JoJiPoJi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2009
- 2,907
- 3,261
Langu kwa leo ni kutaka mnisaidie kufahamu, Mh. Iddi Azan mbunge wa Kinondoni anajushughulisha na biashara gani hadi kupelekea kumiliki vitu vingi vya thamani kubwa kama magari ya kifahari sana kuliko mbunge yeyote hapa Tanzania na hadi kulingana na wafanyabiashara wakubwa.