Mgomo wa madaktari - Updates

Mgomo wa madaktari - Updates

Raisi Kikwete kuhutubia taifa kesho saa 10;00(09/03/2012) kupitia kile kilichoitwa kuongea na wazee wa Dar es salaam

source;Channel ten taarifa ya habari saa 1;00
 
ivi kikwetee anataka kuwatisha madaktari kama alivyowafanyia walimu au? teh teh i dont think whether it will work. afu msishangae kesho kwenye hotuba asigusie mgomo kwa alivyo mbumbumbumbu. haya bosi sema neno watanzania wanakusikiliza
 
Madaktari msijione kuwa nyie mmesoma sana kuliko wengine au fani yenu ni ya muhimu sana kuliko zingine. Fani zote ni muhimu kulingangana na mahitaji ya muda huo. Msitake kuiyumbisha nchi. Tumieni uzalendo kwa Taifa lenu!
 
Tatizo si madaktari wala mawaziri bali ni mkuu wao, kwani kujiuzulu kunahitaji kibali au?
 
Madaktari msijione kuwa nyie mmesoma sana kuliko wengine au fani yenu ni ya muhimu sana kuliko zingine. Fani zote ni muhimu kulingangana na mahitaji ya muda huo. Msitake kuiyumbisha nchi. Tumieni uzalendo kwa Taifa lenu!

Nina wasiwasi na IQ yako Kijana
 
Madaktari msijione kuwa nyie mmesoma sana kuliko wengine au fani yenu ni ya muhimu sana kuliko zingine. Fani zote ni muhimu kulingangana na mahitaji ya muda huo. Msitake kuiyumbisha nchi. Tumieni uzalendo kwa Taifa lenu!

Je Mhoja unafikiri mchango wako katika thread hii unaweza kusaidia kutatua shida ya mgomo wa madaktari?? Tunahitaji watu wanaoweza kuleta mawazo yanayotupeleka katika solution. So are you part of the solution or part of the problem? Ask yourself.
 
mnaoshangilia mgomo nashindwa kuelewa akili zenu zinzfikri kwa kutumia nini? au na nyie mnatibiwa India watu wanakufa acheni ujinga wenu.naomba gomeni kwa awamu walau au tafuteni njia nyingine au mmetumwa na wanasiasa uchwara mtuuwe watu wa hali ya chini ili wauze madini yetu vizuri
 
uongozi wa kimila wa miaka ya nyuma ulifankiwa kutatua matatizo (ya mipaka ya ardhi, ya koo na koo, ya viongozi na jamii nk) kwa wananchi wake; serikali yetu ya sasa a.k.a siasa inachangia migogoro hadi kufikia hatua ya watz kupoteza maisha mfano mzuri ni huu mgogoro wa sasa baina madaktari na serikali.

lazima ifike mahali serikali hii inayojiita sikivu iwe sikivu na sio kujiita bila kutekelza.

yani inafika mahali viongozi wa serikali wanatumia ofisi za umma kama za kwao binafsi, wanadharau raia, wanawakebehi; they care nothing! Bull shit!!! They better go to hell...
 
Haya Walimu na Chama chenu cha walimu "Watch & learn"...
 
Madaktari msijione kuwa nyie mmesoma sana kuliko wengine au fani yenu ni ya muhimu sana kuliko zingine. Fani zote ni muhimu kulingangana na mahitaji ya muda huo. Msitake kuiyumbisha nchi. Tumieni uzalendo kwa Taifa lenu!

Mkuu sasa wewe Mkoroga Zege unataka kufananisha fani yako na Madaktari! Anyway tunakubali fani yako ni muhimu nyakati za ukandarasi!
 
If by Madini you mean Dhahabu Almasi na Tanzanite you dont know what you say.
How many Watu wa Chini you want them to die before you realise that CCM Goverment has evil plan to kill your body and soul??
People are dying from eating imported contaminated and expired foods.
People are dying from taking Fake medicines damped in our country by hooligans which have contract with CCM and their Government to kill Tanzanians while they get rich quickly.
People are dying because of low income and sky rocketing prices of food and other important services and goods.

OPEN YOUR EYES MY FELLOW COUNTRYMEN!!!!

As we talk and write CCM government has allowed multinational Corporation to swindle our Madini under their supervision.
They are paid a one time Fungu worth SHANGA ZA VIUNO VYA WAKE ZAO to supervise these Thugs to steal,rape our land and kill PIPO as they wish.

NEVER EVER THINK THEY ARE WAITING FOR YOU TO DIE SO THEY WILL HANDOVER THIS COUNTRY BACK TO SLAVERY, THEY ARE DOING IT RIGHT NOW AND YOU ARE SUPPORTING THEM WITH ALL YOUR HEART AND STRENGTH UNKNOWINGLY.

Washatuchukua MSUKULE siku nyingi, TUAMKE kabla Hawajaanza kutukata NDIMI a POINT OF NO RETURN.

mnaoshangilia mgomo nashindwa kuelewa akili zenu zinzfikri kwa kutumia nini? au na nyie mnatibiwa India watu wanakufa acheni ujinga wenu.naomba gomeni kwa awamu walau au tafuteni njia nyingine au mmetumwa na wanasiasa uchwara mtuuwe watu wa hali ya chini ili wauze madini yetu vizuri
 
Drs' hawawezi kuwa mbuzi wa kafara kwa serikali kulinda maslahi ya watu wawili tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Vifo vyote vilivyotokea na vinavyotokea sasa hivi wa kulaumiwa ni Serikali ambayo ina jukumu la kulinda maisha ya wananchi wake. Anayesema madaktari wauliwe ni taahira hajui asemacho.
 
mnaoshangilia mgomo nashindwa kuelewa akili zenu zinzfikri kwa kutumia nini? au na nyie mnatibiwa India watu wanakufa acheni ujinga wenu.naomba gomeni kwa awamu walau au tafuteni njia nyingine au mmetumwa na wanasiasa uchwara mtuuwe watu wa hali ya chini ili wauze madini yetu vizuri
nakubaliana na wewe mkuu, lakini hii selikali iliyoparaganyika kama kinyesi cha mbuzi, inasikia lugha gan zaidi ya migomo? Wanyonge acheni tufe kama kafara ya kiti cha Mponda na Nkya!
 
Hapo ndipo ninaposhangaa...nchi inaendeshwa kienyeji-enyeji, kijinga-jinga, kiusanii-sanii, kiwizi-wizi...na katika yote hayo ni wananchi ndio wanaolipia gharama kwa kutaabika. Nchi nzima tunajua hilo, tunalilalamikia kila siku/saa/dakika/sekunde...angalia vyombo vya habari vyote ikiwemo mtandaoni! Tunapiga-piga kelele tu...tumeshashushuliwa kelele za mlango (wananchi) hazimnyimi usingizi mwenye nyumba (wenyenchi), bado tu tupo-tupo kama mazuzu!

Leo hii madaktari wametuonyesha ya kuaddress sensitive issues kwa serikali hii 'kiziwi' na 'pofu'...na kwa kubanwa huko serikali inaanza angalau kusikia na kuona....watu wanaona wivu na kuwabeza! Eti kwa nini maDaktari!? waTanzania mnataka nini!? Kama mnamsubiri 'mesiya' aje kuondoa kilio chenu sisi waKwere tunasema 'kalagha baho', endeleeni kusubiri!

Sisi wa-mjini tunasema "Imekula kwao"
 
Kuna mtu aliandika kwenye blog ya michuzi kwamba mwajiriwa hawezi na hana haki ya kumlazimisha mwajiri amfukuze mwajiriwa mwenzake. kama hivyo ndivyo madaktari wanapata wapi hiyo nguvu ya kumlazimisha mwajiri atende kinyume na sheria za ajira?
 
Hivi hoja ya madakitari ni kumfukuza waziri na daktari mkuu na naibu waziri, au hoja imegeuzwa ili ionekane haina nguvu sana! Nadhani kuna mambo ya msingi kuliko kuwafukuza hawa watu.
 
Back
Top Bottom