TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

wavivu kusoma tujuzeni....kwa hiyo wanae wooote walikufa....au ni wale wa kiume tu? wa kike wapo na ni wangapi?

Maumivu aliyoyapata yanazidi hata mali alizokwapua
Nimesoma comments zote, raia wa humu wanadai wakiume walikufa wote kasoro mmoja ni teja Hong Kong, mama yao pia alikufa. Wa kike kabaki mmoja business woman mkubwa wa ku export chuma chakavu toka Zambia na Malawi ila anaishi hapahapa Dar, ila nae angeweza kumaliza miaka mitatu au zaidi bila kumuona mzee wake(walikuwa hawaelewani). Mali nyingi kaachia kanisa.
NB: Namjua huyu Mzee ndo maana imebidi nisome comments zote.
 
Wa kike wapo wanne wote wako hai.
 
Huyo Andrew tulisoma nae Green Acres,alifia dispensary ya shule wakampeleka hospitali..alikuwa kichwa darasani na aliumwa kichwa kwa muda mfupi tu akakata moto. Tulienda mzika hapo shuleni Andrew Father.
Mimi mpaka kesho naangalia kaburi lake siamini maana dogo alikuwa extremely briliant na alipokufa tu baba yake hakustuka , ilikuwa kama kafurahi akaaaagiza ifanyike sherehe kubwa sana ya kubwaga Andrew , Niliumia sana sana Mzee lesheya atakuwa motoni tu maana hata Moses nahisi yeye alimtoa kafara maana walishaanza kulumbana kuwa baba acha mambo yako nauota usiku
 
Bro humjui huyo mzee. Nenda mahakama ya ardhi pale kinondon ulizia ana kesi ngapi za kudhulumu ardhi. Pale mbezi kamdhulumu mama mmoja mjane mpaka amekufa juz juz hajapata haki yake. Ninachosema umeokoka tangaza kama kuna mtu nimemdhulumu au kumuibia aje nimrudishie chake Mzee. hakuna Mungu anaeibia watu haki zao . Mali nyingi kaachia kanisa acheni utan nyie. Kaachia taasisi au kanisa? Mzee mpaka kisukar kinamzidia alikuwa anawadhulum watu.
Hawa walokole uchwara hawajui biblia wanakurupuka
 
Back
Top Bottom