Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,658
- 155,616
Wenye vituo vya mafuta vyote wamegoma. Kikwete chukua uamuzi mgumu, taifisha vituo vyote viwe mali ya umma. Nyerere alifanya hivyo wakati wa azimio la Arusha.
Ataifishe halafu ataviendeshaje ?
Wenye vituo vya mafuta vyote wamegoma. Kikwete chukua uamuzi mgumu, taifisha vituo vyote viwe mali ya umma. Nyerere alifanya hivyo wakati wa azimio la Arusha.
tatizo la kufikiria kwa kutumia ****** badala ya brain, haya ndo madhara yake.Wenye vituo vya mafuta vyote wamegoma. Kikwete chukua uamuzi mgumu, taifisha vituo vyote viwe mali ya umma. Nyerere alifanya hivyo wakati wa azimio la Arusha.
<br />pumba bin pumba<br />
<br />
unataka watanzania waishije?
wana jf!kuna sms inayosambaa kwa sasa ya kuwa serikali imelazimisha kushusha bei ya mafuta kuanzia tarehe 1 august,hivyo wauza mafuta watagoma j3.wanashauri wananchi wajaze mafuta ya kutosha kipindi cha mgomo! MY NOTE isije ikawa wanalazimisha kuuza ili j3 wasije uza kwa bei ya chini
Godby, wewe utakuwa ama ni muuza mafuta au ni mnufaikaji wa moja kwa moja na bei kuwa juu. Jiulize, mbona kodi ya mafuta ilipopanda, bei yake ilipanda papo hapo kuanzia Julai 1, 2011 bila kusubiri stoke? Iweje leo bei za petrol/dizel ndo zisubiri stoke hata baada ya mwezi mzima wa Julai baada ya tozo kupunguzwa?! Acheni kuibia wananchi jamani!
Wenye vituo vya mafuta vyote wamegoma. Kikwete chukua uamuzi mgumu, taifisha vituo vyote viwe mali ya umma. Nyerere alifanya hivyo wakati wa azimio la Arusha.
Wenye vituo vya mafuta vyote wamegoma. Kikwete chukua uamuzi mgumu, taifisha vituo vyote viwe mali ya umma. Nyerere alifanya hivyo wakati wa azimio la Arusha.
unapingana na ulaji wa kikwete??kesho kadi ya ccm lazima unyang'anywe,..kwa ufupi utavuliwa gambaNjia nzuri ni Serikali kuondoa kodi zote za mafuta na kuacha mafuta yawe Tax Free, hapo ndipo tutaona gurudumu la maendeleo litavyoshika kasi.
Hii kasumba yote waliyoileta ni serikali ya CCM, Hawa jamaa ndio kwanjia moja au nyingine wanahaki ya kugoma kutokana na muda wa serikali hii kushusha bei ya mafuta kwa muda wa siku moja tu haiingii akilini! Naomba msininukuu vibaya hata mimi napenda sana mafuta yashuke bei lakini hawa jamaa wenye vituo vya mafuta wakati bajeti ilishapitishwa nao pia walishanunua mafuta kwa bei iliyokuwepo ambayo ni ya juu kulingana na utaratibu wa serikali kushusha bei lazima wenye vituo ile kwao! kwa wazo langu ni kua hawa jamaa wangepewa muda kama wa wiki moja wawe wameuza mafuta kwa bei iliyokua inaendelea and then baada ya muda huo kuisha ndipo waanze kuuza mafuta kwa bei pungufu tuliyoisikia hapo jana! unazani wenye vituo wanapenda kuingia hasara???...!
HTML:
tunawezaje kujustfy kwamba akiba ya mafuta waliyonayo wamenunua kwa bei ya zamani, kumbuka ni zaidi ya mwezi sasa toka wamepunguziwa hizo tozo, yaani from 1st July. lakini pia mbona bei zikipanda hawasubiri mpaka akiba waliokunayo iishe?
Unadhani hata sisi watumiaji wa hayo mafuta tunapenda hasara?