ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,183
- 9,636
sema mkuu umepunguza sana kutoa dondoo siku hiziNatania tu mkuu
Ova
sema mkuu umepunguza sana kutoa dondoo siku hiziNatania tu mkuu
Ova
sikupingi. Ile wilaya imekaa kushoto sana. Ambapo inawapa safe haven kufanya yao.Romeo,useri karibia na mpaka wa Kenya...watu wengi kule ni ujambaz,magendo hiyo ni asili yao
Ova
Tuliendaga kuuza mkonge hardtop kikirikikiri za biasharasikupingi. Ile wilaya imekaa kushoto sana. Ambapo inawapa safe haven kufanya yao.
Yeah,alikuwa mtata sanaaaHuyu mzee nampata . Kwao ni pale tarakea kijiji cha mokombero huko rombo.. Ashawahi kuwa kanisa la siloamu . Enzi zake alikuwa mafia sana kwa wanaomjua. anyway mungu ndio mtoa hukumu pekee.
Mnakosea sana. Hamjui biblia. Nenda kasome baada ya daudi kushika madaraka nchi ikawa bado haibarikiwi na David alipouliza alijibiwa nini na nabii? Waliambiwa utawala uliopita wa sauli uliua wana wa Gibeon so waende wakawaulize hao wana wa Gibeon kifanyike nini ili wasamehe na nchi itakasike? Wakawaambia wawaonyeshe mabaki ya jamaa ya sauli wawaue ili kulipiza kisasi na walipofanya hivyo nchi ilitakaswa. Mfano mwingine Yesu mwenyewe aliwaambia wanafunz wake patana na mshitaki wako kwanza kabla hamjafika kwa hakimu na akasema hautatoka humo kamwe mpaka ulipe senti ya mwisho. Mfano mwingine wa zakayo alipompokea Yesu tu alikumbuka dhambi zake na akasema atawarejeshea mara kumi aliowadhulumu. Ni hiv, Mungu sio dhalimu wewe unaweza kukuta umenidhulumu halafu unaenda kuokoka lakin unasahau mimi kila asubuh naamka namkumbusha Mungu asisahau uovu ulionifanyia umenidhulumu. Na kuhakikishia Mungu ni wa haki hata sikia sala yako ya kuokoka bali atamsikiliza aliyekosewa. Ndio maana Yesu alikuja kwakuwa sheria ya roho ni lazima haki yote itimizwe Mzee so kama umeiba umedhulumu nenda watafute uliowatendea uwarudishie vyao ndio uje madhabahuni kuokoka. Mungu ni haki na kweli.
Masawe ana Ghorofa lake pale msasani😂😂😂😂😂 nimecheka sana daah kama ndio ivyo basi noma sana kwani huyu na Alex masawe walikuwa washkaji ? Manake nae alikuwa dingi mmoja wa mbezi dhurumati kinoma kapora watu viwanja aloo acha kabisaaa
Ana manyumba mengi mjini hapa mastaMasawe ana Ghorofa lake pale msasani
Nyari yupo Kiongozi ingawa umri umeanza kusogea,nilimuona mwaka huu 2024 mwanzoni,maeneo ya Stendi KUU ya Mabus Arusha,akikagua kibanda chake cha biashara na watu wa Jiji,Hivi Justin nyari bado yuko arusha
Ova
Huyo mzushi kweli naye alikuwaNyari yupo Kiongozi ingawa umri umeanza kusogea,nilimuona mwaka huu 2024 mwanzoni,maeneo ya Stendi KUU ya Mabus Arusha,akikagua kibanda chake cha biashara na watu wa Jiji,
Huyo Andrew tulisoma nae Green Acres,alifia dispensary ya shule wakampeleka hospitali..alikuwa kichwa darasani na aliumwa kichwa kwa muda mfupi tu akakata moto. Tulienda mzika hapo shuleni Andrew Father.Na hilo Andrew ni jina la mtoto wake ambaye alikufa siku nyingi na inaaminika huyu dingi alimtoa kafara.
Ngoja nikirudi Bongo nitakutafuta tuyajenge.Aliikuwa ni Mmiliki wa Majengo ya Kanisa na Shule Kama una ujuzi wa kuendesha kanisa anakukodisha. Waumini wakiwa wengi ndio utamjua vizuri
Tanzania 🇹🇿 ukiwa na fedha hufungwi.Cha ajabu anaonekana kama hajawahi kuingia milango ya jela pamoja na unyama wote alioufanya.
Kwa sasa mwendo wa kuvusha ni boda, bidhaa kenya za kuvusha ni nyingi sana maana bei iko chini, kuna kwenda kuchukua na kupeleka, unajua hela ya kenya iko juu zaidi ya tz, hivyo ujipeleka mzigo unarudi na faida kubwa. Kuna wanaopeleka hata piwa (gongo) kenyaKuna bidhaa gani nyingine mkuu??, wadau wa kuvukisha wapo??.
Usalama wa kuvukisha ukoje mkuu?? Mamaya
U bin tu, huyu ni tajiri wa Zamani kabla hata ya Woiso leather products.Nilijua ndio yule anayetengeneza na kuuza bidhaa za ngozi hapa nchini ama ni ubini
Si uko Hapo maeneo ya mpaka huo??Kwa sasa mwendo wa kuvusha ni boda, bidhaa kenya za kuvusha ni nyingi sana maana bei iko chini, kuna kwenda kuchukua na kupeleka, unajua hela ya kenya iko juu zaidi ya tz, hivyo ujipeleka mzigo unarudi na faida kubwa. Kuna wanaopeleka hata piwa (gongo) kenya