Ni upuuzi kumpa masharti rais.
Mpuuzi ni yule anayechelea kumwelekeza nini cha kufanya mtu aliyemwajiri! Au hujui raisi ni mwajiriwa wa watanzania?
Ni upuuzi kumpa masharti rais.
Madaktari Hatuna haja tena na Waziri mkuu! Kikwete aje kuongea na madaktari
Hivi kati ya Pinda na Dk Mponda na Dk Nkya nani anastahili kujiuzulu?
Baba Mwanaasha !
Rev Masanilo. acha kuchafua mijadala.
Hivi kati ya Pinda na Dk Mponda na Dk Nkya nani anastahili kujiuzulu?
...kuunganisha suala la kugoma na kujiuzulu kwa Mawziri ni UKILAZA USIO NA KIFANI.............. [/QUOTE] Kwa hiyo wewe una akili nyingi kuliko madaktari wakiwekwa pamoja? Usilolijuwa ni sawa na usiku wa giza. Ina maana hata kama wewe ungekuwa kwenye nafasi ya Mponda ungegoma kujiuzuru kwa kuwa huoni mantiki?
Name calling!
Na hao watakaokufa kwa kugoma kwako uletewe watoto wao?
natoa pongezi kwa serikali yetu ilivyojipanga kupambana na mgomo wa madaktari kwa kuwaajiza warusi,waquba na wahindi huziba pengo habari za ndani ya carpet wapo kwenye maandalizi ya mwisho kesho kutwa wanawasili hongera mh.pinda kwa ulivyojipanga.:A S 465:Wewe mwenyewe si uwa unajisema..Kuna post yako kule jukwaa la malalamiko umejiita hivyo.
Ni upuuzi kumpa masharti rais.
Mkuu kwa hiyo wewe unataka mawaziri wajiuzuru kwa sababu madaktari wenye akili saana wametaka hivyo?.. Kwa nini wewe mwananchi mwajiri wa hawa wote usitake kujua hao mawaziri wamekosea nini kikubwa hadi ifikie wajiuzuru?Kwa hiyo wewe una akili nyingi kuliko madaktari wakiwekwa pamoja? Usilolijuwa ni sawa na usiku wa giza. Ina maana hata kama wewe ungekuwa kwenye nafasi ya Mponda ungegoma kujiuzuru kwa kuwa huoni mantiki?
Rev Masanilo. acha kuchafua mijadala.
Kama mnadai wana dhambi ni lazima dhambi zenyewe zitajwe.. Huyo mkurugenzi wa IMF kajiuzuru kwa sababu zake mwenyewe, hata wewe ukiwa mgonjwa unaweza jiuzuru kazi lakini sii kwa tuhuma za wizi au kumbaka mtu..kwani kujiuzulu kwa hawa mawaziri ni dhambi au ni aibu ? Mbona ni jambo la kawaida jamani. Kama vile alivyojiuzulu mkurugunzi wa IMF japo hakuwa na kosa lolote. Jamani watanzani hasa mliopo kwenye ngazi ya juu embu kuweni na utamaduni wa kuwajibika