Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,068
- 2,225
Neno la Mungu limesema Usiue wala kusababisha kifo
sasa wanaogoma kutoa tiba sijui itakuwa mnafuata maamuzi ya nani?
wewe utajisikiaje kuona mtu anakufa kwa kukosa oxygen?
Neno la Mungu limesema Usiue wala kusababisha kifo
sasa wanaogoma kutoa tiba sijui itakuwa mnafuata maamuzi ya nani?
Freema Agyeman,
Hivi huu ujumbe una maana gani??
Hii kauli sio nzuri, inaonyesha kabisa kuwa unawakilisha madaktari wa namna gani. Kwa kifupi mgomo wenu hauna mashiko.
Mlitumia rasilimali za wote mkasoeshwa ili masiadie jamii, mliziba nafasi ya kusomesha wazalendo wa kweli ambao wangeweka maslahi ya wananchi na jamii mbele.
Hivi matatizo ya madakatri yameanza lini, na Mponda, Nkya na Nyoni wameingia lini hapo wizarani?
Hebu tafuteni sustainable solution ya matatizo yenu kwa kutafuta kiini hasa cha tatizo. Hivi akaondolewa Mponda na Nkya na mkaletewe Waziri wasira na msaidizi wake Malima nao mtawakataa na kugoma?
Jana nilikwambia kuwa safari hii mtakoma....mgomo uko pale pale
Hawa viongozi wa wana sisiem sidhani kama akili zao zimekaa sawa. Anatishia taalumu adimu siyo au kwakuwa wao wanajua Appolo na hospital nyingine za nje zipo? Sasa kwa mikakati hii tuwaombe nchi husika kiongozi yoyote kutoka Tanzania akienda kutubiwa apigwe sindano ya mtindio wa ubongo. Hili likifanyika watakaokuwa wamebaki watatenda haki kwa wananchi.
Pamoja na yote haya watu wanaona kwa macho lakini watu wa Arumeru bado wanakimbia na bendera za kijani hivi akili au matope?:lol:
Dai la kutaka waziri na naibu wawajibishwe kweli at the expense ya maisha ya watu! Hebu tuache ushabiki na uchochezi. Kwa yeyote aliye ground zero ataona hali ilivyo mbaya, bajaji zinabeba maiti halafu hapa tunasemaje?
Shime tukavolunteer huko mahospitalini.
"mzee wa upako na mgomo wa madaktari" hawa ni wauaji wakubwa muhimbili wagonjwa hawafi ila wanauawa! Please kwa yeyote aliye na c.v ya mchungaji anthony lusekelo atuwekee hapa jamvini tuweze kuasesi capacity thinking yake!:a s 465:
wewe ndiye kilazawa kwanza kwa sababu hujui umuhimu wa mawaziri kuondolewa unavyoinfluence muafaka wa madaktariSipendi migomo na hasa huu wa madakatari wetu.....however........Hebu tuambie mbinu gani itumike zaidi ya mgomo............maana mbinu za kawaida i.e. mazungumzo zinashindikana na utekelezaji wake............
Nakubaliana na wewe kwenye suala la kuunganisha mgomo na kutaka kujiuzulu kwa Mawaziri.........hili sikubaliani nalo.........wagome kwa sababu zingine....sawa sio hii ya kutaka Mawaziri wajiuzulu........
kuunganisha suala la kugoma na kujiuzulu kwa Mawziri ni UKILAZA USIO NA KIFANI..............
Utawataja hadi walioko kaburini miaka mia moja ilopita. Usiniambie unataka madoc walale njaa ili hao kina Pinda waendelee kupeleka watoto wao kusoma nje kwa wizi wa pesa za govern
Nakubaliana na wewe kwenye suala la kuunganisha mgomo na kutaka kujiuzulu kwa Mawaziri.........hili sikubaliani nalo.........wagome kwa sababu zingine....sawa sio hii ya kutaka Mawaziri wajiuzulu........
kuunganisha suala la kugoma na kujiuzulu kwa Mawziri ni UKILAZA USIO NA KIFANI..............
Hii kauli sio nzuri, inaonyesha kabisa kuwa unawakilisha madaktari wa namna gani. Kwa kifupi mgomo wenu hauna mashiko.
Mlitumia rasilimali za wote mkasoeshwa ili masiadie jamii, mliziba nafasi ya kusomesha wazalendo wa kweli ambao wangeweka maslahi ya wananchi na jamii mbele.
Hivi matatizo ya madakatri yameanza lini, na Mponda, Nkya na Nyoni wameingia lini hapo wizarani?
Hebu tafuteni sustainable solution ya matatizo yenu kwa kutafuta kiini hasa cha tatizo. Hivi akaondolewa Mponda na Nkya na mkaletewe Waziri wasira na msaidizi wake Malima nao mtawakataa na kugoma?
Mtangoja sana!!!Madaktari Hatuna haja tena na Waziri mkuu! Kikwete aje kuongea na madaktari
Mtangoja sana!!!
Mkuu Bitabo kuna wengine humu hilo sio tatizo !
Madaktari Hatuna haja tena na Waziri mkuu! Kikwete aje kuongea na madaktari
Mdugu yangu;
Hayo aliyoyasema Pinda ndiyo kauli rasmi ya JK.
Pinda ametumwa tu kufikisha ujumbe ingawa alikuwa anajifanya kuongea hadi mishipa ya shingo inasimama, lakini ilikuwa siyo kauli yake.
Kauli ya Pinda ilikuwa katika mgomo wa kwanza ambapo kwa kinywa chake alisema kuwa "Serikali imechukua hatua ya kwanza kuwasimamisha Dakitari Mkuu na Katibu Mkuu, hatua ya pili itakuwa ni kuwasimamisha Mawaziri wa Wizaara"
Kitu ambacho juZi amekipinga, yaani amepinga maneno yake mwenyewe. Na hii ni kwamba alipomwambia JK aliikataa hoja yakuwasimamisha na ndio maana nasema kuwa aliyosema juzi Pinda ni kauli ya JK.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
MGOMO WA MADAKTARI:Hapa kwenye Hospital ya Rufaa Mbeya hali ni Mbaya kabsa yaani uwezi kuelezea.
Ward no.1 hali ndo ucseme cz ni Majeruhi wa Ajal mbali mbali yaani mpaka uvundo wa vidonda vya Majeraha.i
Madaktari hawapo then Manesi wapo b...t wanapiga Story tena awana mda na wagonjwa,awazuii kuingia kama apo awali.
Pls Serikali tuoneeni Huruma cc maskini tena tulio walalahoi kwani kujiuzulu kwa Dr.Haji Mponda na Dr.Lucy Nkya kuna gharama gani??
Hv Rais wa Nchi upo kweli?? na tulikuchagua kwa manufaa gani ebu toa kauli ktk hil Rais wang Mpendwa JAKAYA MRISHO KIKWETE
Mkuu MANI hao nadhani ndo wale ambao hata akipata chunusi usoni anaitwa ambulance ya Knight Support kuwahishwa Agha Khan. Wakuu huku vijijini hali ni mbaya yaani haielezeki.
kwenye vitanda wodini hata yale mashuka ya MSD yamechakaa mpaka yanafanana na magodoro.
wakina mama wanaotaka kujifungua wanalazwa chini, vitanda vimeisha wodini. mara wanaambiwa waende na vifaa vyao hospital.
Mtu anaumwa malaria hata dawa mseto dr hawezi kumpa maana hamna. Anamwambia aende pharmacy mtaani
Unaenda maabara wanakwambia umeme hamna hatuwezi kufanya vipimo. umeme ukichukua siku mbili bado kuna mgonjwa kweli hapo???
Eti serikali ina mpango wa kukabiliana na mgomo. Kwa kuleta dawa na vifaa au kumaliza ardhi kwa kuchimba makaburi??