MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,299
Wadau nawasabahi.
Kumekuwa na Sintofahamu juu ya Upatikanaji wa Mafuta karibu sehemu KUBWA ya Nchi.Toka Mafuta yaanze kuadimika kumekuwa na TETESI kuwa Bei ya MAFUTA ZITAPANDA. Nimekuwa najiuliza kwanini Mafuta yaadimike wakati EWURA wanadai yapo ya Kutosha kwa Siku 19?
Na pia najiuliza kwanini MAFUTA yakiadimika tu baada ya Siku 3 EWURA wanatangaza BEI MPYA ya MAFUTA?
Je hawa wenye VITUO vya MAFUTA WANAJUAJE kuwa BEI ZITAPANDA ndio na Wao wanaficha Mafuta? Nani anawaibia SIRI ya BEI ĶUPANDA?
Binafsi nahisi kuna MCHEZO MCHAFI kati ya Wafanyabiashara ya VITUO vya MAFUTA na EWURA haiwezekani kila Mafuta yanapoadimika yanakuwa YAMEFICHWA na baada ya Siku kadhaa EWURA wanatangaza KUPANDA kwa BEI na MAFUTA YANAPATIKANA.