xz0r_africa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 309
- 311
huyo sasa c anaelekea kuwa babu na elimu yake haijawa useful kwa watu only amefundisha theory tu kwa wanafuzi wa advance ambayo ina minimal contribution kwenye real life
angemaliza telecom nikasikia ameisaidia tz kuzalisha smartphone kwakwel ningemsifia
angemal hiyo bsc in petroleum engineering nikasikia ameisadia tz kuchakata gas tu ya mtuara ningemsifia
ila now siwezi kumsifia kuliko ni msifie si bora basi waninyonge