Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Na asipojirekebisha anafutwa kabisa kwenye uchaguzi,Lissu asijiropokee hovyo akahisi labda serikali haipo au inamuogopa wala asijifanganye.
Morgan Tshivangirai alikuwa kama Lissu lakini mwisho wa siku alipigwa spana na kaiacha Zimbabwe hiyo inasonga chini ya Zanupf.
Maoga nyie kazi kubebwa tu!
 
Mibange inawazingua hao tume.

Unamuhukumu vipi mtu bila kumsikilize
Kwani hujui kusoma? Cha kujiuliza ni kwa nini CHADEMA wanasema hilo ni lake? Tunachukulia powa lakini huenda uongozi wa chama hauna mpango naye!
 
ili pia ni jepesi sana kwa Lissu, Lissu atalijibu tu ndani ya saa chache na tume watapata aibu. hii ni weekend ndefu sana kwa Wilson Mahera group, Hawatapata usingizi.

kwa kifupi jiwe hapendi na hawezi ushindani, yaani anataka ile ile staili aliyotumia ya kumpitisha kugombea urais kwa tiketi ya ccm kwa asilimia 100. Ndio sababu mapema sana alimtimua Benard Membe.
 
"Wajumbe 11 kati ya 15 wamekubali kuwa malalamiko yamezingatia utaratibu na wajumbe 2 kati ya 15 wamesema uwasilishaji wa malalamiko haukufuata taratibu"

Kumbe maamuzi ya kisheria huwa yanapigiwa kura pia, sio kuzingatia sheria inasemaje! Halafu hawajasema wajumbe wengine 2 walisemaje, maana hapo ni 13 kati ya 15
 
Tume waoga sana yaani. Baada ya Magufuli kwenda Likizo ya kujipangia siku 8, tume wameona na Tundu Lissu aende likizo ya lazima kwa siku saba. Moto hauzimwi kwa petrol.
Watu kama wewe unatutafutia ban kama tutasema pumbav. Unaambiwa kamati ya maadili wewe unasema tume. Yaani unashinda JF bila uelewa kiasi hiki?
 
Kwani mugabe hajaiacha zimbabwe?'.Haki ni jambo la msingi sana kwakila jamii.kinyume na hapo jamii itaendelea kuidai hadi mwisho wa dunia.
Na asipojirekebisha anafutwa kabisa kwenye uchaguzi, Lissu asijiropokee hovyo akahisi labda serikali haipo au inamuogopa wala asijifanganye.

Morgan Tshivangirai alikuwa kama Lissu lakini mwisho wa siku alipigwa spana na kaiacha Zimbabwe hiyo inasonga chini ya Zanu- PF.
 
TL ana akili. Walitaka aende ili wahalalishe maamuzi haya. Jamaa alikwishaona hatua moja mbele. Kutokwenda kwake kunayafanya maamzi kuwa haramu. Hata kumletea barua ya kumwita wanaona noma. Wanawapa watu wengine ndio wamfikishie! TL noma. Kweli wamekwishalegea.
yaani mnavyojifariji mpaka mnatia huruma mnajua kabisa lissu atashinda?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom