Mh. Iddi Azan anafanya biashara gani?

Apart from Rostam nadhani the second richest mbunge Tanzania ni NDESAMBURO

Iddi Azan ana pesa za kubadilisha magari na maybe kusafiria Business Class and errm thats it!

G.T. kwani wabunge wote wanaaccount zao NBC mpaka ukawa na uwezo wa kuwafananisha vipato vyao na kuwa authoritative kuwa other than RA, Ndesa is the richest MP?
 
G.T. kwani wabunge wote wanaaccount zao NBC mpaka ukawa na uwezo wa kuwafananisha vipato vyao na kuwa authoritative kuwa other than RA, Ndesa is the richest MP?
Una maana GT ana access ya account informations za wateja wa NBC?
 
Nimrod Mkono ni Wakili wa kujitegemea na anamiliki kampuni kubwa kuliko zote za uwakili hapa Tanzania. Pia kampuni yake ina ubia na kampuni moja ya uwakili ya Uingereza kitu kinachomwongezea wigo wa kibiashara.

Pia Nimrod Mkono ni mmoja wa waanzilishi na wamiliki wa Bank M. Kuna wakati vyanzo visivyo rasmi sana vya habari viliwahi kubainisha kwamba ana NET WORTH ya USD 55m.

Unaweza kuniambia Ndesa anamiliki nyumba zipi/apartments/hotels zipi na kukadiria ukubwa wa biashara zake?

Mkuu inaweza kuthibitisha hili kuwa ana Net Worth $55M labda kwenye riwaya ya kusadidkika
Hiyo benki yenyewe wamachanga na kila mtu anajua kuwa start us capital ya benki in $5 million
Angalia share holder wenzake wote ni wezi walio kubuhu kama Jitu patel na wengineo
Hana lolote zaidi ya over payment ya BOT
 
tupo nje ya mada, nadhani kuna haya ya kuwafungulia nyuzi yao NDESA NA RA, lakini kwa sasa nadhani ingekuwa busara za mwenye data za mbunge wa kinondoni haziweke, hii itatusaidia pia kujua huyu mbunge wetu ana shughuli gani halali au ndio wanaotuulia vijana wetu na unga hapio maeneo ya magomeni na kinondoni?
 
thanks wadau kw mchango wenu
mchango upi JOJIPOJI ?
Tumebaki kwenye imagination, tukihitaji ufafanuzi wako yakinifu juu ya mali gani alizo nazo IDD AZAN, ambazo zinakutia shaka kuwa huenda kwa kipato chake hawezi kumiliki >? naamini kuna kiti unakijua.
 
kwahiyo joji kashindwa kutuambia ukweli wa kile ambacho anakiona kama ni kitu aghari sana kati ya vile ambavyo mh. Azani anamiliki.
 
Wote wezi tuu,nanyi mnaowashabikia nanyi wezi vilevile!Kuna watu wangapi TZ wanalala na njaa alafu eti unamsifia Mkono,Ndesa,Azan eti matajiri!Utajiri wao unatunufaisha nini waTz?
 
Back
Top Bottom