<br />Kuna kamgomo baridi ka wauza mafuta.....leo vituo vingi vinadai ''havina mafuta'' habari ndio hiyo jazeni mfulu tenki magari yenu mkipata pa kujazia..........wanadai ''bei nzuri''
<br />
<br />Kuna kamgomo baridi ka wauza mafuta.....leo vituo vingi vinadai ''havina mafuta'' habari ndio hiyo jazeni mfulu tenki magari yenu mkipata pa kujazia..........wanadai ''bei nzuri''
Hii kasumba yote waliyoileta ni serikali ya CCM, Hawa jamaa ndio kwanjia moja au nyingine wanahaki ya kugoma kutokana na muda wa serikali hii kushusha bei ya mafuta kwa muda wa siku moja tu haiingii akilini! Naomba msininukuu vibaya hata mimi napenda sana mafuta yashuke bei lakini hawa jamaa wenye vituo vya mafuta wakati bajeti ilishapitishwa nao pia walishanunua mafuta kwa bei iliyokuwepo ambayo ni ya juu kulingana na utaratibu wa serikali kushusha bei lazima wenye vituo ile kwao! kwa wazo langu ni kua hawa jamaa wangepewa muda kama wa wiki moja wawe wameuza mafuta kwa bei iliyokua inaendelea and then baada ya muda huo kuisha ndipo waanze kuuza mafuta kwa bei pungufu tuliyoisikia hapo jana! unazani wenye vituo wanapenda kuingia hasara???...!
tunawezaje kujustfy kwamba akiba ya mafuta waliyonayo wamenunua kwa bei ya zamani, kumbuka ni zaidi ya mwezi sasa toka wamepunguziwa hizo tozo, yaani from 1st July. lakini pia mbona bei zikipanda hawasubiri mpaka akiba waliokunayo iishe?
Unadhani hata sisi watumiaji wa hayo mafuta tunapenda hasara?
wana jf!kuna sms inayosambaa kwa sasa ya kuwa serikali imelazimisha kushusha bei ya mafuta kuanzia tarehe 1 august,hivyo wauza mafuta watagoma j3.wanashauri wananchi wajaze mafuta ya kutosha kipindi cha mgomo! MY NOTE isije ikawa wanalazimisha kuuza ili j3 wasije uza kwa bei ya chini
Wenye vituo vya mafuta tusiwabembeleze sana , nimesikitishwa kuona wameanza kuleta ubaguzi mkubwa kwani jana kulikuwa na kikao cha wafanyabiashara wa mafuta wenye asili ya Asia kwenye Hotel ya Loyal palm , sijasikitishwa na kikao chao lakini nimesikitishwa na kauli zao za kusema sisi ndio serikali na wakigoma wao serikali haiwezi kufanya kazi, pia kitendo cha jamii moja kwenye bihashara fulani kutenga wenzao. nadhani ni wakati wa serikali kuchukua shell zote na kuwalipa fidia na ziendeshwe na TPDC na TIPPER
Haziitwi SHELL ila filling stations. Shell ni kampuni ya mafuta kama zilivyo BP, TOTAL etcWadau jana nikiwa natoka kazini nilipita sheli zote mpaka maeneo ya kwangu kwenye kiota bilabila hakuna petroli na kulikuwa na deasel kwa baadhi tu sijui hali ikoje asubuhi hii maana sijatoka bado na kimkebe changu cha mkopo hakina kitu najipanga kudandia dala dala mda si mrefu
Haziitwi SHELL ila filling stations. Shell ni kampuni ya mafuta kama zilivyo BP, TOTAL etc