Nzie ya Mana
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,513
- 1,730
Nyie maccm ni wachawi Sana. Manina. Majengo yote ya ccm na viwanja vyote vilijengwa kwa michango na kodi za watz wote kwa utapeli wenu wakati wa chame kimoja.Hapo inatafutwa njia ya kuchangisha wanachama ili viongozi wapige Hela, walimpiga sabodo milioni 500, aliwapa za kujenga Ofisi, miaka nane iliyopita,mpaka Leo hakuna hata tripu ya mchanga.
Juzi Joni ze cheni wanasema wamechanga watu karibu milioni mbili,halafu eti makusanyo milioni 400, wakati hata hao wachangiaji wangetoa 1000 ilikuwa bilioni mbili.
Kwa hesabu rahisi, wanasema wachangiaji kwa wastani walichangia shilingi mia mbili (200) kwa Kila mmoja
Umesema kweli kbs. Jiwe!!!Hilo jengo likijengwa sasa itakuwa POA sana. Lakini lingejengwa kipindi Cha mwendazake lingevamiwa na kuchomwa moto.
Chadema jengeni kipindi hiki ambapo Tanzania kuna kiongozi Bora.
Kipindi kile Cha marehemu roho mbaya lingebomolewa na kikundi Cha wasiojulikana.
Soon nitajiunga rasmi chadema
Waulize hawa mapimbi na matapeli, kodi zetu wakati wa chama kimoja.CCM walishajenga jengo gani.
Acha kuwanga mchana![emoji3]Baada ya kusemwa sana
Bado jambo moja... kuwe na ukomo wa awamu ya uongozi.. maximum iwe vipindi viwili vya miaka 5 kwa 5
Siyo kiongozi anakuwa kiongozi wa milele halafu mnahubiri deomokrasia; demokrasia ianze ktk vyama kwanza
Huko tutafika. Na wewe waambie serikali waache kuwanunua wapinzani. Hatuwezi kuweka mwenyekiti mwenye njaa pale. Tunamuandaa John Heche aje aongoze chama😀Baada ya kusemwa sana
Bado jambo moja... kuwe na ukomo wa awamu ya uongozi.. maximum iwe vipindi viwili vya miaka 5 kwa 5
Siyo kiongozi anakuwa kiongozi wa milele halafu mnahubiri deomokrasia; demokrasia ianze ktk vyama kwanza
Msingi wa plot allocation ndio nini?Hii na ile nyingine mliyoitoa 2016 ina tofauti gani? Na mpaka leo hatujaona msingi wa plot location.
Mnahangaika na chadema tu, je tlp?[emoji3]Baada ya kusemwa sana
Bado jambo moja... kuwe na ukomo wa awamu ya uongozi.. maximum iwe vipindi viwili vya miaka 5 kwa 5
Siyo kiongozi anakuwa kiongozi wa milele halafu mnahubiri deomokrasia; demokrasia ianze ktk vyama kwanza
..Chadema waepuke kuiga na kutamani kila kitu walichonacho Ccm.
..Ccm wana maofisi makubwakubwa kitu ambacho ni gharama.
..Ccm wana magari ya bei mbaya ya kifahari, ma-V8, ambayo ni gharama nyingine.
..Ccm ina watumishi wengi sana ambao wote wanahitaji kulipwa na kutunzwa.
..Chadema wajielekeze kuendesha chama kwa kutumia gharama ndogo, na watu wachache wanaofanya kazi kwa ufanisi.
Pimbi ww!Wapi? maana pale kinondoni Sekenke st kwa mama kitunguu ni kama uchochoroni, hakuna kiwanja kabisa, labda DJ atoe eneo
Waambie mafala hawa!Majengo ya NHC ya serikali waliyodhulumu ongeza na jengo la Lumumba na Jengo la Vijana la Taifa.
Takataka kabisa hawa!Shangaa na wewe,majitu yamepora viwanja vya umma na kujimilikisha kimabavu. Shenzi kabisa.
Halafu ccm ni mataahira, ulishawahi kuona ofisi za Democrats au Republican! Mmekalia uchawi tu!
Umejiuliza hizo pesa za kujengea zinatoka wapi, kama hujui zinatoka wapi huna uhalali wa kuhoji.Nimeona Majengo kadhaa yanayosemwa ndo Ofis za chadema ! Kuna Ofis ilioneshwa kuwa imegharimu Milion 80 na haijamaliziaka nilijiuliza sana Hivi nani anaratibu michango inayochangishwa na natumizi yake ?
Tujenge taasisi imara zenye uwezo wa kuhoji Alafu baadae tujenge Taifa imara !!
Chadema wote ni ndiyo mzee hakuna wa kuhoji mambo ya msingi!
Nawatakia kila la heri kwenye ujenzi wa ofisi
Britanicca
Wewe mwana ccm mambo ya chadema yana kuhusu nini? Ya nyumbani kwako hujayamaliza unarukia ya wenzako?Nimeona Majengo kadhaa yanayosemwa ndo Ofis za chadema ! Kuna Ofis ilioneshwa kuwa imegharimu Milion 80 na haijamaliziaka nilijiuliza sana Hivi nani anaratibu michango inayochangishwa na natumizi yake ?
Tujenge taasisi imara zenye uwezo wa kuhoji Alafu baadae tujenge Taifa imara !!
Chadema wote ni ndiyo mzee hakuna wa kuhoji mambo ya msingi!
Nawatakia kila la heri kwenye ujenzi wa ofisi
Britanicca
Gere imeanza kabla haijajengwa🤣..hizo fedha zingeelekezwa kuimarisha chama mpaka ngazi ya chini.
..bado sijaona haja ya Chadema kuwa na makao makuu ya kifahari na gharama kiasi hicho.
..TEKNOLOJIA imebadilika kiasi kwamba hakuna ulazima wa makampuni kuwa na maofisi makubwakubwa.
Chadema Forever BeingHayakuhusu .....
Ndo jibu rahisi ninaloweza kukujibu maana nyie CCM mnachokitaka ni kuibomoa Chadema kwa kuwatumia mapandikizi ili yakagombee nafasi za uongozi ktk Chama na ndio target yenu, ila hayo mapandikizi yanapojitokeza tu yanakutana na Kiongozi makini mhe, Freeman A. Mbowe na jopo lake wanayatupilia mbali...
Mfano, kuna moja hilo hata ukiliangalia tu usoni unaona kuwa halikuwa na dhamira nzuri, eti likagombea ujumbe wa sijui pwani....🤔
Alichokutana nacho hatakaa asahau, ila zilisikika kelele tu kuwa Chama hakina demokrasia..... Kumbe dhamira yake iligundulika mapema tu na sasa karudi kwa waliokuwa wamemtuma na aibu juu.
Chezea Chadema wewe......✌🏽💪🏽👍🏽