , mpaka sasa Ndesamburo aka Ndesa pesa naona yuko nyuma ya RA..............INGAWA HUYU RA utajiri wake unahusishwa na urithi wa baba zake na babu zake katika biashara ya Utumwa na Pembe za ndovu hapa Afrika Mashariki.
   
 20. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Bwimbwi linalipa sana.
  nikupe dili uingie mzigoni??
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...