Mgomo wa madaktari - Updates

Mgomo wa madaktari - Updates

Rais hana matatizo yoyote madaktari wakigoma. Anayo arsenal kubwa ya silaha kutumia dhidi ya madaktari. Tatizo hapa ni kuamua tu jambo ambalo linaweza kuwa satisfactory for every one.
Na wale it seems they have had the good sense kwenda Ukumbi wa Utamaduni wa Russia. Wangekuwa Arnatouglo hall,Rais angepeleka vifaru kuwazingira.
Kumbuka ile Fukoshima Nuclear disaster ya mwaka jana Japan. Radiation ilikuwa imezidi katika reactor,there was even talk of evacuating Tokyo. Lakini Waziri Mkuu akaamuru wale scientists waingie ndani ya zile reactor to stabilize the situation. Na sasa wale watu wanaitwa the 50 Fukoshima heroes. Waliitikia wito wa Waziri Mku in the Kamikaze tradition of Japan. Hata hivyo Waziri Mkuu wa Japan baadaye ilibidi ajiuzulu.
Muhimu hapa ni kwamba madaktari warudi kazini kwa moyo wa Uzalendo,halafu baadaye Ndugu Rais atoe tamko kuhusu hao Mawaziri,anatak wajiuzulu au vipi.
 
We did that....in February 9th, remember!? Kulikuwa na mwezi mzima kwa serikali kutoa tamko kuhusu Waziri wa Afya na Naibu zake...kama wangekuwa na nia ya dhati!
 
Sisi wananchi tumeshakubali tufe kwa ajili ndugu zetu madaktari hawampendi waziri wa afya na naibu wake. Tunaomba muendelee na moyo huo wa kikatili.
 
JK twenzetu Brazil tukacheze samba sie, wacha wagome, haituhusu!! sie wakwere bwana zetu ngoma!1!
 
Hilo litakuwa ni dai jipya ambalo wewe ndio umeliongezea...madai yetu yako clear, na mpaka sasa unayafahamu!

Kiburi, jeuri, ukatili na usaliti kwa wananchi (wakiwemo maDaktari) walianza serikali wenyewe, na ndio maana leo tumefikia hapa...wewe kama Freema ulichonga chochote kuhusu mapungufu hayo ya serikali? au serikali inaweza fanya hayo..ila kwa maDaktari ni nongwa?!

Tangu mwanzo wa mgomo serikali pamoja na wananchi malimbukeni kama wewe mnaongelea kuhusu wajibu wa maDaktari tu kwa wananchi..na kwa serikali....nini wajibu wa mwananchi kwa Daktari wake? nini wajibu wa serikali kwa maDaktari wake? wewe kama mwananchi unadai niwajibike kwako, wewe umetimiza wajibu wako kwangu? serikali imetizimiza wajibu wake kwangu? kama kuua hata serikali ni wauwaji kwa kutotimiza wajibu wao, na wananchi pia ni wauaji kwa kutotimiza wajibu wao..

Pengine wananchi wenyewe wangedai maboresho ya huduma za afya wanazotoa maDaktari ikiwemu vifaa, madawa na mazingira bora ya kazi labda mimi kama Daktari nisingehitaji kugoma! Sasa kila kitu shaghala baghala, na tatizo linaonekana dhahiri wapi lilipo, au nani anazuia mchakato wa maboresho...maDaktari wanagoma kwa benefit ya wote wewe unawabeza na kuwaita majina ya ajabu! Wewe mpata huduma mwenyewe ndio unakuwa wa kwanza kunikatisha tamaa kukupa huduma bora ninazoamini unastahili..sababu tu ya ushabiki wa kipuuzi!

Kama hutaki kurudi meza ya mazungumzo hadi waziri ajiuzulu, ina maana unataka mazungumzo bila waziri (common sense ni kwamba waziri hafanyi maamuzi binafsi, kuna kanuni, taratibu na maelezo mengine ambayo inabidi ayafuate wakati anafanya kazi- na hii inaaply kwa mfanyakazi mwingine yeyote). Kwa hiyo basi, Waziri akijiuzulu, au akaondolewa kwenye nafasi hiyo na Rais, basi lazima hiyo nafasi izibwe na waziri mwingine - ambaye atafanya kazi kwa kanuni, taratibu, sheria na maelekezo yale yale ambayo waziri msiyemtaka amekuwa akifanya kazi kwayo. Kumkataa waziri sio suluhisho la matatizo yeni, na hilo mnalijua fika.

Impliation ya madai ya kuondolewa waziri ili mkae meza ya mazungumzo ni kuwa hamtaki kuongozwa, mnataka mjiongoze ili mhakikishe mnapata vifaa, mazingira, posho, mishahara na stahiki zenu kadri mnavyopenda na mnavyoona inawasuit. Ingekuwa vinginevyo mngerudi meza ya mazungumzo (unless matakwa yenu mnayalazimisha kama vile sekta ya afya ndo muhimu kuliko sekta ya elimu, maji, kilimo nk ambao mnadhani wao hawana matakwa kama mliyonayo).

Wananchi malimbukeni kama mimi tunaona haina haja ya kuwa na madaktari wanaotaka kuua kwa maslahi yao binafsi badala ya kufa wao kwa ajili ya maslahi ya wengi. Mnastahili kuwajibishwa na nadhani mwenye mamlaka anachelewa sana kuwawajibisha.
 
Hoja zako hazina nguvu. Wanachi wamekwisha kutimizia wajibu wao kwa kukusomesha kupitia kodi zao. Bila wananchi kutimiza wajibu huo usingekuwa hapo ulipo. Unapaswa kushukuru kwa hilo kwanza. Kwa upande wa serikali, kama kuna mahali seikali yako haikukufanyia vizuri haikuhalalishii wewe kufanya kosa. Makosa mawili hayafanyi jambo kuwa sahihi. Usijenge hoja kwa kuiga kosa la mtu mwingine.

Jambo muhimu kwa pande zote kujua kanuni za majadaliano ( negotiations) Majadiliano yaweza kuwa '' hardball'' ya ushindani au '' corperative' akushirikiana. Hardball hutumika kama watu wanaojadiliana hawatahusiana kwa mara nyingine na corperative kwa wale ambao mahusiano yao niendelevu

Uhusiano wa madaktari na Serikali ni endelevu hivyo majadilino yanayofaa ni ya kushirikina ili kutatua tatizo lililopo.

Jambo lingine muhimu ni matumizi ya nguvu (powers) ambazo pande zote zinazo na jinsi ya kuzitumia. Matumizi mabaya ya nguvu yanaweza kuchelewesha kufikia mwafaka au kuharibu kabisa mwenenendo mzima wa majadiliano. soma zaidi http://web.cba.neu.edu. Madaktari na serikali kwa wakti tofauti mmetumia vitisho jambo limetufikisha hapa.
 
Wapi EL?

Naona mgomo wa madaktari umempa Mshikaji ahueni kidogo, ngoja asikilizie hali yake huko German.

tehe tehe tehe:wink2:
 
Madakatari (hasa wale viongozi wa chama) hawako na busara. Kwani kuwepo kwa waziri na naibu wake kuna leta athari gani katika mazungumzo? Je wanajua huyo waziri kesho anaweza kuteuliwa kuwa waziri mkuu (na bunge likampitisha).
Kama kweli wanataka kusafisha wizara , watoe list ya wafanyakazi wote kwenye wizara na Tanzania kwa ujumla ili wote tuwatoe. Tusifanye kazi kwa vipandevipande.
Msilaumu serikali , jilaumu na nyini wenyewe. Mngeendelea na mazungumzo (under protest) na watu wange sympathise na nyini.
Wont be surprised kusikia kuwa posts vacant by kesho asubhui kwa wale ambao hawajafika kazini leo na reinstatement ikiwa na clauses kibao na masharti ya kazi mapya.
 
Hawa madaktari wamelewa sifa baada ya kuwaunga mkono kwenye mgomo wao wa kwanza, wamekuwa juu ya haki ya maisha hasa baada ya kuingiza mambo yaliyo nje na matakwa yao kwenye mgomo wao. Wamelewa sifa na wawajibike, they have to be responsible for their actions.

Kuna fani muhimu zaidi ya udaktari i.e bila walimu (kama nao wangeamua kugoma uso kikomo) wengi wao wasingekuwa madaktari hivi leo.

Madai ya msingi ya madaktari ni halali kabisaa.
  1. Ukosefu wa vitendea kazi
  2. Mazingira magumu ya kazi (na ya kujifunza - kwa Ma-Interns)
  3. Mishahara/posho ndogo

Tatizo la madaktari waliopo mafunzoni kutolipwa posho zao lilikuwa uzembe wa watendaji wakuu wa wizara ya afya, ambao tayari wameshawajibishwa (Katibu Mkuu - Mama Blandina Nyoni na Mganga Mkuu - Dr Deo Mtasiwa). Baada ya hapo serikali ilikubali kuwa na mazungumzo na madaktari kuhusu matatizo mengine yaliyotolewa na madaktari; vikao kadhaa tayari vimefanyika na bado mazungumzo yalikuwa hayajasitishwa.

Suala la MAT kudai kuwa viongozi wa kisiasa wa wizara wafukuzwe au wajiuzulu, vinginevyo madaktari wataendelea na mgomo ni dhana ambayo haikufanyiwa "homework" vizuri.
  1. Wizara ya afya siyo kwa ajili ya madaktari tu (Kuna madaktari (MD), Manesi, Wafamasia, Wataalamu wa maabara, wataalamu wa mama cheza (physiotherapists), Optometrists na wengine wengi tu. Sijui kama madai ya kutaka Waziri na Naibu wake wafukuzwe ni madai yanayowakilisha taaluma nyingine za tiba!
  2. Waziri na Naibu wake ni viongozi wa kisiasa kwenye wizara; kwa maana nyingine ni wawakilishi wa Rais kwenye wizara, na jukumu lao kubwa ni kusimamia utekelezaji wa sera SIYO UTENDAJI. CEO wa wizara ni Katibu Mkuu.Kudai mawaziri hawa wafukuzwe ni kumwamuru Rais afanye mabadiliko ya Cabinet!
  3. MAT siyo chama cha kutetea "Labour related issues" za madaktari. MAT ni NGO kama ilivyoainishwa kwenye tovuti yao kuwa
  4. Hili suala la mawaziri mbona halikuwa kwenye madai ya mwanzo?
  5. Duniani kote kuna taratibu za kuitisha migomo, ikiwa ni pamoja na kutoa notice ya siku kadhaa (siyo siku 4) na kuhusisha "trade union" inayowakilisha wafanyakazi hao. Je, MAT walifanya hivyo?

Ombi langu kwa madaktari wanaogoma: Jamani mwogopeni Mungu; waoneeni huruma maskini wagonjwa. madai yenu ya msingi ni halali kabisaa, lakini hili la mawaziri liangalieni upya. Rejeeni kwenye mazungumzo na serikali.
 
WAZUNGU WASEMAVYO JUU YA KIKWETE/VIONGOZI WA TANZANIA
Ni baadhi tu ya maoni katika habari iliyochapishwa kwenye gazeti la The Guardian, la Uingereza, yenye kichwa cha habari, "Davos 2012: All the developments from day two of the summit".
RichardBrunwick
26 January 2012 2:33PM
Tanzania's Kikwete is one of the most pathetic African leaders of our times. He is a peacetime leader for a country known to be one of the richest in the world in terms of natural resources, yet he leades the world with begging. Foreign companies have known Tanzania to be a free land in which you can go in and take all you can without being asked a question. I really don't get the mind set of its leaders especially their prsident Mr. Kikwete, a Muzungu worshiper. Having worked with the UNDP in that country for 8 years, I realized how inneficient and corrupt the country's leadership is. His ministers that requested bribes from BAE have never been tried despite the damning evidence against them. British TAX payers must stop funding this man's corruptin and foreign trips. His human rights record is horrible. Mr. Kikwete had no business of going to Davos to ask for foreign aid. Already his country is the world third leading foreign Aid dependant nation. He should be embarassed to say to the world that people are poor. His people living "hand to mouth " is his own is own ignorance and stupidity.That is hiw own problem, Brits are having their own problems he must realize that. We cant bankroll his foreign trips. He should make good use of his country's wealth. Instead of letting his corrupt officials and foreigners loot his country, he needs to think before letting himself be a global loughing stock. I read in one of the regional (kenyan) publication the mockery nature related to his frequent foreign trips. Palestinian, Haiti, Lebanon, Somalia and even Rwanda economies are more robust that of Tanzania. We must question the nations that welcomes this "Joker's" request for AID. He needs to be on a "no-fly" list so he can be serious. Hopefully the billionaires questions what he has done with the Money he has received for decades. The Arab spring should turn into the African summer and get rid of the Kikwete likes(Latest US news, world news, sport and comment from the Guardian | guardiannews.com | The Guardian discussion/comment-permalink/ 14344505)
LindaCroucher
26 January 2012 3:50PM
Response to RichardBrunwick, 26 January 2012 2:33PM
This man did not deserve to be a head of state. He has no credibility. How can a head of state be bribed suits? We must write Downing Street and our parliament, and let them know that Aid to some of these african countries ought to STOP. nyerere the founding president of tanzania was a visionary even though his socialist policies failed, but he was a nationalist and a true patriot.Kenya, Rwanda, Ghana have seen far and are on the roll to economic dependence. Kikwete, and his chrony of rulling elites getting richer and richer. These people have no electricity yet the country has so many dams and rivers. There should be a policy to bar all corrupt leaders and their children from stepping into the EU.I dont blame Kikwete, i blame Tanzaians for letting this happen. They should be 100% responsible for their poverty and suffering. We just dont need them to come for Aid. We have many Brits out of work, and that money should pay for their Unemployment Benefit(Latest US news, world news, sport and comment from the Guardian | guardiannews.com | The Guardian discussion/comment-permalink/ 14346120)
LindaCroucher
26 January 2012 4:01PM
African problem is more than foreign aid. They are not ready for economic transformation. In Tanznaia today, they have started the leadership inheritance in which the old guards passess on the torch to their children. we should not expect anything serious from African nations. If it means our money, lets cut it off. We have so many social problems to deal with people's own created miserybecause they will never have free elections without someone stffing ballot boxes and ready to let the whole country in flames as long as they remain in power and their children in top american and british schools(Latest US news, world news, sport and comment from the Guardian | guardiannews.com | The Guardian discussion/comment-permalink/ 14346365)
Ukitaka kujibu maoni hayo na/au kusoma mengine, bofya hapa ufuate ukurasa husika katika The Guardian
 
Kama hutaki kurudi meza ya mazungumzo hadi waziri ajiuzulu, ina maana unataka mazungumzo bila waziri (common sense ni kwamba waziri hafanyi maamuzi binafsi, kuna kanuni, taratibu na maelezo mengine ambayo inabidi ayafuate wakati anafanya kazi- na hii inaaply kwa mfanyakazi mwingine yeyote). Kwa hiyo basi, Waziri akijiuzulu, au akaondolewa kwenye nafasi hiyo na Rais, basi lazima hiyo nafasi izibwe na waziri mwingine - ambaye atafanya kazi kwa kanuni, taratibu, sheria na maelekezo yale yale ambayo waziri msiyemtaka amekuwa akifanya kazi kwayo. Kumkataa waziri sio suluhisho la matatizo yeni, na hilo mnalijua fika.

Impliation ya madai ya kuondolewa waziri ili mkae meza ya mazungumzo ni kuwa hamtaki kuongozwa, mnataka mjiongoze ili mhakikishe mnapata vifaa, mazingira, posho, mishahara na stahiki zenu kadri mnavyopenda na mnavyoona inawasuit. Ingekuwa vinginevyo mngerudi meza ya mazungumzo (unless matakwa yenu mnayalazimisha kama vile sekta ya afya ndo muhimu kuliko sekta ya elimu, maji, kilimo nk ambao mnadhani wao hawana matakwa kama mliyonayo).

Wananchi malimbukeni kama mimi tunaona haina haja ya kuwa na madaktari wanaotaka kuua kwa maslahi yao binafsi badala ya kufa wao kwa ajili ya maslahi ya wengi. Mnastahili kuwajibishwa na nadhani mwenye mamlaka anachelewa sana kuwawajibisha.

Wewe unaupeo mdogo sana ..hebu jaribu kufanya test za IQ humu ..ujue IQ yako ..it is free..its good to know where ypu stand.
Wapo wanaotaka madaktari warudi kazini na wanatoa hoja nzuri tu zinazojadilika ila ww unaonekana hujui CHOCHOTE I cant even point out umekosea nini hapa maana vyote unavyoandika unakosea you know nothing about leadership-plan-policy-implementetion
 
Kwa hiyo ndio maana madaktari wamegoma... kutokana na maoni ya wasomaji wa The Guardian UK, ambao, by the way, wanaweza kuwa ni watanzania waliopo bongo! Unachohitaji ku-register kwenye tovuti na kuandika unachopenda, regardless of where you are!
 
Wewe unaupeo mdogo sana ..hebu jaribu kufanya test za IQ humu ..ujue IQ yako ..it is free..its good to know where ypu stand.
Wapo wanaotaka madaktari warudi kazini na wanatoa hoja nzuri tu zinazojadilika ila ww unaonekana hujui CHOCHOTE I cant even point out umekosea nini hapa maana vyote unavyoandika unakosea you know nothing about leadership-plan-policy-implementetion

Nitafanyaje IQ test wakati wewe mwenye IQ kubwa (hujataja namba) umeshasema nina IQ ndogo.

Narudia mgomo wenu ni batili, haramu kwa vile mmeweka prirority issue ya kujiuzulu waziri na naibu wake.
 
Madakatari (hasa wale viongozi wa chama) hawako na busara. Kwani kuwepo kwa waziri na naibu wake kuna leta athari gani katika mazungumzo? Je wanajua huyo waziri kesho anaweza kuteuliwa kuwa waziri mkuu (na bunge likampitisha).
Kama kweli wanataka kusafisha wizara , watoe list ya wafanyakazi wote kwenye wizara na Tanzania kwa ujumla ili wote tuwatoe. Tusifanye kazi kwa vipandevipande.
Msilaumu serikali , jilaumu na nyini wenyewe. Mngeendelea na mazungumzo (under protest) na watu wange sympathise na nyini.
Wont be surprised kusikia kuwa posts vacant by kesho asubhui kwa wale ambao hawajafika kazini leo na reinstatement ikiwa na clauses kibao na masharti ya kazi mapya.

Hujui unauliza part ya kiongozi kwa wafanyakazi au unataka kubadili muundo na sera....ahahaaaaaaaa yaani ashindwe kujenga ya ghorofa moja apewe mradi wa ghorofa mia..inawezekana TZ tu sikukataliaa
 
Nitafanyaje IQ test wakati wewe mwenye IQ kubwa (hujataja namba) umeshasema nina IQ ndogo.

Narudia mgomo wenu ni batili, haramu kwa vile mmeweka prirority issue ya kujiuzulu waziri na naibu wake.

Kwa Tanzania unaweza ku mention mgomo ulio wahi kuwa halali kisheria? Kama unapenda kujisome tafuta employment &labor relaship Act 2001 ...angalia mpaka ugome nia hatua ngapi unatakiwa upite hadi kugoma ..kisha jibu Why is not possible to practice lawful strike in TZ.
You are far way to the dark ..unajadili uhalali wa kugoma na wengine wanajadili kifanywe nn mgomo uishe poor freema!!
 
Kwenu Serikali,

Narudia tena hakuna kuwakubalia madaktari masharti yao kwani ni wabinafsi, na ufisadi. Haiwezekani sekta moja ya afya ikawa inashinikiza kulipwa mamilioni wakati kuna sekta nyengine pia zina umuhimu sawa na ya afya. Ikiwa mtawakubalia basi mjiandae na sekta nyengine ziko njiani kuwatoa majasho sasa sijui kama nchi itatawalika kwa namna hivyo. Kitendo wanachokifanya madaktari ni uhaini na ingelikuwa enzi za baba wa taifa washaswekwa ndani kabisa. It is against their medical ethics standards ila kwa kuwa Tanzania ni nchi inayofahamika hakuna anayefuata sheria basi kila mtu anajifanyia analolitaka.

Ushauri wangu kwa serikali jitoeni kuwalipia madaktari na manesi badala yake mhudumie wagonjwa. Nilishawahi kulishauri hilo miaka mitatu nyuma nikasema nchi za ulaya hakuna system hii ya kuwalipa mishahara madaktari. US na Europe serikali zinahudumia walipa kodi na sio madaktari. Madaktari wanalipwa kwa mujibu market inavyowatathmini. System ya serikali kuwalipa madaktari iko Africa tu na matokeo ni haya tunayaona wanajiona wao ni muhimu na arrogance zinawajaa. Wakitaka wajiajiri kwenye soko huria wakione cha moto kilivyo huko katika soko huria. Serikali ijitoe katika hili suala ibakiwe na madaktari wachache ambao watakuwa wanafanya kazi kwenye hospitali kuu za nchi basi wengine wote wakaajiriwe katika soko huria. Hapo mtaondokana na mzigo mkubwa usio na msingi.

Cha msingi simamisheni ajira zao waajiriwe upya na mkataba mpya watakaojaza nafasi hizo za hospitali kuu basi wengine watimueni wakajiajiri wenyewe huko mtaani. Ni mzigo mkubwa usio na msingi ambao unatafuna kodi yangu na mimi kama mlipa kodi sitakubali hilo jambo.
 
This country is heading toward a big crisis. If the lives of people are at this big mess, and our leaders can not do anything then we need a help from above. Lets pray that God may intervene
 
Kwa Tanzania unaweza ku mention mgomo ulio wahi kuwa halali kisheria? Kama unapenda kujisome tafuta employment &labor relaship Act 2001 ...angalia mpaka ugome nia hatua ngapi unatakiwa upite hadi kugoma ..kisha jibu Why is not possible to practice lawful strike in TZ.
You are far way to the dark ..unajadili uhalali wa kugoma na wengine wanajadili kifanywe nn mgomo uishe poor freema!!

Hoja hujibiwa kwa hoja na si rejea tu. Any way sio kosa lako.
 
Kama hutaki kurudi meza ya mazungumzo hadi waziri ajiuzulu, ina maana unataka mazungumzo bila waziri (common sense ni kwamba waziri hafanyi maamuzi binafsi, kuna kanuni, taratibu na maelezo mengine ambayo inabidi ayafuate wakati anafanya kazi- na hii inaaply kwa mfanyakazi mwingine yeyote). Kwa hiyo basi, Waziri akijiuzulu, au akaondolewa kwenye nafasi hiyo na Rais, basi lazima hiyo nafasi izibwe na waziri mwingine - ambaye atafanya kazi kwa kanuni, taratibu, sheria na maelekezo yale yale ambayo waziri msiyemtaka amekuwa akifanya kazi kwayo. Kumkataa waziri sio suluhisho la matatizo yeni, na hilo mnalijua fika.

Impliation ya madai ya kuondolewa waziri ili mkae meza ya mazungumzo ni kuwa hamtaki kuongozwa, mnataka mjiongoze ili mhakikishe mnapata vifaa, mazingira, posho, mishahara na stahiki zenu kadri mnavyopenda na mnavyoona inawasuit. Ingekuwa vinginevyo mngerudi meza ya mazungumzo (unless matakwa yenu mnayalazimisha kama vile sekta ya afya ndo muhimu kuliko sekta ya elimu, maji, kilimo nk ambao mnadhani wao hawana matakwa kama mliyonayo).

Wananchi malimbukeni kama mimi tunaona haina haja ya kuwa na madaktari wanaotaka kuua kwa maslahi yao binafsi badala ya kufa wao kwa ajili ya maslahi ya wengi. Mnastahili kuwajibishwa na nadhani mwenye mamlaka anachelewa sana kuwawajibisha.

AISEE KAMA KUNA MIJITU MIJINGA WEWE UNAWEZA KUWA KIONGOZI WAO ETI UNAWEKA NA TUMANENO TWA KINGEREZA KWENYE HUU UJI WA MLENDA ULIOWEKA HAPA STUPIDIFIDY STUPIDITY,UNAFIKIRI KILA MTU ANA MAWAZO YA JIKONI KAMA WEWE??

SISI TUNAFANYA KAZI YA KUWAKOMBOA WATANZANIA NA SIO KUDAI HAKI ZETU SISI,NI MIGOMO MINGAPI IMEWAHI KUITISHWA TOKEA UHURU NA IKAKOSA MAFANIKIO??UMEWAHI KUJIULIZA NI KWA NINI?NI JEURI KIASI GANI WALIYONAYO WANASIASA HASA WATAWALA AMBAPO WANAWEZA KUWAAMURU POLISI WAUE WANANCHI NA POLISI WAKAUA BILA HATA KUCHUKULIWA HATUA

IMEFIKA WAKATI SASA TUKIGOMA WATUSIKILIZE NA HII NI RAI YANGU KWA MADAKTARI WOTE,TUENDELEE NA MGOMO HUU MPAKA KIELEWEKE TUSITISHWE NA AMRI ZA MAHAKAMA NA WANASIASA WASIONA HURUMA NA WATAZNANIA WANAOWAONGOZA

RAI YANGU KWA WALIMU,WANAJESHI,MAPOLISI NA MAKUNDI PEMBEZONI YOTE HUU NI WAKATI WA UKOMBOZI ,RASILIMALI ZETU ZINATUMIKA NA FAMILIA CHACHE ZA KISIASA SIO SAWA HII NI NCHI YETU NA SISI NDIO WATANZANIA,TUNA UCHUNGU NA KWA UCHUNGU HUU TUTAGOMA HATA MWAKA MZIMA

RAI YANGU KWA WATANZANIA WOTE WAPENDA MABADILIKO ,HUUU NI WAKATI WA KUUNGANA NA KUUPINGA UDHALIMU NA UKANDAMIZAJI,TUUNGENI MKONO ILI TULIKOMBOE TAIFA LETU,UKOMBOZI WA NCHI HII UTAANZIA KWETU NA KUSAMBAA KOTE NA HILI NI KWA MANUFAA YA WATANZANIA WA LEO NA KIZAZI KIJACHO

umoja ni nguvu tuunge mkono tuongoze na kuleta mabadiliko ya kweli
 
Back
Top Bottom