Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

TL ana akili. Walitaka aende ili wahalalishe maamuzi haya. Jamaa alikwishaona hatua moja mbele. Kutokwenda kwake kunayafanya maamzi kuwa haramu.

Hata kumletea barua ya kumwita wanaona noma. Wanawapa watu wengine ndio wamfikishie! TL noma. Kweli wamekwishalegea.
 
Wanaendelea kumpiga chura take!

No wonder Polisi wamejidai kusitisha wito wa kumuita Lissu kwani ingekuwa ni too much kwa hizi taasisi za serikali zote kumsghulikia mtu mmoja hivyo wakaona watuzuge eti aendelee na kampeni kumbe wameshamzuia.
Where is Robert Amsterdam?
 
Na asipojirekebisha anafutwa kabisa kwenye uchaguzi,Lissu asijiropokee hovyo akahisi labda serikali haipo au inamuogopa wala asijifanganye.
Morgan Tshivangirai alikuwa kama Lissu lakini mwisho wa siku alipigwa spana na kaiacha Zimbabwe hiyo inasonga chini ya Zanupf.
 
Tume hii ni chupi ya ccm
Kwani wakili wake anasemaje?
Screenshot_20201002-151832.png
 
Hivi kauli za vitisho vya magufuli such as “msinichanganyie kuniletea upinzani kwani mkifanya hivyo sileti maji/umele/lami...” sio kuvuja maadili ya uchaguzi? Ataleta maji yeye kama nani na ana uhakika gani kwamba tayari keshashinda?

Au mpaka mtu/Chama kipeleke malalamiko rasmi?

NEC wanataka kuharibu mambo sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom