Mh. Iddi Azan anafanya biashara gani?

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,906
3,249
Langu kwa leo ni kutaka mnisaidie kufahamu, Mh. Iddi Azan mbunge wa Kinondoni anajushughulisha na biashara gani hadi kupelekea kumiliki vitu vingi vya thamani kubwa kama magari ya kifahari sana kuliko mbunge yeyote hapa Tanzania na hadi kulingana na wafanyabiashara wakubwa.
 
Tanzania wako wengi hawana kazi za maana lakini wanatisha kwa kuchezea hela!
Unaweza jiuliza ndo wachuna ngozi? albino? drugs????
Hutopata jibu:eek:
 
Apart from Rostam nadhani the second richest mbunge Tanzania ni NDESAMBURO

Iddi Azan ana pesa za kubadilisha magari na maybe kusafiria Business Class and errm thats it!

Lowassa, Karamagi na Vijicenti hawamo kwenye list yako ya wabunge matajiri Mkuu
 
Apart from Rostam nadhani the second richest mbunge Tanzania ni NDESAMBURO

Iddi Azan ana pesa za kubadilisha magari na maybe kusafiria Business Class and errm thats it!
ni kweli , mpaka sasa Ndesamburo aka Ndesa pesa naona yuko nyuma ya RA..............INGAWA HUYU RA utajiri wake unahusishwa na urithi wa baba zake na babu zake katika biashara ya Utumwa na Pembe za ndovu hapa Afrika Mashariki.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom